Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MmhHuku Jf kila mtu ako na gari Mkuu isipokuwa mie, wengine meli wengine wameagiza bombadia tayari...
Wakati wa bwana ukifika tutanunua mwaya kama kuna wenzangu humu?!!
AhahahhahaNimenunua Trekta 2 zipo mahali zinafanya kazi kwa kukodisha.
Hivi Mimi nikae kundi gani la wenye magari au???
Ile Prado ulihonga auMkuu hatimaye na sisi tuna thread yetu tupo wengi ujue nikifikilia kupanda mwendo kasi jamani na huku kwetu zinavyojaza
Huo mguno veepe
na mimi [emoji113]Hapa JF nadhani ni mimi na wewe tu ambao hatuna magari.
hahahaNimesimama hapa kwenye daladala ngoja nipate seat kwanza ndo ntacomment vizuri
AiseeKuingia kwenye daladala kupitia dirishani
Daaah!! chief umesema yote aisee...[emoji23][emoji23]Huu ndio ukweli mchungu sana ambao watu wengi wenye magari hawapendi kuusema na hawatausema mbele ya watu wasiokuwa na magari.
1/Kununua gari kumewapelekea kwenye madeni kutoka kwenye taasisi za kipesa. Walikuwa hawajawahi kukopa benki lakini kupitia gari walikopa. Na mikopo hiyo ni ya muda mrefu na yenye riba.
2/Gari limepelekea utumwa wa matumizi ya Pesa ili kulihudumia hilo gari au kwenda sambamba na maisha ya kumiliki gari. Gharama za maisha kwao zimekuwa juu wakati huo huo kipato chao ni kile kile au kimepungua.
3/Furaha na Amani ya kumiliki gari ni kidogo sana tofauti kabisa na mategemeo na matazamio yao kabla ya kumiliki hilo gari au mapema wakati ndio wameanza kulimiliki. Kiufupi gari limeleta karaha pia katika maisha yao.
4/Wengi wanajuta kimoyomoyo kuhusu maamuzi ya kununua gari wakati walipaswa kufanya baadhi ya mambo mengine kwanza au aina ya gari walioamua kuimiliki haikuwa sahihi kwao.
5/Kumiliki kwao gari hakukuwafanya kujisikia kupata utoshelevu bali kumeongeza uhitaji wa kutaka kumiliki gari tofauti na hilo au kumeleta unyonge fulani mbele ya watu wengine wenye magari mazuri na bora zaidi yao.
Hii inaitwaga kambaja nani[emoji28]Wale wote tusio na magari ya kutembelea hapa mjini na mikoani tukutane hapa!
Tuelezane changamoto na faida tuzipatazo tunapotumia public transport hususani daladala
Kwangu mimi kero ni kujazana kwenye basi kama ngombe zizini pia kugombania chansi hasa mida ya jioni na asubuhi kwa wakazi wa gomz, mbagala, mbezi mwisho hii wanaielewa vizuri
lakini pia dharau hapa mjini kwa sisi tusio na gari zimezidi, watoto wengi wa kishua tunawasikia tu
Faida niipatayo ni kukutana na totoz za maana kwenye gari yaani full changanyiko
Pia gharama ndogo hata huwa sioni haja ya kupanda bajaji au bodaboda
Karibuni
hahahaNapendaga sana daladala , nikiwa nimepanda nipo nyuma mdada mwenye chur* awe mbele yangu alafu tubanane huwa nataman safari iendelea kutwa nzima
kwanini..?Jamani hakuna kitu inaniudhi kama magari ya mwandokasi. Jamani tusio na magari tunateseka sana aisee. Ile jioni tunakuwa kama yatima
hahaha [emoji23][emoji28] kuna uzi wake uko nje nimeuona jana,Hahahaha maneno ya wenye wivu
Sawa Dr.Luis naona umehamia huku tajiriHuu uzi na wa wenye gari au
Naomba kuulizia naweza pata sportreem za rav4 ya gari ya hiusegirl wangu? Ananisumbu kweli wakuu mwenye nazo mpya lakini
Lile gari lako unaloendesha huku umepiga selfie liko wapi kwaniHuo mguno veepe