Tusimulie love story yako kwa kifupi tujifunze

Tulimaliza wote 4m four,tukakutana fb tukapeana no,tukawa tunachati Mara moja moja,akanieleza hisia zake by that time nlikua single nkaona nimkubali anicompany,mapenzi yakawa yakuchati tu for two month,nikasafiri one day tukamit.akaniomba mzigo nkagoma,nlivyotoka hapo akawa hanibembelezi tena anachati km anachat n Dada ake, alafu m ndo nikawa naanza kumtafuta daily nkimtafuta story hazinogi nakuwa km na mlazmisha,n mm hisia zkakata nkamwambia tuachane akakubali .nlichukulia pow but nliumia maumivu yalivyozidi after a weak turudiane akagoma.basi maisha yakasonga hadi sasa ni 4 month hatunamawasiliano yeyote
 
Daah!! Story inaanzia college 2015 she was my classmate,nilipokutana nae nilijiona kabisa uyu ndo mwanamke wa maisha yangu...nikaanzisha mazoea nae Hadi kupelekea kua wapenzi,nikaomba game alikua still kizbo akijawah kufunguliwa na opener hivyo alikua muoga muoga..nikamfundsha mchezo na sheria za mchezo Cha ajabu akawa kocha wa mchezo Yani alinogewa Hadi nikaanza kuhisi Ana mapepo ya ngono au...but all in all alikuja kunipiga na kitu kizito baada ya kukuta text za mchiz mwngine akimsifia binti anavoyajua Mambo na jinsi anavompa raha...

###Demu wako demu wetu
 
pole Sana...
 
Siku za nyuma, kuna Binti pale mtaani kwetu alisifika sana kwa kukataa wanaume. Basi nilivyoambiwa tu nikajisemea moyoni huyu ndio anafaa kuwa mke wangu, wanaume huwa hatupendi wanawake wanaokubali kila mtu hivyo nikapata shauku ya kumfuatilia. Niligundua anaimba kwaya Kanisani pia ameokoka. Basi na mimi nikaanza kuwa mtu wa Church. Kila jumapili alikuwa ananiona Church, nikawa nimezoeana nae mwisho wa siku nikaomba mzigo. Alikataa na akasema yeye hapendi hayo mambo pia ni yeye bado Bikra.

Baada ya kunijuza kuwa yeye bado Bikra nikaongeza sana juhudi za kumsumbua, kuna siku alielewa somo akaniambia atakuja Gheto mchana. Nilimsubiri hadi saa Kumi ndio akaja. Sasa sikuile aliyokuja ilikuwa ni Jumamosi na kulikuwa na Mechi ya ligi na mimi nilikuwa mchezaji tegemezi kwenye timu ya pale mtaani. Muda ambao Dem amekuja ndio muda huohuo kuna kiongozi wa Timu akanipitia ili tuwahi mechi. Ikabidi nimuache Dem ili niende Mpirani. Dem alionyesha kuchukizwa yani kumbe mimi napenda sana mpira kuliko yeye.

Siku iliyofuata nilienda Church kwa lengo nionane nae ili nije nimuombe samahani. ili mchakato uendelee. Sasa kule Kanisani sikuile muda wa Maombezi yule Binti si alidondoka akaanza kupandisha mashetani!. Niliona yale mapepo yanasema hatutoki, tupo saba kuanzia Kichwani, Tumboni hadi sehemu za siri, mkitutoa hapa tutamsubiri nje. Aliombewa saa nzima yakawa yametoka.

Aisee!, Hamu ya kula papuchi ikaniishia. Ila baada kama ya wiki mbili hivi Binti alikuja Gheto kunisalimia, japo najua alishanipenda. Nikajikuta napata shauku ya kujaribu kubanjua Bikra maana alikuwa kwenye 18 zangu. Nilianza kumuandaa huku nanamvua nguo taratibu, sasa alivyokolea utamu tu nikashangaa kumuona amezimia. Niliogopa ikabidi nifungue mlango wa gheto ili likitokea lolote iwe rahisi mimi kukimbia. Ila nashukuru Mungu baada ya dakika 5 Binti akazinduka.

Nikaanza zoezi la kumuandaa upya huku nikiwa tayari nimeshamvua nguo zote, Ikawa kila akinogewa tu anazimia hajitambui. Nikataka nibanjue tu Bikra kisha niachane nae, weeeee! ile kugusa tu papuchi, Binti alizinduka akanisukuma nikadondoka, akaanza kupandisha mapepo yanampiga marufuku kutoa papuchi, nikatoka nduki nje. Kuna jirani yangu pale nje nae alikuwa mlokole nilimwambia akaja kufanya maombi hadi yule binti akatulia.
 
hivi viumbe vina drama nyingi,

atarukaruka huko alafu mwisho anarudi kukuomba msamaha, msubiri atarudi huyo.
 
Sasa kwa nini ulikuwa unaleta stori za sitaki nataka?
 
Nimemdanganya jina langu



Nimemdanganya dini kwamba mi ni mkristo


Nimetoa usichana wake



Ananipenda vibaya mnoo




Nataka nikimbie maana nilipanga kupiga tu ila roho inauma ..naanza kumpenda


Sasa kumwambia ukweli ni shughuli saa nyingine nasema bora nimkimbie liwalo na liwe


Sio love story zote ni nzuri
 
🤣🤣🤣🤣Atiiii njiwa msumbufu..
 
Nimecheka kinoma😂😂😂
 
we jamaa mung anakuona!

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Miaka mitatu unasex kwa punyeto?
 
Aisee utakuja ujutie vibaya
 
Ushauri niliopewaga na mama yangu mkubwa ni kwamba hakikisha ata side chick ni mzuri maana hawa side chicks ndio wanaishia kuwa wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…