Tusio na nguvu za kiume tukutane hapa tupeana moyo na ushauri

Tusio na nguvu za kiume tukutane hapa tupeana moyo na ushauri

Achana na ngono kwa mwezi 1, tafuta asali og litre 1 na nusu, weka vitunguu swaumu 4, mdalasini wa unga (India),

Ongeza tangawizi 4 kubwa(kunia humo kwa kisagio), karafuu iliyo twangwa nusu kikombe.

Saga kwenye blender, kamulia limao 3 kubwa, kunywa vijiko 3*3 kwa siku.

Matunda, parachichi 1, ndizi 2, karanga mbichi, tikiti maji kipande1.

Chai - Chai ya tangawizi kali mix karafuu iliyo twangwa, kitunguu swaumu, weka asali kijiko 1 au viwili.

Acha nyeto, kuangalia movie chafu, piga zoezi la squat, na endesha baiskeli boya wee.
Asante sana, namna hii hapa kama unaokoa jahazo kabisa. Ila nyeto sipigi mkuu Wala porn huwa sitazami mzee. Basi tu haya matatizo ya Duniani
 
Asante sana, namna hii hapa kama unaokoa jahazo kabisa. Ila nyeto sipigi mkuu Wala porn huwa sitazami mzee. Basi tu haya matatizo ya Duniani
1. Khofu iliojaa kichwani (adui mkubwa)
2. Tafuta msichana atakae kuelewa, usione aibu kumuelezea shida yako mapema.
3. Fanya sexy, mara kwa mara


Here we go.

Hakuna tatizo la nguvu za kiume.
 
Back
Top Bottom