Tusilinganishe CAFCC Ile Yanga alochukua medali na hii ya Simba

Marumu gallant na zalan fc ni team za kujivunia hebu weka team za yanga alizocheza nazo wakati huo na simba alizocheza nazo msimu huu maana team kama mbili mlizocheza nazo zilishuka daraja.
 
Mleta mada mimi ni mwanaynaga mwenzio.
Ifike hatua tukubali uwezo wa wenzetu kama washajipata ingawa wenhewe wanasema bado wanajenga timu. Hizi drama za blah blah tunazoleta hazina maana yoyote. Minding you, ingekuwa ni Yanga, habari yetu ingeishia kwa wale Al Masry.
Tuachanae na sajiliza kisiasa. Ile timu iliyoishia robo fainali msimu uiopita, kama ungefanyika usajili wa maana sio ule wa kisiasa, sasa hivy tungekua tunazungumzia mengine.
Hawa jamaa wanaweza kuchukua hili kombe maana kile kichaka chetu cha medali washafuta, Sisi tulitaka kufuta kichaka chao cha rank mpaka sasa hata top ten hatupo wao wapo ya nne uko.
Tuache ngonjera lazima tuambizane ukweli.
 
Dah ila unavyoteseka hadi siyo poa, c dhani hata kama umekula
 
Mashabiki wa
uto mwiko ulikosimikwa umekaa pabaya
 
Hakuna mtu anaumia hapa jamii forum kuhusu simba kama hii kenge..
Ulisema simba wakimbie south kiko wapi..
Halafu uzuri mechi unaziangaliaga full time..😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
KUMBE HILI JAMAA NI KENGE
 
Rekodi zilizopo Maktaba ni wawili tu Ndo wanapaswa kujadiliana na Mashabiki wa Simba mliobaki mnatakiwa mtiwe kamba kisha mrudishwe Mirembe.
 
Mashabiki wa
uto mwiko ulikosimikwa umekaa pabaya
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Malalamiko (Lia lia) SC.
4. Makelele SC.
5. Mipang'ang'a SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau (Mapaka) SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mikia SC.
11. Mwakarobo SC.
12. Ngada SC
13. Zuwena SC.
14. Kufa kiume SC.
15. Kikanuni SC.
16. Panya Roads SC.
17. Bebwa bebwa (Mbeleko) SC.
18. Bahasha SC
19. 5imba SC.
20. Ubaya Ubwege SC.
21. Manguruwe SC.
22. Objective Football SC.
 
Rekodi zilizopo Maktaba ni wawili tu Ndo wanapaswa kujadiliana na Mashabiki wa Simba mliobaki mnatakiwa mtiwe kamba kisha mrudishwe Mirembe.
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Malalamiko (Lia lia) SC.
4. Makelele SC.
5. Mipang'ang'a SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau (Mapaka) SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mikia SC.
11. Mwakarobo SC.
12. Ngada SC
13. Zuwena SC.
14. Kufa Kiume SC.
15. Kikanuni SC.
16. Panya Roads SC.
17. Bebwa Bebwa (Mbeleko) SC.
18. Bahasha SC
19. 5imba SC.
20. Ubaya Ubwege SC.
21. Manguruwe SC.
22. Objective Football SC.
 
Pole sana bloangu,kile kichakacha fainali mlichokua mnajifichia sikuzote kimeshafekwa.

Sasa hv sijui viongozowenu watakuja na slogan gani za kuwapumbaza
 
Ni mashindano ambayo yamefanya ligi yetu kupanda hadi kuwa ya Tano kwa ubora Africa.
 
Kuna wafuasi wa Rage nimewasikia wanasema ni Bora wajivunje wasishiriki klabu bingwa ili washiriki tena icho kikombe cha Asante Motsepe eti ndio kwenye mteremko nikawaambia nyie si mnayo timu ya kucheza klabu bingwa sasa huku akuna kukimbia maana bodi ya ligi ya wakina mguto huku awapo mtacheza mtake msitake ili tuone ubora wenu🤣🤣
 
Unawashwa baada ya kumuona bwana ako 🦁🦁🦁🦁 subiri upewe hakiyo
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…