Hereditary .HV intelligence Ni Hereditary trait ?
Pata picha umesafiri umeacha familia yako Junior anaumwa, umefika ulipokwenda unampigia simu mkeo kujua vipiimo vinasemaje
Mimi: Habari mke wangu doctor kasemaje
Yeye; Kasena mtoto ana yutiyai na amwiba
Mimi; nisomee dose yake
Yeye; mwayego hapa maandishi siyaoni vizuri kuna herufi kama sio nne basi itakuwa sita.(jiandae mtoto kuwa overdosed)
Hapo junior katoka kuburuza mkia darasani, kama ni ligi anasubiri play off.
Mtoto huchukua asilimia 75 ya akili za mama yake, utapekeka twisheni zote kama mke ni kilaza Junior atakumalizia ada tu.
Tusioe wanawake vilaza wala kuzaa nao
Usiolewe na mwanaume kilaza
Usichanganye ukilaza na kutosoma,bibi yangu hakusoma ila skiachiwa watoto tisa babu alifariki,akalea watoto wakakua na akawasomesha,ukilaza ni kipaji havina uhusiano na kusoma1---Wewe Bi mkubwa wako aliishia la ngapi??
2---Kama wasipoolewa na sisi waolewe na nani??--- au waolewe na jini mahaba??
3--- Kumbuka wanawake ni mama zetu wadogo, dada zetu, watoto wetu, shangazi zetu, Bibi, mama wakubwa nk, tusipowaoa je utafurahi ukikuta mmoja wa hao akiwa Nduguyo anajiuza barabarani kwa kukosa kuolewa??!!
4--- Huo utafiti kwamba mtoto hurithi 75% ya akili yake kutoka kwa mama umeufanya katika maabara ipi na katika sampuli zipi na nani akifadhili huo utafiti wako??
5---- "Mwayego" hilo neno ni lenye asili ya watu wa kigoma, je wewe unautani nao watu wa Kigoma??!π€£
Hereditary .
Yafaa kuanzishia uzi kabisa hii mada.
Usichanganye ukilaza na kutosoma,bibi yangu hakusoma ila skiachiwa watoto tisa babu alifariki,akalea watoto wakakua na akawasomesha,ukilaza ni kipaji havina uhusiano na kusoma
Pata picha umesafiri umeacha familia yako Junior anaumwa, umefika ulipokwenda unampigia simu mkeo kujua vipiimo vinasemaje
Mimi: Habari mke wangu doctor kasemaje
Yeye; Kasena mtoto ana yutiyai na amwiba
Mimi; nisomee dose yake
Yeye; mwayego hapa maandishi siyaoni vizuri kuna herufi kama sio nne basi itakuwa sita.(jiandae mtoto kuwa overdosed)
Hapo junior katoka kuburuza mkia darasani, kama ni ligi anasubiri play off.
Mtoto huchukua asilimia 75 ya akili za mama yake, utapekeka twisheni zote kama mke ni kilaza Junior atakumalizia ada tu.
Tusioe wanawake vilaza wala kuzaa nao
Kwenye watu 1000 watu 10 ni mild mental retarded, na huwezi kumtambua.HV intelligence Ni Hereditary trait ?
Kuna kitu hatijaelewana,iko hivi bibi zetu hawakusoma ila walijua dalili na majina ya ugonjwa na dawa zipi za kienyeji watumie kutibu watoto wao,ukilaza ni kushindwa kukabili mazingira au kuwa na uelewa mdogo sanaSasa huyo Bibi yako asiyesoma unaweza kumuuliza maswali yako hayo na akakujibu??!!πππ»
Tunaongelea vilaza, wale ambao hata ufanyeje kichwa hakikamati, achana na waliokosa nafasi ya kusomaBroo sio kweli
Kuna utafiti umewahi fanywa juu ya hilo...
Familia moja yenye watoto 2, mmoja ana akili sana mwingine ni kawaida tu
huyu mwenye uwezo mazingira yake ya elimu yalikua kawaida kabisaa..
I;a Junia alipewa kila kitu ila bado hakuwahi hata kukaribia kwa kaka ake
swala la akili ni mtambuka
kuna dogo mmoja wa bariadi alikua top 4 ya form four mwaka fulani ila mama ake hajui kusoma wala kuandika
hakuna mtoto asie na uwezo darasani
Nakazia kidogo hapoMwanaume kwa mwanamke anatakiwa kuwa
1. Mwalimu
2. Fundi
3. Mlinzi/Askari
4. Banker.
5.N.K