Thesonboy
JF-Expert Member
- Nov 20, 2025
- 895
- 2,499
Tusio na nguvu za kiume tukutane hapa tupeana moyo na ushauri.. Hii inajimuisha tunaosimamisha lege lege, kama utumbo, tunao mwaga ndani ya dk moja , tusio weza kurudia kabao kapili na hata tunao simamisha Kwa misimu kama mvua ya masika .
Tupeana ushauri namna ipi tutoke kwenye hizi changamoto, kama una experience tupeana ma ujanja.. 😎
Tupeana ushauri namna ipi tutoke kwenye hizi changamoto, kama una experience tupeana ma ujanja.. 😎