Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
In the end, we will remember not the words of our enemies, but the silence of our friends." Martin Luther king JrKila chama cha siasa kifanye siasa kwa kufuata sheria na katiba ya nchi,
ni muhimu sana wakiuka sheria na katiba ya nchi wakashughulikiwa kisawasawa na shaeria hizo hizo bila kujali kelele na mayowe ya vyama vyao ili iwe fundisho kwa vibaka na matapeli wengineo wa kisiasa π
In the end, we will remember not the words of our enemies, but the silence of our friends." Martin Luther king Jr.πππππππ Tatizo kubwa ni usaliti na unafiki uliokithiri katika taifa hili. Tukiweza ku eliminate hilo kesho tu kila kitu kinakaa sawa by 90%
Wakuwalaumu tunawajua na wala hatuhitaji kufundishwa,wa kwanza ni aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya katiba,ambaye aliunyongea mchakato huu mikononi mwake hadi kukatisha maisha ya mchakato ule ulioratibiwa vyema na jaji Warioba hadi kuufikisha hatua nzuri ila aliye shindwa kuuvusha hii leo ni mwenye kinga na kwenye ule mchakato uliikataa kinga ili kulinusuru taifa,Matokeo yake fursa imeobekana ya kuliangamiza taifa.Ntu huyu ajue anayo laana duniani na hata mbinguni.Na maandiko yanasema aliyelaaniwa duniani amelaaniwa hata mbinguni.Tusimlaumu Raisi Samia pekee viongozi wa vyombo vya usalama TZ hawana Uzalendo
Polisi na usalama kuiba kura wakati wameapa kulinda sheria huo ni uzalendo wa aina gani?
Polisi na usalama kula ruhswa huo ni uzalendo wa aina gani?
Polisi na usalama kutumika kisiasa badala ya kuweka maslahi ya nchi huo ni uzalendo gani?
Hivyo tunatakiwa pamoja na Raisi Samia kuhoji hawa viongozi ambao wameguzwa kuwa machawa badala ya viongozi
Zambia ilikuwa kama Tanzania mpaka pale vyombo vya usalama vilipo amua kuweka nchi mbele na kusema tutafuata katiba sio siasa walikataa kuiba kura na kupendelea
Lakini vijana wetu sio wale wa 1990's na 2000"s yaani upewo wao ni mdogo pamoja na kuongezeka kwa vyuo. Vijana wengi ni wajinga jinga na washabiki sio kama wenzao wa nchi jirani. vilana wamekuwa legelege sana. Kati ya wazalendo ambao tunawakumbuka mpaka leo ni Nyalali na IGP Mahundi. Walifuata viapo vyao kwa nchi sio Chama chochote au Mtu
View attachment 3300412
View attachment 3300411
ushirikiana, imani potofu, dhana na nadharia mbalimbali za uwapendao, zibaki kwenye vitabu na kanga tu gentleman,In the end, we will remember not the words of our enemies, but the silence of our friends." Martin Luther king Jr
Samia na vyombo vibalaumiwa Kwa lipi? Kuchukua hatua kuzuia uasi au?
TEna mfute hayo maneno kwani mnajitafutia laana.Tangu lini chawa na genge lao wa wanajua maana halisi ya kazi,utu,amani,haki ndio kabisaaaa wanaonahata aibu kuitamka.ushirikiana, imani potofu, dhana na nadharia mbalimbali za uwapendao, zibaki kwenye vitabu na kanga tu gentleman,
but kazi na utu ni muhimu sana na kusonga mbele ni muhimu zaid π
mayowe na makelele ya vibaka na matapeli wa kisiasa nchini, ni muhimu sana wakupuuzwa tu ili hatimae serikali sikivu ya CCM ikaendelea kuwatumikia wanainchi kwa utulivu πTEna mfute hayo maneno kwani mnajitafutia laana.Tangu lini chawa na genge lao wa wanajua maana halisi ya kazi,utu,amani,haki ndio kabisaaaa wanaonahata aibu kuitamka.
Narudia tena Mamlaka zimeapa kulinda amani ya Nchi hii,haziwezi kuwachekea wanaotaka kuleta uvunjifu wa amni in the name of Demokrasia.TEna mfute hayo maneno kwani mnajitafutia laana.Tangu lini chawa na genge lao wa wanajua maana halisi ya kazi,utu,amani,haki ndio kabisaaaa wanaonahata aibu kuitamka.
Acha upumbavu,japo unatumia ID ya kujificha,acha ujinga,we huoni kua kuna mapungufu?mayowe na makelele ya vibaka na matapeli wa kisiasa nchini, ni muhimu sana wakupuuzwa tu ili hatimae serikali sikivu ya CCM ikaendelea kuwatumikia wanainchi kwa utulivu π
ππ Gentleman naona unanifokeaaππ€£ushirikiana, imani potofu, dhana na nadharia mbalimbali za uwapendao, zibaki kwenye vitabu na kanga tu gentleman,
but kazi na utu ni muhimu sana na kusonga mbele ni muhimu zaid π
Nitaelewa mkiwa jelaNdugu hujaelewa nenda kwenye mijadala mingine maana machawa wanajifanya hawaelewi kila kitu siku hizi kama misukule. Nenda kwenye topic za kusifia sifia tuache hapa tujadili hoja.
View: https://youtu.be/bsMYAk6cWaE?si=3vUAAidLEjILqPTi
Misosi ndio watu wanapambania ,bila tumbo hakuna struggle
Mkuu,Misosi ndio watu wanapambania ,bila tumbo hakuna struggle
Huyu aliesema ebola na Mpox yuko wapi? Shida chawa huwa akili zao ni zero kabisa .Kila chama cha siasa kifanye siasa kwa kufuata sheria na katiba ya nchi,
ni muhimu sana wakiuka sheria na katiba ya nchi wakashughulikiwa kisawasawa na shaeria hizo hizo bila kujali kelele na mayowe ya vyama vyao ili iwe fundisho kwa vibaka na matapeli wengineo wa kisiasa π
Kesho G55 watasaini kanuni za uchaguzi kama chadema, pale kwenye ofisi za tume huru ya taifa ya uchaguzi,Huyu aliesema ebola na Mpox yuko wapi? Shida chawa huwa akili zao ni zero kabisa .
Mfano chawa analushiwa sh m3 kwa mkupuo basi anaona dunia yote inaisha leo. Kumbe maskini mpaka anarushiwa iyo mil 3 kama masalia ,anayemfanyia uchawa anazo anazilalia mpaka zinamchosha