Tusimung'unye maneno, tatizo la ukosefu wa ajira hapa nchini Tanzania ni matokeo ya utawala wa Magufuli

Huna akili
 
Wewe ni mgeni hapa Tanganyika
 
Nchi hii ina vilaza wengi, mtu hayupo bado mnamjadili! Kama unafikiri kuajili ni rahisi Kwa nini usiwambie waliohai wawaajiri? Kama unaumiza kichwa ukijua kuna ajira unakosea Sana! Nchi hii masikini haina hela ya kuajiri malfu ya watu wanaomaliza vyuo. Hebu fikiria vyuo vikuu 50, vyuo vya diploma 320, vyeti 470 Kwa Mchumi gani?
Acheni kudanganyana!
 
Magufuli alitengeneza kazi nyingi sana kwenye miradi ya ujenzi wa miundo mbinu. Malamikaji hakutaka kufanya kazi hizo za kwenye makampuni ya ujenzi bali alitegemea kazi zimfuate hapo hapo alipo badala ya yeye kufuata kazi huko ziliko.
 
True
 
Mleta uzi fanya uchambuzi wako vizuri. Swala la ajira ni la dunia nzima na Magu kalikuta na litaendelea kuwepo kama mtafuta ajira mwenyewe asipobadili mbinu za kukabiliana nalo. Ukweli ni kwamba kazi ziko nyingi ila ajira ni chache sana. Sasa chagua unatafuta ajira au unatafuta kazi.
 
Nenda Chato
Watu hufuata kazi ziliko siyo kazi zikufuate wewe. Ujenzi wa SGR uliajiri watu competent, Ujenzi wa Bwawa la Nyerere Uliajiri watu competent, ujenzi wa Daraja la Tanzanite Uliajiri watu competent, Ujenzi wa barabara mbalimbali ulikuwa unaajiri watu competent, ATCL ilipofufuliwa nayo ikaajiri watu competent. Kama wewe hukuwa mmoja wa walioajriwa basi ama hukuwa competent au hukuomba kazi hizo kwa kutozipenda (mchagua jembe siyo mkulima)
 
Kalilie Chato sasa
 
Kalilie Chato sasa
Wewe ndiye unayelia kuwa huna kazi, nenda ukalilie Chato kutoa laana zako. Mimi niko niko fiti sina matatizo kama yako ya kutokuwa na kazi na huenda hata mlo wako ni wa shida shida ndiyo maana unalamika kupunguza stress zako. Ukitaka nikusaidie pesa kidogo ya kupunguzia matatizo basi wasiliana nami kule PM nitakutumia dola kadhaa kwenye mpesa yako upunguze stress.
 
Hatutaki kelele mjini
Wahi chato ulie machozi ya uchungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…