4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Umesema G55 watasaini kama Chadema ,(zingatia neno kama, )Kesho G55 watasaini kanuni za uchaguzi kama chadema, pale kwenye ofisi za tume huru ya taifa ya uchaguzi,
uskose kufuatilia zoezi hili la kikatiba kesho π
mchango wa g55ni kesho mapema sana wanasaini kanuni kushiriki uchaguzi πUmesema G55 watasaini kama Chadema ,(zingatia neno kama, )
Chawa mnawakati mgumu sana.
Watu wa aina yako wanamchango mdogo sana katika taifa ,alisema mwendazake
ata mie, jana walifuta uzi wangu!! Ni aheri ka la ya kufuta uzi, mods wangekuwa wanaeleza huo uzi umemiuka kitu gani katika mwongozo wa JF.Mie wamefuta uzi wangu nilioongelea namna CCM wanavyofisadi hii nchi huko Ruvuma kwenye uchimbaji wa Makaa ya Mawe.
Kwa faida ya nani?? CCM na vikaragosi vyake ama umma wa watanzania WENGI wanao taka reforms na secret ballots ziheshimiwe.Kesho G55 watasaini kanuni za uchaguzi kama chadema, pale kwenye ofisi za tume huru ya taifa ya uchaguzi,
uskose kufuatilia zoezi hili la kikatiba kesho π
Gentleman,Kwa faida ya nani?? CCM na vikaragosi vyake ama umma wa watanzania WENGI wanao taka reforms na secret ballots ziheshimiwe.
Ukiwa unatekeleza Majukumu yako gentleman πGentleman,
G55,
wanajipaga kuelekea tume huru ya Taifa ya uchaguzi asubuhi hii, pamoja na vyama vingine vya siasa nchini, kusani kanuni za uchaguzi kwa mujibu wa sheria, kwa faida ya ustawi wa Demokrasia nchini na maslahi ya Taifa kwa ujumla π
au ulidhani wanasaini kwa faida yako binafsi gentleman?π€£
kwani,Ukiwa unatekeleza Majukumu yako gentleman π
Uwe unatafakari hii quote ""The greatness of a nation and its moral progress can be judged by the way its animals are treated""""
Mkuu unanitwanga swali la CIVICS form one.kwani,
who is a nation gentleman?π
relax gentleman πMkuu unanitwanga swali la CIVICS form one.
Kweli mkuu hujui definition yake kweli gentleman π
Kwani wao ni akina nani?.Nakuhakishia uzi wako huu utafutwa au ku editiwa sio muda, Hawa mods wa jf hawataki kabisa uwaongelee usalama humu jukwaani.
Ufisasi unaoendelea na kutokuwa tayari kuleta mageuzi kwa manufaa ya Taifa.Samia na vyombo vibalaumiwa Kwa lipi? Kuchukua hatua kuzuia uasi au?
100% then?
Gentleman,relax gentleman π
Mzee choice variable HOJA ZAKO HAZINA UTOFAUTI NA MTU ALIE VAA SUTI NYEUPE ALAFU AKAPEWA LIFTI KWENYE GARI LA MKAA.πππSamia na vyombo vibalaumiwa Kwa lipi? Kuchukua hatua kuzuia uasi au?
Nimepita 88 Morogoro usiku ni miziki na midundo motomoto sifiasifia maaaaama mama mamaaaaa sijui kuna nini paleLakini vijana wetu sio wale wa 1990's na 2000"s yaani upewo wao ni mdogo pamoja na kuongezeka kwa vyuo. Vijana wengi ni wajinga jinga na washabiki sio kama wenzao wa nchi jirani. vilana wamekuwa legelege sana. Kati ya wazalendo ambao tunawakumbuka mpaka leo ni Nyalali na IGP Mahundi. Walifuata viapo vyao kwa nchi sio Chama chochote au Mtu
Narudia tena kosa la vyombo na Rais ni kupambana na mtu aliyekuwa anahamasiaha Umma kuasi na kuvuruga amani au?Mzee choice variable HOJA ZAKO HAZINA UTOFAUTI NA MTU ALIE VAA SUTI NYEUPE ALAFU AKAPEWA LIFTI KWENYE GARI LA MKAA.πππ
UKIPANDA KWENYE GARI LA MKAA...ULE MKAA UKIKUCHAFUA NA SUTI NYEUPE UKIUFUTA NDIO UNAVYO ZIDI KUCHAFUKA ZAIDI NA ZAIDI..
Umenikumbusha novel ya The River Between by Kenyan author Ngugi wa Thiong'o.Narudia tena kosa la vyombo na Rais ni kupambana na mtu aliyekuwa anahamasiaha Umma kuasi na kuvuruga amani au?
Kama hivyo ndivyo basi wanatakiwa kupongezwa sana tena walichepewa.
Mtu mmja sio Bora Kuliko maelfu Kwa maelfu
Kwa mara ya kwanza, tangu nizaliwe nakubali hoja yako. Kushughulikiwa iwe haraka na iwe sawa na sheria na kusiwe na upendeleo mfano; Matamshi ya muenezi wa ccm dhidi ya CDM ilitakiwa ashughurikiwe kusaidia uchunguzi. Kumuacha ni kitu mbaya sn.Kila chama cha siasa kifanye siasa kwa kufuata sheria na katiba ya nchi,
ni muhimu sana wakiuka sheria na katiba ya nchi wakashughulikiwa kisawasawa na shaeria hizo hizo bila kujali kelele na mayowe ya vyama vyao ili iwe fundisho kwa vibaka na matapeli wengineo wa kisiasa π