We km si mwehu ni zuzuTusikubali kama nchi wakati ambao tuna upungufu mkubwa wa pesa kwenye afya hasa wakati huu ambao USAID imefutwa tuende kutumia pesa na kufanya chaguzi ambazo tunajua kabisa ni fake. Pesa hiyo itumike kuwasaidia wagojwa wa ukimwi ili tukoe maisha ya watu badala ya kufanya zoezi ambalo linaenda kufaidisha wachache.
Kuna ambao wanasema ni sheria na ni lazima zoezi lifanyike ! Sheria sio Msahafu na ndiyo maana wananchi ina bidi tusimame na kuamua. Kama chaguzi tunataka kufanya basi sheria zibadilike na zile chaguzi za huru na haki. Kama chaguzi tunaenda kwa sheria hizi na watu hawa ni bora tugomee chaguzi. Dharau kwa viongozi imeshaanza kuonekana kwasababu watu wanajua viongozi wengi sio chaguo lao.
He leo lisu dictator tena siyo mbowe aliyejimilikisha iliyoitwa saccos . Cdm? Kweli mwafrika mnafiki!Fedha ya Uchaguzi ipo, na Fedha kwaajili ya kuwasaidia wagonjwa wa UKIMWI ipo pia.
Dikteta Lissu anawanyima wanachama wake haki ya kuchaguliwa.
gentleman,Tusikubali kama nchi wakati ambao tuna upungufu mkubwa wa pesa kwenye afya hasa wakati huu ambao USAID imefutwa tuende kutumia pesa na kufanya chaguzi ambazo tunajua kabisa ni fake. Pesa hiyo itumike kuwasaidia wagojwa wa ukimwi ili tukoe maisha ya watu badala ya kufanya zoezi ambalo linaenda kufaidisha wachache.
Kuna ambao wanasema ni sheria na ni lazima zoezi lifanyike ! Sheria sio Msahafu na ndiyo maana wananchi ina bidi tusimame na kuamua. Kama chaguzi tunataka kufanya basi sheria zibadilike na zile chaguzi za huru na haki. Kama chaguzi tunaenda kwa sheria hizi na watu hawa ni bora tugomee chaguzi. Dharau kwa viongozi imeshaanza kuonekana kwasababu watu wanajua viongozi wengi sio chaguo lao.
Hakika iliyoyaongea hayatoki moyoni.Fedha ya Uchaguzi ipo, na Fedha kwaajili ya kuwasaidia wagonjwa wa UKIMWI ipo pia.
Dikteta Lissu anawanyima wanachama wake haki ya kuchaguliwa.
Hatutaki chaguzi wa kuamuliwa viongozi na majizi ya ccm kwa kushirikiana na vyombo vya dola.Fedha ya Uchaguzi ipo, na Fedha kwaajili ya kuwasaidia wagonjwa wa UKIMWI ipo pia.
Dikteta Lissu anawanyima wanachama wake haki ya kuchaguliwa.
Ngoja nitafakariTusikubali kama nchi wakati ambao tuna upungufu mkubwa wa pesa kwenye afya hasa wakati huu ambao USAID imefutwa tuende kutumia pesa na kufanya chaguzi ambazo tunajua kabisa ni fake.
Pesa hiyo itumike kuwasaidia wagojwa wa ukimwi ili tukoe maisha ya watu badala ya kufanya zoezi ambalo linaenda kufaidisha wachache.
Kuna ambao wanasema ni sheria na ni lazima zoezi lifanyike ! Sheria sio Msahafu na ndiyo maana wananchi ina bidi tusimame na kuamua.
Kama chaguzi tunataka kufanya basi sheria zibadilike na zile chaguzi za huru na haki.
Kama chaguzi tunaenda kwa sheria hizi na watu hawa ni bora tugomee chaguzi.
Dharau kwa viongozi imeshaanza kuonekana kwasababu watu wanajua viongozi wengi sio chaguo lao.
Wana CCM tuko makini tunaenda kuchagua viongozi nyinyi wengine mnaruhusiwa kukaa nyumbani Kisha kulalamika kuibiwa kura.Ni utaahira mkubwa sana kutumia mamia ya mabilioni ya kodi zetu kufanya igizo la uchaguzi Tanzania. Kilichotokea 2019, 2020 na 2024 ndicho hicho hicho kinakenda kutokea October 2025, sasa kwa nini hela yote itiwe kiberiti kwa kufanya igizo la uchaguzi? Ni bora waendelee tu hao hao waliopo hadi Watanzania watakapotia akili na kuwakataa kwa njia nyingine kwani kwa kura ni kujidanganya hakuna uchaguzi Tanzania. Kauli mbiu ya Chadema ya No Reform No Election ina maana pana sana kuwa bila matengenezo ya mifumo na sheria za uchaguzi hakuna uchaguzi bali kinachofanyika ni igizo tu, sasa kwa nini tutumie hela zote hizo kwa igizo?
Hawajajiandikisha unadhani watashiriki uchaguziFedha ya Uchaguzi ipo, na Fedha kwaajili ya kuwasaidia wagonjwa wa UKIMWI ipo pia.
Dikteta Lissu anawanyima wanachama wake haki ya kuchaguliwa.
Naunga mkono hoja, lakini kuna vikosi kazi vingi sana vinafaidika na uchahuzi je vitakubali?Tusikubali kama nchi wakati ambao tuna upungufu mkubwa wa pesa kwenye afya hasa wakati huu ambao USAID imefutwa tuende kutumia pesa na kufanya chaguzi ambazo tunajua kabisa ni fake.
Pesa hiyo itumike kuwasaidia wagojwa wa ukimwi ili tukoe maisha ya watu badala ya kufanya zoezi ambalo linaenda kufaidisha wachache.
Kuna ambao wanasema ni sheria na ni lazima zoezi lifanyike ! Sheria sio Msahafu na ndiyo maana wananchi ina bidi tusimame na kuamua.
Kama chaguzi tunataka kufanya basi sheria zibadilike na zile chaguzi za huru na haki.
Kama chaguzi tunaenda kwa sheria hizi na watu hawa ni bora tugomee chaguzi.
Dharau kwa viongozi imeshaanza kuonekana kwasababu watu wanajua viongozi wengi sio chaguo lao.
Fedha ya Uchaguzi ipo, na Fedha kwaajili ya kuwasaidia wagonjwa wa UKIMWI ipo pia.
Dikteta Lissu anawanyima wanachama wake haki ya kuchaguliwa.
gentleman,
basi wachangie kidigitale wale matapeli na vibaka wa tone tone ili viongozi wapate pocket money na pesa ya kunywa wisky na nyama na kubeti kabla hawajaenda kulipia ebola na mpox kwaajili ya no reform no elections