Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
- Thread starter
-
- #81
Pole sana.Inaumiza sana nduguyangu nilisota zaidi ya miaka 8 kujikusanya afu jasho langu linakuja kupotea ndani ya miezi 6 tu,walikamata canter yangu mashinezangu mbili za kukamua alizeti mbaya zaidi wakawa wasumbua mpaka wale niliokua nafanyanao biashara.
Nilipoachiliwa kuanza kufuatilia malizangu police daaah nilisumbuliwa mwezi mzima nakuja kukabidhiwa gari haina injini badala ya kurudishiwa mashinezangu za kukamulia alizeti napewa injini mbili za pikipiki aina ya king lion naambiwa ndio malizangu nilizoqndikisha Daaah.
Lakini yote hayo yalisababishwa na kichaa mmoja ambae aliwaaminisha wajinga wengi kua umasikini ni jambo la sifa na mtu mwenye hela ni mwizi.
Pole sana.
Ungekuwa mbali sana mpaka sasa.
Yule Mzee mungu wa maskini, wajinga na wapumbavu aliboa sana
Wewe ni muuza madawa mbona unajulikana! Na bado kama hutaacha kuumiza vijana kwa madawa yako hayo.Na kweli ndugu yangu ni bora taifa lilimpoteza huyu mtu bora,na asije akapatikana kiongozi kama yeye abadani,nikikumbuka nilivyopukutishwa na police wake mil 25 kwa tuhuma za kuuza dawa za kulevya wakati mimi nilikua muuza alizeti nilisota lumande miezi 6 kuja kutoka police mmoja ananiambia tulikua hatuna jinsi kosa huna ila kesi waliishikilia wakubwa ww na jamaa wengine 6 mmelipa jumla mil 92. Nikikumbuka hili natamani hata kaburi lake lisambaratishwe na radi lisionekane.
Na bado mpaka ukome!Inaumiza sana nduguyangu nilisota zaidi ya miaka 8 kujikusanya afu jasho langu linakuja kupotea ndani ya miezi 6 tu,walikamata canter yangu mashinezangu mbili za kukamua alizeti mbaya zaidi wakawa wasumbua mpaka wale niliokua nafanyanao biashara.
Nilipoachiliwa kuanza kufuatilia malizangu police daaah nilisumbuliwa mwezi mzima nakuja kukabidhiwa gari haina injini badala ya kurudishiwa mashinezangu za kukamulia alizeti napewa injini mbili za pikipiki aina ya king lion naambiwa ndio malizangu nilizoqndikisha Daaah.
Lakini yote hayo yalisababishwa na kichaa mmoja ambae aliwaaminisha wajinga wengi kua umasikini ni jambo la sifa na mtu mwenye hela ni mwizi.
🤣🤣🤣🤣aliejaribu kunikomesha kakomeshwa yeye Mungu wetu ni mwema sanaaa hakunuacha aliniinua liliyumba kwa miaka mi wili nikauona mwanga tena. Watu wenye roho mbaya na wivu kama mungu wenu aliyekufa huwa wanakufa wakitapatapa,jichunge na wewe usijekufa na 💩💩matraaakoni.Na bado mpaka ukome!
Kufa ni baraka ya Mungu kama kuzaliwa tu au hujui wewe nyumbu? Ila kunyooshwa hapa duniani kama ulivyonyooshwa wewe na Magu ndio mateso yenyewe. Wewe umeteseka na bado unateseka hapa duniani wakati Magu yuko mbinguni anaendelea kuwanyoosha Malaika wakorofi kama wewe!! 🤣🤣🤣🤣🤣🤣aliejaribu kunikomesha kakomeshwa yeye Mungu wetu ni mwema sanaaa hakunuacha aliniinua liliyumba kwa miaka mi wili nikauona mwanga tena. Watu wenye roho mbaya na wivu kama mungu wenu aliyekufa huwa wanakufa wakitapatapa,jichunge na wewe usijekufa na 💩💩matraaakoni.
Kwenye Hewa utaweka nini sasaBaada ya kuyatoa mbona hatukuona wakiajiriwa wengine kwenye hizo nafasi?