Tusio na Magari tukutane hapa

Tusio na Magari tukutane hapa

Je una gari au hauna??


  • Total voters
    116
Mimi Kama raisi wa ma jobless pro max, nime ona niitishe kikao cha dharura.

Lengo la kuitisha kikao ni kujua idadi ya ma jobles tusio na magari, humu jf maana kila uzi ninao tembelea idadi kubwa ya member ni mataita.

Tuki ijua idadi yetu, tuna weza tukawa tuna waomba lift hawa ma donšŸ˜†šŸ˜‚.

I mean no malice to nobody .
View attachment 3201802


Matajiri kama sisi acha tuendelee kutulia tu hatuna maneno mengi


Screenshot_20250114-195612~2.png
 
Back
Top Bottom