CHIBURABANU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 2,921
- 3,474
Mi alichonifurahisha ni kuhusu kubadili katiba mpya, hill tu likifanyika mbona serikali itakuwa chini ya wananchi walioichagua..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM wenyewe mpaka sasa ahadi ya SGR inaenda kuwashinda mradi unaenda kwa kusuasua hawajalipwa miezi minne mpaka wafanyakazi wanataka kufanya migomo na ujenzi wa Reli kusimama.Navyoo fahamu ahadi ya UCHAGUZI sio lazima itekelezeke kwa mwaka mmoja
Inaweza kuwa mchakato wa muda mrefu ila lengo kuuu likiwa nikuhakikisha Kila mtanza napata BIMA YA AFYA nazani LISU amesema na nimemsikia hapa Arusha kwamba Kila MTANZANIA atapata bima kwa gharama nafuu Tena shaba ikiwa Kila MTANZANIA kupata bima nazani nisera nzuri usikimbilie kuwaza KUSHINDWA na pia naaamini tukichukulia sera za wagombea positive itasaidia ata serekali itakayo ingia madarakani kuanagali Kama nijambo jema ikalichukua na kutekeleza watanzania tukanufaika
Hi nchi niyetu sote wazo lakujenga niletu sote
KAMA ELEIMU BURE ILIKUWA YA UPINZANI LEO INATEKELEZWA NA CCM
NA MAMBO YANENDA VIZURII
KUWA MTANZANIA WEKA TANZANIA MBELE USIBABAIKE NA VYAMA JALI SERA KWA MASILAHI YA TAIFA TUSONGE MBELE
SIASA ZA KUPINGANA KWENYE MAENDELEO ZITATURUDISHA NYUMA BADALA KWENDA MBELE
Usiana na hoja tajwa hapo juu kabiliana nayo ukiona huwezi kuistahimili tuliza jazba subiri watu wenye kuelewa misingi ya hoja tajwa waku saidie utapata faida zaidi kuliko kuchangia nje ya hoja husikaMILIONI 50 KILA KIJIJI
SGR wapo hoi hawajalipwa ujenzi unaenda kusimama, pesa zote kazichukua Hazina kazipeleka chato na zingine kapeleka kwenye kampeniTatizo mgombea Fulani ameahidi ndege na meli za mizigo, hana jipya kwenye afya wala elimu
Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Nini contribution ya ofisi ya chama kwenye ujenzi na ustawi na nchi hii na watu wake? Je ofisi za ccm zimecontribute kwa kiwango gani kwenye maendeleo ya nchi yetu na watu wake kwa miaka 60?Ahadi za TL ni sawa na ahadi za mlevi wa Konyagi, kama wameshindwa kujenga hata ofisi ya chama chao wataweza ya kuwajengea Watanzania mahitaji yao? Ruzuku ya 320+ millioni kila mwezi pamoja na michango ya wabunge wao wameshindwa kuwa na ofisi miaka zaidi ya 20 tangu hiki chama kianzishwe na baba mkwe wa mlevi wa konyagi.
CCM ni chama cha kishetani na hovyo kilichosalia DunianiMiaka 59 nchi imewashinda nyinyi mapimbi wa kijani kibichi , mumpige risasi helafu mumpangie na Cha kuongea , eti asiongelee kupigwa risasi hivi wewe mzima kweli ? Akili za kihutu za ajabu sana mmeshindwa kuleta maji kwa watanzania , madawati yamewashinda ,kila kitu mmeshindwa .View attachment 1554729![]()
Wewe ni mgumu wa kuelewausiana na hoja tajwa hapo juu kabiliana nayo ukiona huwezi kuistahimili tuliza jazba subiri watu wenye kuelewa misingi ya hoja tajwa waku saidie utapata faida zaidi kuliko kuchangia nje ya hoja husika
Hawa wajinga wa ccm wao wanaangalia madaraka yao tu mkuu nchi hii na watu wake haijawahi kuwa kipaumbele chaoNavyoo fahamu ahadi ya UCHAGUZI sio lazima itekelezeke kwa mwaka mmoja
Inaweza kuwa mchakato wa muda mrefu ila lengo kuuu likiwa nikuhakikisha Kila mtanza napata BIMA YA AFYA nazani LISU amesema na nimemsikia hapa Arusha kwamba Kila MTANZANIA atapata bima kwa gharama nafuu Tena shaba ikiwa Kila MTANZANIA kupata bima nazani nisera nzuri usikimbilie kuwaza KUSHINDWA na pia naaamini tukichukulia sera za wagombea positive itasaidia ata serekali itakayo ingia madarakani kuanagali Kama nijambo jema ikalichukua na kutekeleza watanzania tukanufaika
Hi nchi niyetu sote wazo lakujenga niletu sote
KAMA ELEIMU BURE ILIKUWA YA UPINZANI LEO INATEKELEZWA NA CCM
NA MAMBO YANENDA VIZURII
KUWA MTANZANIA WEKA TANZANIA MBELE USIBABAIKE NA VYAMA JALI SERA KWA MASILAHI YA TAIFA TUSONGE MBELE
SIASA ZA KUPINGANA KWENYE MAENDELEO ZITATURUDISHA NYUMA BADALA KWENDA MBELE
Kama taifa ukiacha unafki kuna hoja za msingi Sana katika ila inayo nadiwa na chadema Kama taifa tukitaka kupiga hatua na kuwa nufaisha watanzania kwa ujamula bila kuangalia mafanikio ya watu wa chache elimu ya kupima kufaulu mtihani ndio akili imelitwa na wakati.Hawa wajinga wa ccm wao wanaangalia madaraka yao tu mkuu nchi hii na watu wake haijawahi kuwa kipaumbele chao
Wewe punguani kweli. CCM wamefanya hayo kwa hela zao? Magufuli wanafanya haya kwa hela zake?Ahadi za TL ni sawa na ahadi za mlevi wa Konyagi, kama wameshindwa kujenga hata ofisi ya chama chao wataweza ya kuwajengea Watanzania mahitaji yao? Ruzuku ya 320+ millioni kila mwezi pamoja na michango ya wabunge wao wameshindwa kuwa na ofisi miaka zaidi ya 20 tangu hiki chama kianzishwe na baba mkwe wa mlevi wa konyagi.
Tanzania kwa taarifa yako ajira zilizotokana katika mipango ya awamu ya tano ni nyingi sana, unaweweseka kwa sababu huwezi kusoma millioni 8? Haya sasa nimekwambia hiyo ni millioni nane nenda kajishaue.hii 8000000 ni kupelekana peponi ukiwa unaua
View attachment 1554720Hiyo je
Go back to school rather than wasting precious time.Nini contribution ya ofisi ya chama kwenye ujenzi na ustawi na nchi hii na watu wake? Je ofisi za ccm zimecontribute kwa kiwango gani kwenye maendeleo ya nchi yetu na watu wake kwa miaka 60?
Hoja inahusu utekelezaji wa ahadi za lisu ususa swala la bima usilete habari za magufuli au membe au hashimu rugwe au lipumba elewa hoja acha ubishiW
Wewe ni mgumu wa kuelewa
Kawadanganye mbulura wenzio wa Lumumba, na Laptop za walimu zimenunua madawati kila shule?Hiyo millioni 50 imezaa zahanati na umeme wa REA kila kijiji..kumbuka kujiungia umeme ilikuwa 170,000 na sasa ni elf 27 tu..upewe nini?
Kumbe kumekucha! Kama kwa miaka 5 tumeajiri milion 1 je miaka hii ya maajabu m8 tutaajiri tuu.Tanzania kwa taarifa yako ajira zilizotokana katika mipango ya awamu ya tano ni nyingi sana, unaweweseka kwa sababu huwezi kusoma millioni 8? Haya sasa nimekwambia hiyo ni millioni nane nenda kajishaue.