Tusio na adui wa kudumu tunasimama na Dkt. Slaa


Kwani pana nani anataka au kumshawishi nani kumwamini nani? Imani kwa Mola.

Dini zimeshindwa kuwafanya watu wote kumwamini Mola tunayeambiwa alituumba, sembuse Slaa ndugu?

Kilichopo hapa ni hoja ya Slaa ambayo nawe umesema huipingi.

Your browser is not able to display this video.


Wote unawaona na hoja kuntu hizi hatuwapingi. Hao tunawaunga mkono ila imani zetu kwa Mola.

Tuweke imani kwa Mola si Kwa watu. Ndivyo misahafu inavyotutaka.
 
Lissu anaona mbali sana.
 
Wenye hekima hawajaji mtu kwa past events wanamjaji alivyo sasa. Ninachompenda Dr. Slaa ni mtu asiye mnafiki na asiyependa uovu hasa rushwa
 
Mbowe alilamba 4b alisimamia maslahu ya baba yako we ngiri maji
 
Consistance ni kitu muhimu, huyo Slaa kipindi cha Magufuli alikuwa anasema katiba mpya sio muhimu, kwakuwa tuna kiongozi ambaye alikuwa anamkubali, ama anawakomoa waliobaki na agenda ya katiba mpya kisa alihitilafiana nao! Katika mazingira sina sababu ya kuwa na kiherehere cha kujifanya nini imani na mtu wa aina hiyo.

Usishangae maslahi yake yakawekwa vizuri kwa sasa akaanza kuongea mengine. Mashaka yangu haya kwa Slaa ni kosa langu, sio lako.
 
Umeanzisha tuhuma ukadai Dr. Slaa anataka kuanzisha chama, nimekwambia tuwekee ushahidi wa ku support madai yako, ajabu unataka aje third party to prove your claim!, ajabu zaidi unanigeuka tena unaanza kunigombeza sijui kutumia "misemo ya kizungu" usi- panic mjomba, haya mambo tunaenda taratibu my friend, sawa?

Kumbe unajua na huo msemo mwingine wa no research.... unakuhusu, hili sio jukwaa la ramli, ni jukwaa la facts.
 
Mzee slaa aliwachoma sana kina mbowe kwa hayati jpm, laiti wangelijua jinsi alivyo kuwa nyoka wasinge thubutu hata kumsogelea.
 
Mzee slaa aliwachoma sana kina mbowe kwa hayati jpm, laiti wangelijua jinsi alivyo kuwa nyoka wasinge thubutu hata kumsogelea.
Ndiyo ujue kuwa malipo ni hapa hapa duniani.

Wacha sasa akipate anachostahili na ajue kuwa dawa ya msaliti ni majuto
 
Leo naomba nifahamishwe hili

Dr Slaa alifanya Usaliti gani na kwa akina nani hata ashutumiwe hivyo na watu humu?
 
Leo naomba nifahamishwe hili

Dr Slaa alifanya Usaliti gani na kwa akina nani hata ashutumiwe hivyo na watu humu?
Atahukuniwa sana na ataendelea khukumiwa siyo tu na jf bali hata wasaididizi wa mwenyezi Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…