Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
- Thread starter
- #81
Pole sana.Inaumiza sana nduguyangu nilisota zaidi ya miaka 8 kujikusanya afu jasho langu linakuja kupotea ndani ya miezi 6 tu,walikamata canter yangu mashinezangu mbili za kukamua alizeti mbaya zaidi wakawa wasumbua mpaka wale niliokua nafanyanao biashara.
Nilipoachiliwa kuanza kufuatilia malizangu police daaah nilisumbuliwa mwezi mzima nakuja kukabidhiwa gari haina injini badala ya kurudishiwa mashinezangu za kukamulia alizeti napewa injini mbili za pikipiki aina ya king lion naambiwa ndio malizangu nilizoqndikisha Daaah.
Lakini yote hayo yalisababishwa na kichaa mmoja ambae aliwaaminisha wajinga wengi kua umasikini ni jambo la sifa na mtu mwenye hela ni mwizi.
Ungekuwa mbali sana mpaka sasa.
Yule Mzee mungu wa maskini, wajinga na wapumbavu aliboa sana