Tusimlaumu Rais Samia pekee viongozi wa vyombo vya usalama Tanzania hawana Uzalendo

Tusimlaumu Rais Samia pekee viongozi wa vyombo vya usalama Tanzania hawana Uzalendo

Kesho G55 watasaini kanuni za uchaguzi kama chadema, pale kwenye ofisi za tume huru ya taifa ya uchaguzi,

uskose kufuatilia zoezi hili la kikatiba kesho 🐒
Umesema G55 watasaini kama Chadema ,(zingatia neno kama, )

Chawa mnawakati mgumu sana.

Watu wa aina yako wanamchango mdogo sana katika taifa ,alisema mwendazake
 
Umesema G55 watasaini kama Chadema ,(zingatia neno kama, )

Chawa mnawakati mgumu sana.

Watu wa aina yako wanamchango mdogo sana katika taifa ,alisema mwendazake
mchango wa g55ni kesho mapema sana wanasaini kanuni kushiriki uchaguzi 🐒
 
N
Mie wamefuta uzi wangu nilioongelea namna CCM wanavyofisadi hii nchi huko Ruvuma kwenye uchimbaji wa Makaa ya Mawe.
ata mie, jana walifuta uzi wangu!! Ni aheri ka la ya kufuta uzi, mods wangekuwa wanaeleza huo uzi umemiuka kitu gani katika mwongozo wa JF.

Uongozi wa JF, ufuatilie malalamiko ya wanajukwaa. Huenda JF haihusiki, ila ndani ya watendaji wake, kukawa na watu ambao wamenunulika na hivyo kwenda kinyume cha miongozo ya JF.

LAKINI pamoja na mapungufu hayo madogo madogo, bado JF ndiyo platform pekee inayotegemewa kwa mawazo huru.
 
Kesho G55 watasaini kanuni za uchaguzi kama chadema, pale kwenye ofisi za tume huru ya taifa ya uchaguzi,

uskose kufuatilia zoezi hili la kikatiba kesho 🐒
Kwa faida ya nani?? CCM na vikaragosi vyake ama umma wa watanzania WENGI wanao taka reforms na secret ballots ziheshimiwe.
 
Kwa faida ya nani?? CCM na vikaragosi vyake ama umma wa watanzania WENGI wanao taka reforms na secret ballots ziheshimiwe.
Gentleman,
G55,
wanajipaga kuelekea tume huru ya Taifa ya uchaguzi asubuhi hii, pamoja na vyama vingine vya siasa nchini, kusani kanuni za uchaguzi kwa mujibu wa sheria, kwa faida ya ustawi wa Demokrasia nchini na maslahi ya Taifa kwa ujumla 🐒

au ulidhani wanasaini kwa faida yako binafsi gentleman?🤣
 
Ukiwa unatekeleza Majukumu yako gentleman 😊

Uwe unatafakari hii quote ""The greatness of a nation and its moral progress can be judged by the way its animals are treated""""
 
Ukiwa unatekeleza Majukumu yako gentleman 😊

Uwe unatafakari hii quote ""The greatness of a nation and its moral progress can be judged by the way its animals are treated""""
kwani,
who is a nation gentleman?🐒
 
Samia na vyombo vibalaumiwa Kwa lipi? Kuchukua hatua kuzuia uasi au?
Mzee choice variable HOJA ZAKO HAZINA UTOFAUTI NA MTU ALIE VAA SUTI NYEUPE ALAFU AKAPEWA LIFTI KWENYE GARI LA MKAA.😊😊😊

UKIPANDA KWENYE GARI LA MKAA...ULE MKAA UKIKUCHAFUA NA SUTI NYEUPE UKIUFUTA NDIO UNAVYO ZIDI KUCHAFUKA ZAIDI NA ZAIDI..
 
Lakini vijana wetu sio wale wa 1990's na 2000"s yaani upewo wao ni mdogo pamoja na kuongezeka kwa vyuo. Vijana wengi ni wajinga jinga na washabiki sio kama wenzao wa nchi jirani. vilana wamekuwa legelege sana. Kati ya wazalendo ambao tunawakumbuka mpaka leo ni Nyalali na IGP Mahundi. Walifuata viapo vyao kwa nchi sio Chama chochote au Mtu
Nimepita 88 Morogoro usiku ni miziki na midundo motomoto sifiasifia maaaaama mama mamaaaaa sijui kuna nini pale
 
Mzee choice variable HOJA ZAKO HAZINA UTOFAUTI NA MTU ALIE VAA SUTI NYEUPE ALAFU AKAPEWA LIFTI KWENYE GARI LA MKAA.😊😊😊

UKIPANDA KWENYE GARI LA MKAA...ULE MKAA UKIKUCHAFUA NA SUTI NYEUPE UKIUFUTA NDIO UNAVYO ZIDI KUCHAFUKA ZAIDI NA ZAIDI..
Narudia tena kosa la vyombo na Rais ni kupambana na mtu aliyekuwa anahamasiaha Umma kuasi na kuvuruga amani au?

Kama hivyo ndivyo basi wanatakiwa kupongezwa sana tena walichepewa.

Mtu mmja sio Bora Kuliko maelfu Kwa maelfu
 
Umenikumbusha novel ya The River Between by Kenyan author Ngugi wa Thiong'o.

Ndio nyinyi na apparatus zenu mnaamua kufanya Kama ya kwenye novel.

Salamaleko.
 
Mnaweza kufikiri ni sifa kuwanyanyasa wapinzani na kupata kiki lakini ukweli ni kwamba Tanzania na Raisi anaonekana ni wa ajabu ajabu. Heshima ya Raisi Samia aliyo kuwa nayo miaka ya 2021-2022 hawa machawa wameimaliza kabisa ndani na nje ya nchi. Mjue tu wanaye muunga Lissu mkono ni Watanzania kama walewale wanao waunga wakina Raisi Samia mkono. Hili sio swala la mtu mmoja ni watu wengi walio nyuma na wanakubaliana na huyo mtu. Lissu asingekuwa na watu wengi wana muunga mkono asingekuwepo hapa alipo msije kubadilisha mkafikiri ni swala la mtu mmoja

Kila chama cha siasa kifanye siasa kwa kufuata sheria na katiba ya nchi,

ni muhimu sana wakiuka sheria na katiba ya nchi wakashughulikiwa kisawasawa na shaeria hizo hizo bila kujali kelele na mayowe ya vyama vyao ili iwe fundisho kwa vibaka na matapeli wengineo wa kisiasa 🐒
Kwa mara ya kwanza, tangu nizaliwe nakubali hoja yako. Kushughulikiwa iwe haraka na iwe sawa na sheria na kusiwe na upendeleo mfano; Matamshi ya muenezi wa ccm dhidi ya CDM ilitakiwa ashughurikiwe kusaidia uchunguzi. Kumuacha ni kitu mbaya sn.
 
Back
Top Bottom