joseph Areray panga
Member
- Aug 27, 2021
- 73
- 50
Nina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda wote alipoondoka CDM hasa kipindi cha Magufuli hakuwahi kuguswa na maswahiba ya CDM, hata kwa mambo yaliyokuwa dhahiri. Ni kweli hakujiunga na chama chochote cha siasa, lakini hakuwahi kuongea chochote kuonyesha wapinzani hawatendewi haki hasa CDM, japo aliona dhahiri nini kiliendelea.
Ndio maana nasema sipingi msimamo wake wa sasa, lakini siwajibiki kumuuamini Slaa. Na huu ni msimamo wangu binafsi. Ama nimekosea kwenye hili?
Kwenye siasa hakuna usaliti... Na hakuna urafiki!Slaa ni msaliti kama vile Yuda na hana tofauti na Ruyagwa
Lissu anaona mbali sana.Kwani pana nani anataka au kumshawishi nani kumwamini nani? Imani kwa Mola.
Dini zimeshindwa kuwafanya watu wote kumwamini Mola tunayeambiwa alituumba, sembuse Slaa ndugu?
Kilichopo hapa ni hoja ya Slaa ambayo nawe umesema huipingi.
View attachment 2740247
Wote unawaona na hoja kuntu hizi hatuwapingi. Hao tunawaunga mkono ila imani zetu kwa Mola.
Tuweke imani kwa Mola si Kwa watu. Ndivyo misahafu inavyotutaka.
SahihiHata mm nasimama nae ila asigombee uraisi abaki mshauri
Kwenye siasa hakuna usaliti... Na hakuna urafiki!
Hata mm nasimama nae ila asigombee uraisi abaki mshauri
Mbowe alilamba 4b alisimamia maslahu ya baba yako we ngiri majiSlaa hakusimama na wapinzani wakati wa Magufuli huku akiwa na cheo, tena kwa mambo ambayo hakupaswa kuwaumiza, je na yeye alikuwa na uadui wa kudumu? Huyo Mbatia alikubali wazi wazi kutumika na Magufuli wakati wa uchaguzi mkuu wa 2020, watu kama hao hatuwapingi kwa wanachosimamia sasa, lakini ni ujinga kuwaamini watu wanaojali maslahi yao binafsi.
Jamaa wamekuwa wazalendo sana japo kuna mmoja hapo mhhhh!Ninakazia:
Bravo: Dkt. Slaa, Dkt. Nshala, Mwabukusi, Kamanda Mdude na wa namna hiyo.
Mlipo tupo!
Consistance ni kitu muhimu, huyo Slaa kipindi cha Magufuli alikuwa anasema katiba mpya sio muhimu, kwakuwa tuna kiongozi ambaye alikuwa anamkubali, ama anawakomoa waliobaki na agenda ya katiba mpya kisa alihitilafiana nao! Katika mazingira sina sababu ya kuwa na kiherehere cha kujifanya nini imani na mtu wa aina hiyo.Kwani pana nani anataka au kumshawishi nani kumwamini nani? Imani kwa Mola.
Dini zimeshindwa kuwafanya watu wote kumwamini Mola tunayeambiwa alituumba, sembuse Slaa ndugu?
Kilichopo hapa ni hoja ya Slaa ambayo nawe umesema huipingi.
View attachment 2740247
Wote unawaona na hoja kuntu hizi hatuwapingi. Hao tunawaunga mkono ila imani zetu kwa Mola.
Tuweke imani kwa Mola si Kwa watu. Ndivyo misahafu inavyotutaka.
Hoja yako ni nini hapa, mbona umepanic Dogo?Mbowe alilamba 4b alisimamia maslahu ya baba yako we ngiri maji
Umeanzisha tuhuma ukadai Dr. Slaa anataka kuanzisha chama, nimekwambia tuwekee ushahidi wa ku support madai yako, ajabu unataka aje third party to prove your claim!, ajabu zaidi unanigeuka tena unaanza kunigombeza sijui kutumia "misemo ya kizungu" usi- panic mjomba, haya mambo tunaenda taratibu my friend, sawa?Unazidi kuleta hisia zake, kwa akili yako unavyojipima unajiona kabisa kuwa you anywhere close kuweza kunibana mimi?
Kwa ushauri tu, Msiwe mnakariri misemo bila kujua inatumikaje. Unapotakiwa ku prove ni pale panapokuwepo na upande wa tatu ambao utakua huru ambao kazi yake ni kupima. Sasa kwenye pande mbili unauleta huo msema, nyie watu mnaonekana wa ajabu sana na hiyo misemo ya kizungu. Ndiyo nyie mara ooh, "no research no right to speak", ni full vituko.
Ndiyo ujue kuwa malipo ni hapa hapa duniani.Mzee slaa aliwachoma sana kina mbowe kwa hayati jpm, laiti wangelijua jinsi alivyo kuwa nyoka wasinge thubutu hata kumsogelea.
Atahukuniwa sana na ataendelea khukumiwa siyo tu na jf bali hata wasaididizi wa mwenyezi MunguLeo naomba nifahamishwe hili
Dr Slaa alifanya Usaliti gani na kwa akina nani hata ashutumiwe hivyo na watu humu?
Kwa usaliti upi aliowahi kufanya? Mbona sijibiwi hili?Atahukuniwa sana na ataendelea khukumiwa siyo tu na jf bali hata wasaididizi wa mwenyezi Mungu