Tusiombe tuwe na viongozi wenye roho ngumu kama Sudan. Papa anawapigia magoti na kuwasujudia waache vita lakini wao hawaelewi

Tusiombe tuwe na viongozi wenye roho ngumu kama Sudan. Papa anawapigia magoti na kuwasujudia waache vita lakini wao hawaelewi

Kanisa katoliki lina kashfa ya kushiriki vita ya wenyewe kwa wenyewe huko Nigeria kwenye jimbo la Biafra, 1967 - 1970.. Papa hana uhalali wowote wa kuonekana mtakatifu mbele ya watu.
 
Mkuu wa Kanisa la Roma Duniani alikuwa nchini Sudani. Katika kuimiza Amani aliongoa Kwa uchungu sana. Akuishia kuongea Tu Bali akachukua jukumu la kuwapigia magoti kiongozi mmoja mmoja.

Pamoja na hayo yote bado hatuoni wakiwa serious kutatua changamoto zao. Wakati papa natokwa machozi wao wala kama vile awajasikia. Tujiulize hawa watu wenye roho ngumu vile hatunao? Kama tunao, siku wakiruhisiwa kutuongoza tutabaki salama na upole wetu?

Tuliombee Taifa lizidi kuwa na viongozi WA Aina ya Mama Samia, akina Mbowe na wengine wa Kariba hiyo. Viongozi ambao kwao wao wananchi ni Jambo la msingi kuliko madaraka.

Tuombe sana
Dah!

Mkuu, hata hujui tofauti kati ya nchi za Sudan na Sudan Kusini?

Naungana nawe kuhusu hao viongozi wa Sudan Kusini.

Hilo la kuwalinganisha, kama ulivyofanya na hawa hapa kwetu, sioni uhusiano wake. Ni mazingira tofauti kabisa, lakini naona hukuweza kujizuia kuonyesha mapenzi yako kwa hao viongozi yanayokufanya usahau ubovu wao; hata kama ni ubovu uliotofauti na wa hao wa Sudan Kusini.
 
Kanisa katoliki lina kashfa ya kushiriki vita ya wenyewe kwa wenyewe huko Nigeria kwenye jimbo la Biafra, 1967 - 1970.. Papa hana uhalali wowote wa kuonekana mtakatifu mbele ya watu.
Bila shaka wewe utakuwa mtakatifu kumzidi yeye!

Sasa nenda Sudan Kusini ukamalize huo mzozo, mtakatifu 'Mama Samia2025'.
 
Kama huyo Mungu ana sikia mpaka sasa kama taifa tusinge kuwa bado tuna tawaliwa kimabavu na wanyang'anyi, wauaji na mafisadi [ CCM ]
Tupate viongozi wa upinzani wenye roho kama Jonas Savimbi ndio tutaheshimina
 
Yaani Sudani upige magoti alafu Ukraine uchochee!.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom