Tusimlaumu Rais Samia pekee viongozi wa vyombo vya usalama Tanzania hawana Uzalendo

Tusimlaumu Rais Samia pekee viongozi wa vyombo vya usalama Tanzania hawana Uzalendo

Kila chama cha siasa kifanye siasa kwa kufuata sheria na katiba ya nchi,

ni muhimu sana wakiuka sheria na katiba ya nchi wakashughulikiwa kisawasawa na shaeria hizo hizo bila kujali kelele na mayowe ya vyama vyao ili iwe fundisho kwa vibaka na matapeli wengineo wa kisiasa 🐒
In the end, we will remember not the words of our enemies, but the silence of our friends." Martin Luther king Jr
 
Tusimlaumu Raisi Samia pekee viongozi wa vyombo vya usalama TZ hawana Uzalendo

Polisi na usalama kuiba kura wakati wameapa kulinda sheria huo ni uzalendo wa aina gani?
Polisi na usalama kula ruhswa huo ni uzalendo wa aina gani?
Polisi na usalama kutumika kisiasa badala ya kuweka maslahi ya nchi huo ni uzalendo gani?

Hivyo tunatakiwa pamoja na Raisi Samia kuhoji hawa viongozi ambao wameguzwa kuwa machawa badala ya viongozi

Zambia ilikuwa kama Tanzania mpaka pale vyombo vya usalama vilipo amua kuweka nchi mbele na kusema tutafuata katiba sio siasa walikataa kuiba kura na kupendelea

Lakini vijana wetu sio wale wa 1990's na 2000"s yaani upewo wao ni mdogo pamoja na kuongezeka kwa vyuo. Vijana wengi ni wajinga jinga na washabiki sio kama wenzao wa nchi jirani. vilana wamekuwa legelege sana. Kati ya wazalendo ambao tunawakumbuka mpaka leo ni Nyalali na IGP Mahundi. Walifuata viapo vyao kwa nchi sio Chama chochote au Mtu

View attachment 3300412

View attachment 3300411
Wakuwalaumu tunawajua na wala hatuhitaji kufundishwa,wa kwanza ni aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya katiba,ambaye aliunyongea mchakato huu mikononi mwake hadi kukatisha maisha ya mchakato ule ulioratibiwa vyema na jaji Warioba hadi kuufikisha hatua nzuri ila aliye shindwa kuuvusha hii leo ni mwenye kinga na kwenye ule mchakato uliikataa kinga ili kulinusuru taifa,Matokeo yake fursa imeobekana ya kuliangamiza taifa.Ntu huyu ajue anayo laana duniani na hata mbinguni.Na maandiko yanasema aliyelaaniwa duniani amelaaniwa hata mbinguni.
 
In the end, we will remember not the words of our enemies, but the silence of our friends." Martin Luther king Jr
ushirikiana, imani potofu, dhana na nadharia mbalimbali za uwapendao, zibaki kwenye vitabu na kanga tu gentleman,

but kazi na utu ni muhimu sana na kusonga mbele ni muhimu zaid 🐒
 
ushirikiana, imani potofu, dhana na nadharia mbalimbali za uwapendao, zibaki kwenye vitabu na kanga tu gentleman,

but kazi na utu ni muhimu sana na kusonga mbele ni muhimu zaid 🐒
TEna mfute hayo maneno kwani mnajitafutia laana.Tangu lini chawa na genge lao wa wanajua maana halisi ya kazi,utu,amani,haki ndio kabisaaaa wanaonahata aibu kuitamka.
 
Attachments

  • 6026553-bf15b8f6f927c72fa16d6bb328a5e41f.mp4
    14.1 MB
TEna mfute hayo maneno kwani mnajitafutia laana.Tangu lini chawa na genge lao wa wanajua maana halisi ya kazi,utu,amani,haki ndio kabisaaaa wanaonahata aibu kuitamka.
mayowe na makelele ya vibaka na matapeli wa kisiasa nchini, ni muhimu sana wakupuuzwa tu ili hatimae serikali sikivu ya CCM ikaendelea kuwatumikia wanainchi kwa utulivu 🐒
 
TEna mfute hayo maneno kwani mnajitafutia laana.Tangu lini chawa na genge lao wa wanajua maana halisi ya kazi,utu,amani,haki ndio kabisaaaa wanaonahata aibu kuitamka.
Narudia tena Mamlaka zimeapa kulinda amani ya Nchi hii,haziwezi kuwachekea wanaotaka kuleta uvunjifu wa amni in the name of Demokrasia.

Huko Zambia unakotaja hata huyu aliyeingia na aliyekuwa mpinzani sio tuj alifukuza majaji waliotaka kusimamia Haki za mpinzani wake Bali pia amemzuia kugombea na anatoa vitisho na manyanyaso Kwa Wapinzani.

Tofauti na alichokuwa anaongea akiwa mpinzani,muwe mnamdanganya wapumbavu wenzenu wasiofuatilia mambo.

Ndio maana sijawahi sympathise na Wanasiasa wanachotaka wote ni kushika Dola watawale na sio Kwa maslahi ya Wananchi so wawatie jela Hadi muozee huko huko.
 
Wewe unateuliwa na mwenyekiti wa chama kuwa IGP au CDF unadhani utakua mtiifu kwa wananchi au aliyekuteua?
Hii katiba itakujakufanya wajukuu au watoto wetu watushangae,yaani ni mbovu na ubovu wake unaonekana ila eti kuna kundi la watu hawataki iboreshwe kwa maslahi yao.
Ni ujinga sana,tume-stuck kwenye namna ya kuondokana na hii hali.
 
mayowe na makelele ya vibaka na matapeli wa kisiasa nchini, ni muhimu sana wakupuuzwa tu ili hatimae serikali sikivu ya CCM ikaendelea kuwatumikia wanainchi kwa utulivu 🐒
Acha upumbavu,japo unatumia ID ya kujificha,acha ujinga,we huoni kua kuna mapungufu?
 
ushirikiana, imani potofu, dhana na nadharia mbalimbali za uwapendao, zibaki kwenye vitabu na kanga tu gentleman,

but kazi na utu ni muhimu sana na kusonga mbele ni muhimu zaid 🐒
😊😊 Gentleman naona unanifokeaa😂🤣
 
As a top leader you have visionalize and you can turn table around
 
...
 
Attachments

  • images - 2025-04-06T170815.462.jpeg
    images - 2025-04-06T170815.462.jpeg
    49.9 KB · Views: 23
  • images - 2025-03-30T151346.923.jpeg
    images - 2025-03-30T151346.923.jpeg
    24.1 KB · Views: 20
  • images - 2025-03-30T151155.234.jpeg
    images - 2025-03-30T151155.234.jpeg
    18.7 KB · Views: 19
  • images - 2025-03-30T151312.851.jpeg
    images - 2025-03-30T151312.851.jpeg
    35.1 KB · Views: 20
  • images - 2025-03-30T152501.267.jpeg
    images - 2025-03-30T152501.267.jpeg
    10 KB · Views: 19
  • downloadfile-15.jpg
    downloadfile-15.jpg
    135.1 KB · Views: 21
  • IMG-20250405-WA0011.jpg
    IMG-20250405-WA0011.jpg
    69.2 KB · Views: 16
Siamini kama maafisa usalama tuliowateua wana "intelligence " ya kiwango cha kutosha .
Kwa nini mkurugenzi wa TISS usijihudhulu?
Hivi wewe unafurahishwa na wizi wa mali za umma unaofanywa na viongozi kwa kivuli cha chama chetu cha CCM?.
HIVI kwa akili yako unadhani CCM itatawala milele?
Na kama jibu ni HAPANA,
Kwa nini unashindwa kumshauri kwa usahihi mkuu wa nchi ili tupate katiba bora kwa ustawi wa Taifa letu?.
 
Kila chama cha siasa kifanye siasa kwa kufuata sheria na katiba ya nchi,

ni muhimu sana wakiuka sheria na katiba ya nchi wakashughulikiwa kisawasawa na shaeria hizo hizo bila kujali kelele na mayowe ya vyama vyao ili iwe fundisho kwa vibaka na matapeli wengineo wa kisiasa 🐒
Huyu aliesema ebola na Mpox yuko wapi? Shida chawa huwa akili zao ni zero kabisa .

Mfano chawa analushiwa sh m3 kwa mkupuo basi anaona dunia yote inaisha leo. Kumbe maskini mpaka anarushiwa iyo mil 3 kama masalia ,anayemfanyia uchawa anazo anazilalia mpaka zinamchosha
 
Kesho G55 watasaini kanuni za uchaguzi kama chadema, pale kwenye ofisi za tume huru ya taifa ya uchaguzi,

uskose kufuatilia zoezi hili la kikatiba kesho 🐒
 
Back
Top Bottom