Uchaguzi 2020 Tusimuache Lissu atuahidi yasiyowezekana

Uchaguzi 2020 Tusimuache Lissu atuahidi yasiyowezekana

Mi alichonifurahisha ni kuhusu kubadili katiba mpya, hill tu likifanyika mbona serikali itakuwa chini ya wananchi walioichagua..
 
Navyoo fahamu ahadi ya UCHAGUZI sio lazima itekelezeke kwa mwaka mmoja
Inaweza kuwa mchakato wa muda mrefu ila lengo kuuu likiwa nikuhakikisha Kila mtanza napata BIMA YA AFYA nazani LISU amesema na nimemsikia hapa Arusha kwamba Kila MTANZANIA atapata bima kwa gharama nafuu Tena shaba ikiwa Kila MTANZANIA kupata bima nazani nisera nzuri usikimbilie kuwaza KUSHINDWA na pia naaamini tukichukulia sera za wagombea positive itasaidia ata serekali itakayo ingia madarakani kuanagali Kama nijambo jema ikalichukua na kutekeleza watanzania tukanufaika
Hi nchi niyetu sote wazo lakujenga niletu sote
KAMA ELEIMU BURE ILIKUWA YA UPINZANI LEO INATEKELEZWA NA CCM
NA MAMBO YANENDA VIZURII
KUWA MTANZANIA WEKA TANZANIA MBELE USIBABAIKE NA VYAMA JALI SERA KWA MASILAHI YA TAIFA TUSONGE MBELE
SIASA ZA KUPINGANA KWENYE MAENDELEO ZITATURUDISHA NYUMA BADALA KWENDA MBELE
CCM wenyewe mpaka sasa ahadi ya SGR inaenda kuwashinda mradi unaenda kwa kusuasua hawajalipwa miezi minne mpaka wafanyakazi wanataka kufanya migomo na ujenzi wa Reli kusimama.
 
MILIONI 50 KILA KIJIJI
Usiana na hoja tajwa hapo juu kabiliana nayo ukiona huwezi kuistahimili tuliza jazba subiri watu wenye kuelewa misingi ya hoja tajwa waku saidie utapata faida zaidi kuliko kuchangia nje ya hoja husika
 
Miaka 59 nchi imewashinda nyinyi mapimbi wa kijani kibichi , mumpige risasi helafu mumpangie na Cha kuongea , eti asiongelee kupigwa risasi hivi wewe mzima kweli ? Akili za kihutu za ajabu sana mmeshindwa kuleta maji kwa watanzania , madawati yamewashinda ,kila kitu mmeshindwa .
IMG_20200831_133747.jpg
2504063_IMG_20200830_174520.jpg
 
Attachments

  • IMG_20200830_174520.jpg
    IMG_20200830_174520.jpg
    46.6 KB · Views: 1
Ahadi za TL ni sawa na ahadi za mlevi wa Konyagi, kama wameshindwa kujenga hata ofisi ya chama chao wataweza ya kuwajengea Watanzania mahitaji yao? Ruzuku ya 320+ millioni kila mwezi pamoja na michango ya wabunge wao wameshindwa kuwa na ofisi miaka zaidi ya 20 tangu hiki chama kianzishwe na baba mkwe wa mlevi wa konyagi.
Nini contribution ya ofisi ya chama kwenye ujenzi na ustawi na nchi hii na watu wake? Je ofisi za ccm zimecontribute kwa kiwango gani kwenye maendeleo ya nchi yetu na watu wake kwa miaka 60?
 
Miaka 59 nchi imewashinda nyinyi mapimbi wa kijani kibichi , mumpige risasi helafu mumpangie na Cha kuongea , eti asiongelee kupigwa risasi hivi wewe mzima kweli ? Akili za kihutu za ajabu sana mmeshindwa kuleta maji kwa watanzania , madawati yamewashinda ,kila kitu mmeshindwa .View attachment 1554729
2504063_IMG_20200830_174520.jpg
CCM ni chama cha kishetani na hovyo kilichosalia Duniani
 
Ole Mushi aache unafiki ,Sera za chadema ni Uhuru ,Haki na Maendeleo ya watu.........Kwenye Uhuru kuna mambo mengi sana ,Kuna uhuru wa mtanzania kufanya manunuzi ,uhuru wa kujieleza ,uhuru wa kutoa maoni ,uhuru wa kufanya mambo bila kuvunja sheria...

Swala la lissu kupigwa risasi lipo kwenye uhuru wa kutoa maoni na kujieleza ,Azory kupotea nayo ni uhuru wa kutoa maoni ,Ben saa nane kuuawa nayo ipo kwenye uhuru wa kutoa maoni,kwahiyo sera ua uhuru wa kutoa maoni ndipo swala la kupigwa risasi,kuuawa kwa azory/ben ndio huajwa kama mifano.
 
W
usiana na hoja tajwa hapo juu kabiliana nayo ukiona huwezi kuistahimili tuliza jazba subiri watu wenye kuelewa misingi ya hoja tajwa waku saidie utapata faida zaidi kuliko kuchangia nje ya hoja husika
Wewe ni mgumu wa kuelewa
 
Navyoo fahamu ahadi ya UCHAGUZI sio lazima itekelezeke kwa mwaka mmoja
Inaweza kuwa mchakato wa muda mrefu ila lengo kuuu likiwa nikuhakikisha Kila mtanza napata BIMA YA AFYA nazani LISU amesema na nimemsikia hapa Arusha kwamba Kila MTANZANIA atapata bima kwa gharama nafuu Tena shaba ikiwa Kila MTANZANIA kupata bima nazani nisera nzuri usikimbilie kuwaza KUSHINDWA na pia naaamini tukichukulia sera za wagombea positive itasaidia ata serekali itakayo ingia madarakani kuanagali Kama nijambo jema ikalichukua na kutekeleza watanzania tukanufaika
Hi nchi niyetu sote wazo lakujenga niletu sote
KAMA ELEIMU BURE ILIKUWA YA UPINZANI LEO INATEKELEZWA NA CCM
NA MAMBO YANENDA VIZURII
KUWA MTANZANIA WEKA TANZANIA MBELE USIBABAIKE NA VYAMA JALI SERA KWA MASILAHI YA TAIFA TUSONGE MBELE
SIASA ZA KUPINGANA KWENYE MAENDELEO ZITATURUDISHA NYUMA BADALA KWENDA MBELE
Hawa wajinga wa ccm wao wanaangalia madaraka yao tu mkuu nchi hii na watu wake haijawahi kuwa kipaumbele chao
 
Na sasa CCM inawatumia Takukuruccm Uhamiajiccm kupora majimbo kienyeji kwa njia haramu za kishamba na kishetani kwa kutumia Neno la kijinga kuwa kapita bila kupingwa
 
Hakuna popote katika hotuba za Lissu amesema atatoa BIMA YA AFYA YA BURE.
Tusipotoshe.
 
Hawa wajinga wa ccm wao wanaangalia madaraka yao tu mkuu nchi hii na watu wake haijawahi kuwa kipaumbele chao
Kama taifa ukiacha unafki kuna hoja za msingi Sana katika ila inayo nadiwa na chadema Kama taifa tukitaka kupiga hatua na kuwa nufaisha watanzania kwa ujamula bila kuangalia mafanikio ya watu wa chache elimu ya kupima kufaulu mtihani ndio akili imelitwa na wakati.

Sasa elimu yenye soko duniani ni ya maarifa ya kuweza kufanya nn katika jamii na kujipatia kipato na kutengeneza ajira.

AFYA Imekuwa kikwanzo sana watu wanafilisika kwa kuumwa tu inatakiwa mpango mkakati mtu akiiwa ugojwa mkubwa asiwaze kuwa masikini kutokana na ugojwa.
 
Ahadi za TL ni sawa na ahadi za mlevi wa Konyagi, kama wameshindwa kujenga hata ofisi ya chama chao wataweza ya kuwajengea Watanzania mahitaji yao? Ruzuku ya 320+ millioni kila mwezi pamoja na michango ya wabunge wao wameshindwa kuwa na ofisi miaka zaidi ya 20 tangu hiki chama kianzishwe na baba mkwe wa mlevi wa konyagi.
Wewe punguani kweli. CCM wamefanya hayo kwa hela zao? Magufuli wanafanya haya kwa hela zake?
 
hii 8000000 ni kupelekana peponi ukiwa unaua
View attachment 1554720Hiyo je
Tanzania kwa taarifa yako ajira zilizotokana katika mipango ya awamu ya tano ni nyingi sana, unaweweseka kwa sababu huwezi kusoma millioni 8? Haya sasa nimekwambia hiyo ni millioni nane nenda kajishaue.
 
Nini contribution ya ofisi ya chama kwenye ujenzi na ustawi na nchi hii na watu wake? Je ofisi za ccm zimecontribute kwa kiwango gani kwenye maendeleo ya nchi yetu na watu wake kwa miaka 60?
Go back to school rather than wasting precious time.
 
Hiyo millioni 50 imezaa zahanati na umeme wa REA kila kijiji..kumbuka kujiungia umeme ilikuwa 170,000 na sasa ni elf 27 tu..upewe nini?
Kawadanganye mbulura wenzio wa Lumumba, na Laptop za walimu zimenunua madawati kila shule?
 
Oooh kama hata m
Tanzania kwa taarifa yako ajira zilizotokana katika mipango ya awamu ya tano ni nyingi sana, unaweweseka kwa sababu huwezi kusoma millioni 8? Haya sasa nimekwambia hiyo ni millioni nane nenda kajishaue.
Kumbe kumekucha! Kama kwa miaka 5 tumeajiri milion 1 je miaka hii ya maajabu m8 tutaajiri tuu.

Tutaajiri au tutaendelea na kwaya yetu “ watanzania mjiajiri”
 
Back
Top Bottom