Tusioe wanawake vilaza; Hakuna kitu kinauma kwa mzazi kama mtoto wako kuwa wa mwisho darasani

Pata picha umesafiri umeacha familia yako Junior anaumwa, umefika ulipokwenda unampigia simu mkeo kujua vipiimo vinasemaje

Mimi: Habari mke wangu doctor kasemaje
Yeye; Kasena mtoto ana yutiyai na amwiba
Mimi; nisomee dose yake
Yeye; mwayego hapa maandishi siyaoni vizuri kuna herufi kama sio nne basi itakuwa sita.(jiandae mtoto kuwa overdosed)

Hapo junior katoka kuburuza mkia darasani, kama ni ligi anasubiri play off.

Mtoto huchukua asilimia 75 ya akili za mama yake, utapekeka twisheni zote kama mke ni kilaza Junior atakumalizia ada tu.

Tusioe wanawake vilaza wala kuzaa nao

1---Wewe Bi mkubwa wako aliishia la ngapi??
2---Kama wasipoolewa na sisi waolewe na nani??--- au waolewe na jini mahaba??
3--- Kumbuka wanawake ni mama zetu wadogo, dada zetu, watoto wetu, shangazi zetu, Bibi, mama wakubwa nk, tusipowaoa je utafurahi ukikuta mmoja wa hao akiwa Nduguyo anajiuza barabarani kwa kukosa kuolewa??!!
4--- Huo utafiti kwamba mtoto hurithi 75% ya akili yake kutoka kwa mama umeufanya katika maabara ipi na katika sampuli zipi na nani akifadhili huo utafiti wako??
5---- "Mwayego" hilo neno ni lenye asili ya watu wa kigoma, je wewe unautani nao watu wa Kigoma??!🤣
 
Usichanganye ukilaza na kutosoma,bibi yangu hakusoma ila skiachiwa watoto tisa babu alifariki,akalea watoto wakakua na akawasomesha,ukilaza ni kipaji havina uhusiano na kusoma
 
😀😀😀....

mnatuonea tu bure, watoto vizibo wamerirthi kwa baba zao

Mungu anakuona baba junior..
 
Hereditary .

Yafaa kuanzishia uzi kabisa hii mada.

Mwili mzima wa binadamu umejengwa hereditary materials, DNA, kwa maana hiyo hata brain ambayo intelligence/minds hutoka humo nayo hurithiwa, na huo urithi (the dominant traits) sio lazima zitoke kwa baba au mama zinaweza kutoka kwa mababu zako wa upande wa baba au mama hivyo katika hali hiyo wazazi wanakuwa kama ni njia tu ya hizo dominant traits, ni hivyo hivyo katika intelligence na vipaji vingine navyo pia vinarithiwa.
 
Hili nakubaliana kwa kiasi chake ila nimeona baadhi ya watoto wamefata zaidi kwa mshua. Wengine kwa maza so inategemea genes zimeelemea wapi.

Kama mzazi mmoja kilaza it means mtoto atakafata akili ya huyo mzazi atakuja kuwa Dunya as charged. Akifata akili za mzazi smart anakuja kuwa smart pia.
 
Usichanganye ukilaza na kutosoma,bibi yangu hakusoma ila skiachiwa watoto tisa babu alifariki,akalea watoto wakakua na akawasomesha,ukilaza ni kipaji havina uhusiano na kusoma

Sasa huyo Bibi yako asiyesoma unaweza kumuuliza maswali yako hayo na akakujibu??!!😗👇🏻

Pata picha umesafiri umeacha familia yako Junior anaumwa, umefika ulipokwenda unampigia simu mkeo kujua vipiimo vinasemaje

Mimi: Habari mke wangu doctor kasemaje
Yeye; Kasena mtoto ana yutiyai na amwiba
Mimi; nisomee dose yake
Yeye; mwayego hapa maandishi siyaoni vizuri kuna herufi kama sio nne basi itakuwa sita.(jiandae mtoto kuwa overdosed)

Hapo junior katoka kuburuza mkia darasani, kama ni ligi anasubiri play off.

Mtoto huchukua asilimia 75 ya akili za mama yake, utapekeka twisheni zote kama mke ni kilaza Junior atakumalizia ada tu.

Tusioe wanawake vilaza wala kuzaa nao
 
asa si ndo kubalansi

baba jiniasi mama kilaza 😍 mkiwa jiniasi wote mnashindwana mapema bhana😚
 
Same applies to both sides.
Lakini aina hizi za wamama wasiosoma dawa huku mtaani kwetu Kuna binti asikii vizuri kwa SABABU ya kumuoverdose alipokuwa mdogo anyways hata sisi kuolewa na wanaume wasiosimama katika nafasi zao kwenye familia zao ni hell no🥴
 
Broo sio kweli

Kuna utafiti umewahi fanywa juu ya hilo...
Familia moja yenye watoto 2, mmoja ana akili sana mwingine ni kawaida tu

huyu mwenye uwezo mazingira yake ya elimu yalikua kawaida kabisaa..
I;a Junia alipewa kila kitu ila bado hakuwahi hata kukaribia kwa kaka ake

swala la akili ni mtambuka

kuna dogo mmoja wa bariadi alikua top 4 ya form four mwaka fulani ila mama ake hajui kusoma wala kuandika

hakuna mtoto asie na uwezo darasani
 
Sasa huyo Bibi yako asiyesoma unaweza kumuuliza maswali yako hayo na akakujibu??!!😗👇🏻
Kuna kitu hatijaelewana,iko hivi bibi zetu hawakusoma ila walijua dalili na majina ya ugonjwa na dawa zipi za kienyeji watumie kutibu watoto wao,ukilaza ni kushindwa kukabili mazingira au kuwa na uelewa mdogo sana
 
Broo sio kweli

Kuna utafiti umewahi fanywa juu ya hilo...
Familia moja yenye watoto 2, mmoja ana akili sana mwingine ni kawaida tu

huyu mwenye uwezo mazingira yake ya elimu yalikua kawaida kabisaa..
I;a Junia alipewa kila kitu ila bado hakuwahi hata kukaribia kwa kaka ake

swala la akili ni mtambuka

kuna dogo mmoja wa bariadi alikua top 4 ya form four mwaka fulani ila mama ake hajui kusoma wala kuandika

hakuna mtoto asie na uwezo darasani
Tunaongelea vilaza, wale ambao hata ufanyeje kichwa hakikamati, achana na waliokosa nafasi ya kusoma
 
Back
Top Bottom