MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Dah!Mkuu wa Kanisa la Roma Duniani alikuwa nchini Sudani. Katika kuimiza Amani aliongoa Kwa uchungu sana. Akuishia kuongea Tu Bali akachukua jukumu la kuwapigia magoti kiongozi mmoja mmoja.
Pamoja na hayo yote bado hatuoni wakiwa serious kutatua changamoto zao. Wakati papa natokwa machozi wao wala kama vile awajasikia. Tujiulize hawa watu wenye roho ngumu vile hatunao? Kama tunao, siku wakiruhisiwa kutuongoza tutabaki salama na upole wetu?
Tuliombee Taifa lizidi kuwa na viongozi WA Aina ya Mama Samia, akina Mbowe na wengine wa Kariba hiyo. Viongozi ambao kwao wao wananchi ni Jambo la msingi kuliko madaraka.
Tuombe sana
Bila shaka wewe utakuwa mtakatifu kumzidi yeye!Kanisa katoliki lina kashfa ya kushiriki vita ya wenyewe kwa wenyewe huko Nigeria kwenye jimbo la Biafra, 1967 - 1970.. Papa hana uhalali wowote wa kuonekana mtakatifu mbele ya watu.
Tupate viongozi wa upinzani wenye roho kama Jonas Savimbi ndio tutaheshiminaKama huyo Mungu ana sikia mpaka sasa kama taifa tusinge kuwa bado tuna tawaliwa kimabavu na wanyang'anyi, wauaji na mafisadi [ CCM ]
Nafikiri sasa anaipata joto ya jiwe.. yaani ukimgomea mpaka Papa inatafsirika kuwa wewe ni mjeuri na unafanya uhalifu wa kijeshi makusudi.. watawala wa hii dunia wanakunyoosha..