Umesoma na kuelewa nilichoandika? Tunavyosema bima Ina kuwa na masharti yake. Hakuna bima ya 100%.Huwezi kuwa na kansa ya ubongo ukahitaji upasuaji Basi bima haitakusaidia hata use na bima ya namna gani.ikabili hoja hapo juu inatekelezeka vip bila jaziba bali kisomi zaidi kwa data na uwaledi bila matusi wala dhiaka
Jamaa chizi huyo .... Hizo ahadi za CCM anazodai zinazotekelezeka sijui ni zipi? Ajira million 8, au za Million 50 kila kijiji na laptop kwa walimu!!?CCM imeahidi ahadi hewa kibao kwa miaka 50 sasa na tumewaacha tu, ngoja tujaribu ahadi za Lissu hata kama haziwezekani
Za kwenu tumezichoka
Nimedanganya ninyi? Kwenu chuoni bima yenu kwa mwaka Ni sh. Ngapi? Na ushawahi kwenda hospitali ikakataliwa?Unapenda kudanganyika
Kwani tofauti Ni Nini? Au unadhani wanachuo wanapata faida? So kweli kwa sababu Kuna mtu Hadi mwaka unaisha hajakanyaga hospitali, akiumwa ataenda na bima kuchukua dawa ambazo Mara nyingi gharama hata elfu 5 hazifiki.Unataka utuletee vifurushi vya chuo au sio.?
Itabidi watz wote tuwe wanachuo..
Mungu ni mlipaji...Jamaa ana laana ya Mwenyezi Mungu. Kafanya maovu mengi sana na wengi wamemshtakia Mungu. Bomoa bomoa, kuwafukuza watu kazi, kesi fake, utekaji, utesaji na Mauaji. Sasa kila analogusa HALIFANIKIWI.
MILIONI 50 KILA KIJIJI
Lissu anatoa ahadi zinazotekelezeka sio zile za milion 50 kila kijiji au laptop kila mwalimu.
Laptop bure kwa walimu
Afadhali umenistuaUtakuwa umempa credit za bure , TataMadiba ka copy na ku paste kwa mtafuta teuzi Ole Mushi.
Hana uwezo akili yake Ni Kama hiiAfadhali umenistua
Ndiyo maana kazi yake ni kupongeza tu basiHana uwezo akili yake Ni Kama hii
Lisu sera zake anatoa hapa JF kwa washabiki wake, leo kuna mtu kaweka siku kumi za uraisi wake atafanya nini, kesho akiingia jukwaani utasikia ndio habali.
Hakuna tafiti zozote kulingana na ahadi zake,
Kwamba hizo bima akishazitoa bure pesa yake itatokana na nini?
Je chanzo kipya atakitoa wapi ili hilo litimie,? je anapo punguza kodi hilo gep ataliziba na nini ili pesa ipatikane bila kuathili shughuli zingine? kulipa fidia pesa itatoka wapi? Anapo ongeza mishahara na itakuwa kiasi gani kwa mwezi na itakuwa kiasi gani kwa mwaka na zitatokana na nini?
Ukishakua ccm akili zinahamia nyuma ndio tatizoJamaa chizi huyo .... Hizo ahadi za CCM anazodai zinazotekelezeka sijui ni zipi? Ajira million 8, au za Million 50 kila kijiji na laptop kwa walimu!!?
Noah zetu mkuuAhadi za TL ni sawa na ahadi za mlevi wa Konyagi, kama wameshindwa kujenga hata ofisi ya chama chao wataweza ya kuwajengea Watanzania mahitaji yao? Ruzuku ya 320+ millioni kila mwezi pamoja na michango ya wabunge wao wameshindwa kuwa na ofisi miaka zaidi ya 20 tangu hiki chama kianzishwe na baba mkwe wa mlevi wa konyagi.
Kwa hiyo kwenye ilani yenu hapakuwa na hizo issue za zahanati na REA?Hiyo millioni 50 imezaa zahanati na umeme wa REA kila kijiji..kumbuka kujiungia umeme ilikuwa 170,000 na sasa ni elf 27 tu..upewe nini?
Kuandika upuuzi mbele ya jamii ya watu wenye upeo ni kujidhalilisha!Unahisi umeandika cha maana lakini watu timamu tunakuona mpumbav ambaye hujapevuka!JF sio size yako,hamia facebook upeleke mipasho yako!Ahadi za TL ni sawa na ahadi za mlevi wa Konyagi, kama wameshindwa kujenga hata ofisi ya chama chao wataweza ya kuwajengea Watanzania mahitaji yao? Ruzuku ya 320+ millioni kila mwezi pamoja na michango ya wabunge wao wameshindwa kuwa na ofisi miaka zaidi ya 20 tangu hiki chama kianzishwe na baba mkwe wa mlevi wa konyagi.