Zulu man
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 6,084
- 15,998
Nikumbushe jina lake !!! Yule binti mrembo mwenye rangi ya kiafrikaIla bro una penda ugomvi Sana 😂
Ila nusu ujinyonge maana sio kwa kuumia moyo vile.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikumbushe jina lake !!! Yule binti mrembo mwenye rangi ya kiafrikaIla bro una penda ugomvi Sana 😂
Wachana na yeye, yule ni nyanya vya watu.Nikumbushe jina lake !!! Yule binti mrembo mwenye rangi ya kiafrika
Ila nusu ujinyonge maana sio kwa kuumia moyo vile.
Sawa mkuu ila mtuanzishie na sisi uzi wetuNyinyi huu uzi hauwafai, maana nyie wakishua😆
Sawa, enyi chipukizi wa mashangazi😅🤣Sawa mkuu ila mtuanzishie na sisi uzi wetu
2:0 ohh she has to go, and you have to accept it bro.🤣Kaombe msamaha, utalamba hizo pillow hadi lini?
Alikukondesha hadi vinyweleo2:0 ohh she has to go, and you have to accept it bro.🤣
ni sawa, ila I got peace 😅Alikukondesha hadi vinyweleo
Ndo maana mshamba_hachekwi ali sema vijana wa dareslaam, nyimbo zenu za kifala😅😂Nyimbo au kelele? Matusi mengi sana ,mara "usimpandie mwenzio sijui nini na nini"
Dah nime cheka Sana, Eti usi mpandie mwenzio😂Nyimbo au kelele? Matusi mengi sana ,mara "usimpandie mwenzio sijui nini na nini"
Mbona sina hizo dar es salaam songs,Ndo maana mshamba_hachekwi ali sema vijana wa dareslaam, nyimbo zenu za kifala😅😂
Naaaaam, nimecheza kwa kifaa kupitia youtube kwa yale majina uliyonipa imenibidi nishangae na kuna mtu amenikuta nimefungua ameshangaa kwa kicheko.Dah nime cheka Sana, Eti usi mpandie mwenzio😂
Nime jaribu kusikiliza, eti choo Cha bukoba siendi, kwani kina maji mengi .Naaaaam, nimecheza kwa kifaa kupitia youtube kwa yale majina uliyonipa imenibidi nishangae na kuna mtu amenikuta nimefungua ameshangaa kwa kicheko.
Nyimbo gani hizo za kupandiana kwenye maungo ya mwili?
Msi tupe moyo mkuuSi tumeshasema bora uzima
Yaaani mradi mkono.uende kinywani, hayo mengine ni anasa za dunia tuu. Hayapo kwenye ile basic need ya binadamMsi tupe moyo mkuu