Tusioe wanawake vilaza; Hakuna kitu kinauma kwa mzazi kama mtoto wako kuwa wa mwisho darasani

Tusioe wanawake vilaza; Hakuna kitu kinauma kwa mzazi kama mtoto wako kuwa wa mwisho darasani

Shule ilitumia alama kutuita wajinga na kutugawa mafungu. Hizi alama amabazo Ni mtaji mkuu kwa Mwalimu ili aonekane anajua kufundisha.. zile alama Bado zinatuathiri namna ya kumtathmini mtu Hadi leo.... Kila mtu Ni Genius 😎
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya
Elimu ya darasani
Na elimu dunia

Mwanamke anaweza shika mkia darasani lakini akawa mwanamke mwenye manufaa mengi kwenye familia

Mkuu wanamke wengi wa 80s hawajasoma lakini ndio tunaowa appreciate sana kuliko hawa waliosoma
Mwanaume ukitaka uteseke oa mwanamke msomi amekulia jijini
Mwanamke akiwa na kitu fulani houta dharau automatically

Elimu ya darasani na Elimu dunia!!!, vipi Elimu akhera nayo??!!
 
Pata picha umesafiri umeacha familia yako Junior anaumwa, umefika ulipokwenda unampigia simu mkeo kujua vipiimo vinasemaje

Mimi: Habari mke wangu doctor kasemaje
Yeye; Kasema mtoto ana YUTIYAI na AMWIBA
Mimi; nisomee dose yake
Yeye; mwayego hapa maandishi siyaoni vizuri kuna herufi kama sio nne basi itakuwa sita.(jiandae mtoto kuwa overdosed)

Hapo junior katoka kuburuza mkia darasani, kama ni ligi anasubiri play off.

Mtoto huchukua asilimia 75 ya akili za mama yake, utapekeka twisheni zote kama mke ni kilaza Junior atakumalizia ada tu.

Mwanamke kilaza ni mzigo kwa mumewe
Yana ukweli. Na ukute ni mama wa misele. Mguu hautulii sehemu moja.
 
[emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji119][emoji3577]
 
Pata picha umesafiri umeacha familia yako Junior anaumwa, umefika ulipokwenda unampigia simu mkeo kujua vipiimo vinasemaje

Mimi: Habari mke wangu doctor kasemaje
Yeye; Kasema mtoto ana YUTIYAI na AMWIBA
Mimi; nisomee dose yake
Yeye; mwayego hapa maandishi siyaoni vizuri kuna herufi kama sio nne basi itakuwa sita.(jiandae mtoto kuwa overdosed)

Hapo junior katoka kuburuza mkia darasani, kama ni ligi anasubiri play off.

Mtoto huchukua asilimia 75 ya akili za mama yake, utapekeka twisheni zote kama mke ni kilaza Junior atakumalizia ada tu.

Mwanamke kilaza ni mzigo kwa mumewe
Hatuoi wenye akil nying ni wasumbufu. Tunaoa vilaza ili tuwacontrol.. hyo kutojua kusoma tutavumilia
 
Patern vs Heredity
me siamini katika kurithi hata kidogo
 
Mmoja akiwa kasoma mwengine hajasoma ndio naona combo nzuri japo sio pendeleo langu
 
Pata picha umesafiri umeacha familia yako Junior anaumwa, umefika ulipokwenda unampigia simu mkeo kujua vipiimo vinasemaje

Mimi: Habari mke wangu doctor kasemaje
Yeye; Kasema mtoto ana YUTIYAI na AMWIBA
Mimi; nisomee dose yake
Yeye; mwayego hapa maandishi siyaoni vizuri kuna herufi kama sio nne basi itakuwa sita.(jiandae mtoto kuwa overdosed)

Hapo junior katoka kuburuza mkia darasani, kama ni ligi anasubiri play off.

Mtoto huchukua asilimia 75 ya akili za mama yake, utapekeka twisheni zote kama mke ni kilaza Junior atakumalizia ada tu.

Mwanamke kilaza ni mzigo kwa mumewe
[emoji1787][emoji1787] mbona matusi.... Mwanamke kama hana akili ya darasani basi ana akili ya kupika.... Ndo upambane usizae wakiume tena
 
Wanaposema mtoto huchukua akili za mama yake hawamaanishi intelligence. Wanamaanisha tabia sababu mtoto hukaa muda mwingi na mama yake so vitu vingi hujifunza kwa mama yake ila anavyobadili mazingira ndipo naye hujiongeza.

Kimsingi akili ni product ya mazingira na utimamu wa ubongo. Mtoto mwenye afya ya ubongo akiwekwa mazingira yoyote anakuwa bomba.
 
Back
Top Bottom