TanPromotion
Member
- Aug 25, 2024
- 14
- 19
Bodaboda na hausiboiz tupooo, tutakusaidia......usijaliiKwani mnataka kusimamia ukucha
Upige bao mbili au tatu unataka kugundua ninI?
Ukiwa na hizi, bao moja tu linatosha
View attachment 3520009
Sio kila unaemuona humu ukadhani mnaishi nae uswekeni, bodaboda ni usafiri kwa kwa nyie masikiniBodaboda na hausiboiz tupooo, tutakusaidia......usijalii
Hii dawa ya penzi mkuu, sio ya nguvu za kiume 😅😅Nguvu za kiume.
View attachment 3520012
Wa bataUkuni kama utumbo wa mbuzii 🥹🥹
Chief pesa inakupa tiba ya nguvu za kiume usijipe moyo kaka tafuta pesa utibiweHela ni dawa ya penzi, na sio ya nguvu za kiume chief
Tiba zipoPoleni nyote mnaokumbwa na changamoto hiyo!, hakuna kinachoshindikana hebu wajuz waje watoe experience yao.
UtachapiwaSiku hizi ni papapa shwaa umechomoa
Hizo tiba hamueleweshwi madhara yake mfano mtu mwenye vidonda vya tumbo hapaswi KABISA kigisa hiyo combo itamuumiza mkuuNinepiga na screenshot.. ila mkuu tutafutane nimeishakuwa tajiri siku hizi 😅😅
Hofu ILIKUA isha tanda humu wapi min meHalafu umerudi huna hata mia!! Hovyo kabisa wewe.
Kumbe yupo katulia analelewa huko na jimama🙆♂️🙆♂️🙆♂️Hofu ILIKUA isha tanda humu wapi min me
Shida kweli kweliKumbe yupo katulia analelewa huko na jimama🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Karudi hana nguvu za kiume🤣🤣🤣Shida kweli kweli
Basi itakua alishikwa na jimama la kipembaKarudi hana nguvu za kiume🤣🤣🤣