Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Hawato sign wakati makam mwenyekiti yupo, hawana mandate hiyo. Labda waanzishe chama chao pembenimchango wa g55ni kesho mapema sana wanasaini kanuni kushiriki uchaguzi 🐒
Hawato sign wakati makam mwenyekiti yupo, hawana mandate hiyo. Labda waanzishe chama chao pembenimchango wa g55ni kesho mapema sana wanasaini kanuni kushiriki uchaguzi 🐒
Inawezekana wakawa wameshapindua zamani za kale...uongozi wa CCM ni kama mwanasesere. Nasema hivyo kwa sababu hasira yao kwa upinzani imepita maelezo. Kuna kitu kikubwa sana hawataki kupokonywaTuwe makini sana na ushabiki. Vyombo vya usalama kama wakishajua wenyewe ndiyo wanaweka kura fake na wana uwezo wa kumtangaza kiongozi yeyote iko siku watatumia mbinu hizo hizo nguvu hiyo hiyo kupindua kwa kuwaibia wengine au wawapendao. Wakishajua wana nguvu kiasi hicho hawatakuwa na sababu yeyote ya kumsilikiza Raisi au chama kama wana nguvu ya kuhakikisha kituo kinamtangaza mtu wao ni kitu gani kitazuia wenyewe kuhakikisha anatangazwa mtu wao hata kama ni kwa kumuibia kura?
Tusije kushangaa siku moja wameweka mtu wao kwenye chama cha ajabu ajabu na huyo mtu kutangazwa msindi nani atabisha wakatu tume haiwezi kuhojiwa?
Bila mfumo mzuri Tanzania itakuwa zile nchi kama Pakistan au Egypt ambazo jeshi ndilo lina fanya maamuzi nani awe Raisi
Kama wewe hapa hata una andika wakati umelewa au😂 wewe kweli unaelewa umeandika huu ujumbe kuchangia nini hasa au kunipa hongera🤦🏾♂️😂. Pole ndugu inabidi tuombeane tuUna pointi ila unaongea pointless huna hoja unaongea ka mtoto mdogo...hujui kujenga hoja kwa kuleta mantiki...otherwise hongera kwa maono