Tusio na nguvu za kiume tukutane hapa tupeana moyo na ushauri

Nguvu za kiume.
 
Kama mzigo unasimama ila legelege basi hauna shida ya nguvu za kiume bali mindset ,wasiwasi ,demu wako hajitumi ,pendelea kula vitu vinavyoongeza mzunguko wa damu kama tangawizi ,punje za vitunguu swaumu.

Kumwaga ndani ya dakika moja siyo upunguvu wa nguvu za kiume ,usidanganyike na video za pono wanaopiga lisaa lizima ,pale usikute ile scene imerecodiwa mwezi mzima...bao la kwanza linakuja fasta chini ya dakika 5.

Uwezo wa kurudia siyo upungufu wa nguvu za kiume bali ni maumbile ya mtu ,wanaume wanatofautiana reflactory period ,wengine 10mins ,20mins ,30mins ,45mins ,1hr ,2hrs ,6hrs ,24hrs ,2 days ,3 days and so on.

Refractory period ni time frame ambayo ukishapiga kimoko na time ya kuweza kusimamisha na kupiga tena.

Mtu ambaye mwenye shida ni yule ambaye Jogoo hapandi mtungi kabisa...huyo ndiyo unaweza kusema ana tatizo la nguvu za kiume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…