Kuna tofauti kubwa sana kati ya
Elimu ya darasani
Na elimu dunia
Mwanamke anaweza shika mkia darasani lakini akawa mwanamke mwenye manufaa mengi kwenye familia
Mkuu wanamke wengi wa 80s hawajasoma lakini ndio tunaowa appreciate sana kuliko hawa waliosoma
Mwanaume ukitaka uteseke oa mwanamke msomi amekulia jijini
Mwanamke akiwa na kitu fulani houta dharau automatically
Yana ukweli. Na ukute ni mama wa misele. Mguu hautulii sehemu moja.Pata picha umesafiri umeacha familia yako Junior anaumwa, umefika ulipokwenda unampigia simu mkeo kujua vipiimo vinasemaje
Mimi: Habari mke wangu doctor kasemaje
Yeye; Kasema mtoto ana YUTIYAI na AMWIBA
Mimi; nisomee dose yake
Yeye; mwayego hapa maandishi siyaoni vizuri kuna herufi kama sio nne basi itakuwa sita.(jiandae mtoto kuwa overdosed)
Hapo junior katoka kuburuza mkia darasani, kama ni ligi anasubiri play off.
Mtoto huchukua asilimia 75 ya akili za mama yake, utapekeka twisheni zote kama mke ni kilaza Junior atakumalizia ada tu.
Mwanamke kilaza ni mzigo kwa mumewe
Hiuo ni scam haina uhakikaElimu ya darasani na Elimu dunia!!!, vipi Elimu akhera nayo??!!
HahahaAnhaa nimecheka mpaka nimetaka kupaliwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Imekuwa ngumu kiasi hicho kutambua mtu mwenye Intellectual disability.Kwenye watu 1000 watu 10 ni mild mental retarded, na huwezi kumtambua.
Sasa kama hawakusoma ila hawakuwa vilaza nyie kizazi cha vilaza mlichumwa kutokea miti gani?Bibi zetu hawakusoma ila haimaanishi walikuwa vilaxa ,uko sahihi
Hatuoi wenye akil nying ni wasumbufu. Tunaoa vilaza ili tuwacontrol.. hyo kutojua kusoma tutavumiliaPata picha umesafiri umeacha familia yako Junior anaumwa, umefika ulipokwenda unampigia simu mkeo kujua vipiimo vinasemaje
Mimi: Habari mke wangu doctor kasemaje
Yeye; Kasema mtoto ana YUTIYAI na AMWIBA
Mimi; nisomee dose yake
Yeye; mwayego hapa maandishi siyaoni vizuri kuna herufi kama sio nne basi itakuwa sita.(jiandae mtoto kuwa overdosed)
Hapo junior katoka kuburuza mkia darasani, kama ni ligi anasubiri play off.
Mtoto huchukua asilimia 75 ya akili za mama yake, utapekeka twisheni zote kama mke ni kilaza Junior atakumalizia ada tu.
Mwanamke kilaza ni mzigo kwa mumewe
MazingiraSasa kama hawakusoma ila hawakuwa vilaza nyie kizazi cha vilaza mlichumwa kutokea miti gani?
Sio vilaza wa siku hizi ni wajuaji hatari.Ila vilaza wana raha yake unamdanganya vitu vingine macho makavu kabisa
[emoji1787][emoji1787] mbona matusi.... Mwanamke kama hana akili ya darasani basi ana akili ya kupika.... Ndo upambane usizae wakiume tenaPata picha umesafiri umeacha familia yako Junior anaumwa, umefika ulipokwenda unampigia simu mkeo kujua vipiimo vinasemaje
Mimi: Habari mke wangu doctor kasemaje
Yeye; Kasema mtoto ana YUTIYAI na AMWIBA
Mimi; nisomee dose yake
Yeye; mwayego hapa maandishi siyaoni vizuri kuna herufi kama sio nne basi itakuwa sita.(jiandae mtoto kuwa overdosed)
Hapo junior katoka kuburuza mkia darasani, kama ni ligi anasubiri play off.
Mtoto huchukua asilimia 75 ya akili za mama yake, utapekeka twisheni zote kama mke ni kilaza Junior atakumalizia ada tu.
Mwanamke kilaza ni mzigo kwa mumewe
Intelligence ni environmental and nurture dependable.Hereditary .
Yafaa kuanzishia uzi kabisa hii mada.