Tusio na Magari tukutane hapa

Je una gari au hauna??


  • Total voters
    116
Hata waki toa huo ushuru, hatu wezi kupata😁🀣
 
Mkuu hivi hilo shati la kijani, una livuaga kweliπŸ˜‚πŸ˜‚
gentleman,
maombi yangu ya kinabii kwenu ndugu zangu wadau wa JF, yako pale pale,

mwaka huu 2025 ni kuhakikisha tunaitokomeza kabisa hiyo habara ya eti Sina gari na hiyo nyingine ya eti Bora uhai!

No,
hilo ni pepo, na lazima tulikemee. Lazima kila mtu awe na uhai, lakini pia ni lazima amiliki gari bila ushirikina πŸ’
 
Wewe kafue hilo shati la kijani, Kama vipi kaimbe taarab huko😁
 
Wewe kafue hilo shati la kijani, Kama vipi kaimbe taarab huko😁
na tafadhali sana ndugu mwenyekiti wa wadau wasio na magari JF,

katika majumuisho ya kikao hiki,
lazima mtoke na azimio kwamba by January next year 2026, mkutane pale kebys hotel bamaga, sikuizi imeborshwa na kubalilishwa jina na ina huduma nzuri zaidi, kila moja wenu akiwa na muujiza wa gari lake alilopokea baada ya kumuombea humu jukwaani pale juu,

Sadaka si muhimu sana,
ila anaweza kuja nayo kama shukran.
Apostle nitakuwepo kwa njia ya zoom na namba ya kutuma sadaka zenu za shukran nitaviweka wazi wakati muafaka.

sawa mwenyekiti?
waeleze na wadau πŸ’
 
Una.
 
Punguza upuuzi πŸ˜†
 
Punguza upuuzi πŸ˜†
sasa gentleman,
mmesoma wote shule na mwenzako, na wote mlikua mnapata D na F ya hesabu darasani,

sasa mwenzako ana gari,
ati wewe ndio mwenekiti wa wadau wa JF wasio na magari?

is this real fair?🀣

Mungu akubariki, afanikikishe kupokea muujiza wa gari lako jipya kabla ya mwaka huu haijaisha.

Kwa jina la baba mwana na roho mtakatifu Aimen,

Pokea Muujiza wako kwa kuitikia Aimen πŸ’
 
Hata godoro Sina, una dhani kuwa raisi wa ma jobless mchezoπŸ˜‚πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…