Tusio na nguvu za kiume tukutane hapa tupeana moyo na ushauri

Maskin polee vp ni muumini wa nyeto mkuu, au njoo kwangu tujaribu tuone
 
Asante sana mkuu, Kwa ushauri mzuri kama huu. Wana JF wangekuwa Wana moyo wa kibaha kama huu wengi tungepona
 

Umoja wa Wanaume Waliopungukiwa Nguvu za Kiume (UWAWANKI).

Mwaka unaisha . Mkae vikao kuchagua viongozi wenu na wawakilishi 😁😁😁😁
 
Miaka yote nilikuwa nafikiri definition ya nguvu za kiume ni uwezo wa jongoo kusimama attention na sio hayo uliyoyataja katika paragraph yako ya mwanzo.
 
HApo tatzo ni kama inasimama lege lege hapo ndo penye mziki na huyo ambae inasimama kwa msimu

Lakin wa dk 1 chali huyu tatzo anaweza limaliza kirahis na asieweza rudia round(afu kurudia round kuna wakati inategemea na mwanamke ulienae),mfano mimi nikiwa na hiv visichana nikitaka kurudia round inakuwa rahis sana tofauti na nikiwa na wanawake watu wazima,yaan hv vibinti nikiangalia maungo yake tu lazima ngoma irudi mchezon

Afu wakat mwingine mwanamke anatakiwa kukusaidia kukufanya uweze kupiga cha pili kwa kukuandaa
 
Binti wa zamani, mbona wenye uchumi hoe hae ndio wanaongoza kuwakula wanawake wa wanaume wenye hela.. Kwa madai wenye uchumi hoe hae wanajua show show.. kama makuli huko, boda boda
Hili sina data zake siwezi kulijibu πŸ˜…
Ila kwa hao makuli wanafanya kazi za kutumia nguvu sana, maisha yao ni mazoezi tosha, labda hilo linawasaidia.
 
Tupeana ushauri namna ipi tutoke kwenye hizi changamoto, kama una experience tupeana ma ujanja.. 😎
Ni afya sio ligi... huwezi vaa suruali imeku-over size utakua msurupwete... kila mmoja ameumbwa tofauti kuna wakina sisi wa dakika 45+ nyongeza Mzee upara na jicho lake moja utosini yupo ndani ya chungu
 
Achana na ngono kwa mwezi 1, tafuta asali og litre 1 na nusu, weka vitunguu swaumu 4, mdalasini wa unga (India),

Ongeza tangawizi 4 kubwa(kunia humo kwa kisagio), karafuu iliyo twangwa nusu kikombe.

Saga kwenye blender, kamulia limao 3 kubwa, kunywa vijiko 3*3 kwa siku.

Matunda, parachichi 1, ndizi 2, karanga mbichi, tikiti maji kipande1.

Chai - Chai ya tangawizi kali mix karafuu iliyo twangwa, kitunguu swaumu, weka asali kijiko 1 au viwili.

Acha nyeto, kuangalia movie chafu, piga zoezi la squat, na endesha baiskeli boya wee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…