Tusipo badili aina ya uongozi Tanzania inaenda kufilisika na kuwa ombaomba {fallen empires}

Ukiacha kwamba unasumbuliwa na chuki ila ujinga umezidi maarifa Yako..

Rais sio tuu kafaulu Bali kafaulu karibu sekta zote ikiwamo hata Hilo la Mitaala,next January tuanzaana na Mitaala mipya ya Elimu.
Kwa hiyo sisi Kila siku tumekuwa watu wa kuanza upya...hiyo kama sio AIBU ya mwaka Ni Nini...?
 
Wewe ni mjinga kabisa mtu anaongea fact wewe unaleta proganda ujinga mtupu au wewe jioni matatizo yaliyopo kwenye nchi hii kwenye kila sekta tupotupo tu alafu wabongo Kazi kuwa machawa ujinga mtupu Ubinafsi,uwezo mdogo wa kufikiria ndio vinaimaliza hii inchi
Inasikitisha sana...nchi yetu Ina watu wanao shabikia mambo ya hivyo sana...haki vile tunatakiwa tutawaliwe tena akili itukae sawa maana Kwa aina ya watu kama hao wangekuwepo enzi za kupigania uhuru...Hadi Leo Bado tungekuwa watumwa😭😭😭😭
 
Bajeti kusahau..
Ustawi wa Jamii na sekta zake

Elimu kwa mapana na uduchu wa hela wikishupalia magari yao na maposho yao, wakijifanya hawaoni watoto wa shule za kata wakihangaika kupata vitabu vya shule, chakula na USAFIRI.

Uwekezaji kwenye Afya ya raia
Hapo kwenye elimu hapo ndio pamevurugwa Hadi roho inauma...harafu mbaya Zaidi viongozi watoto wao hawawasomeshi kwenye hii mitaala yetu...
 
Ndugu zangu Huwa nakaa nakuwaza hivi kweli hii nchi sisi Watanzania ni yetu kweli au Kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia, kwani Kwa yanayoendelea ni kama vile nchi yetu inaongozwa na watu wasiokuwa na huruma hata kidogo.

Kiongozi atakacho kiamua yeye hata kama akina baraka za Wananchi kinafanyika hata kikiwa Cha haramu, Huwa nawaza pengine Kuna kiongozi mkubwa Zaidi ya Rais ambaye anamshinikiza Rais kufanya lolote analolitaka Yani huyo KIONGOZI anaogopewa na Rais kuliko kitu chochote[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Lakini kibaya Zaidi ni kama viongozi wetu wanaamua kuongoza nchi Kwa kumkomoa huyo KIONGOZI wao mwenye mamlaka makubwa juu ya Rais....maana sielewi pengine huyo KIONGOZI ni MAMA wa KAMBO wa Taifa hili Ambae watoto {viongozi} wanaamua kimakusudi kumfadhaisha,

Nasema kuwa tunaongozwa na kiongozi alie juu ya Rais Kwa sababu waliopo madarakani ni kama awamuogopi kabisa Rais na ni kama wanayoyatenda yana baraka za Rais...

Nimebahatika kutembelea mikoa mbali mbali ambayo jitihada za ujenzi wa barabara zilionekana kufanyika na Kwa asilimia kubwa ujenzi umekamilika na barabara nyingi ni mpya kimatumizi lakini kimuonekano zimeisha chakaa hata miaka miwili hazina.​

View attachment 2674798
Hivi sasa hakuna kitu hatari kama barabara zetu hizi, unakutana na shimo kubwa katikati ya barabara huku tukiwa tunalipa Kodi. Kila kitu kimepanda bei.

Mimi nashauri tungetaifisha Kila kitu na tukiona haitoshi tuwaite wakoloni waje watutawale tena maana kujitawala sisi wenyewe hatuwezi...

Imagine sisi ni matajiri wakubwa tuna Kila kitu...lakini hatuna tunachofaidika na huo utajiri tulio nao... Tuna mbuga za wanyama, tumezungukwa na Maziwa makubwa makubwa, tumezungukwa na bahari...tuna madini na mengine hayapatikani popote isipokuwa hapa Tanzania. Lakini hapa hapa nyumbani asilimia 45 ya wakazi wake wanashindwa kabisa kupata Milo mitatu Kwa siku... Kwa kifupi asilimia 75 ya Wananchi wa Tanzania Wanaishi chini ya Dola Moja[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji134][emoji134][emoji134]

Viongozi mnapo mkomoa kiongozi wenu mkubwa juu ya Rais {mama wa kambo} mkumbuke kuwa tunaopata tabu ni sisi Wananchi wa kawaida ambao asilimia 65 hatuna sehemu za kulala... tunahifadhiwa Kwa ndugu jamaa na marafiki[emoji24][emoji24] tunaelekea Zaidi ya miaka 60 sasa tokea tupate uhuru lakini...

✓Barabara mbovu na Kila siku zinatengenezwa....mpya huku zile za mwanzo zikizidi kuchakaa.

✓hospitali hakuna dawa na Kila siku zinajengwa mpya.

✓wanafunzi wanafeli wengi kiufupi elimu imeharibiwa na kuvurugwa kisiasa Bado tunajenga madarasa na shule mpya. Huku shule za mwanzo zikiwa hazina walimu Wala vifaa vya kufundushia.

✓umeme ni janga kubwa Bado unatusumbua licha ya kukua Kwa sayansi na technology Bado tunategemea umeme wa maji hii ni AIBU kubwa sana.

✓bado ujinga haujaisha watu wanabambikiwa kesi huku mafisadi wanaopaswa kuwa jela wakidunda TU mtaani [emoji24][emoji24][emoji24]

Tuna Zaidi ya miaka 60 sasa tokea tupate uhuru lakini Bado tumeshindwa kupambana na Adui watatu ambao ni 1. UJINGA 2. UMASIKINI NA 3. MARADHI....

Na bado tunao wimbo wetu wa Taifa ambao Kila kiongozi akipanda jukwaani kuomba kura lazima aanze na beti hizi ambazo ni ELIMU, BARABARA, MAJI, NA AFYA.

Kuna sauti inaniambia kuwa TUSIPO BADILI AINA ya UONGOZI miaka 20 mbele Tanzania INAENDA KUFILISIKA kabisa na kuwa OMBA OMBA[emoji134][emoji134][emoji134][emoji24][emoji24][emoji24]
{Mimi siamini katika dini maana kama maombi tumefanya sana na mabadiliko hakuna hivyo naona maombi bila vitendo ni sawa na makelele TU...}​
Shida ni yeye mwenyewe, hakuna alie nyuma ya pazia...
 
Inasikitisha sana...nchi yetu Ina watu wanao shabikia mambo ya hivyo sana...haki vile tunatakiwa tutawaliwe tena akili itukae sawa maana Kwa aina ya watu kama hao wangekuwepo enzi za kupigania uhuru...Hadi Leo Bado tungekuwa watumwa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Mana ya utumwa kwako ni ipi kwasababu mm naona ni Kama tupo kwenye zile enzi tu
 
Kina Nyerere waliwapotosha watu tutaendelea tukiwatoa wakoloni.
Umiliki mifumo ya dunia ya kuendelea utaendelea vipi sasa
Huyo alitutinyanga TINYANGA sana ..ndio ametusababishia matatizo yote haya...kitabu Cha katiba akakibariki kikiwa na uwezo mdogo wa kuongoza ukoo na sio nchi...😭😭😭
 
Mana ya utumwa kwako ni ipi kwasababu mm naona ni Kama tupo kwenye zile enzi tu
Ila kweli...enh Bado tupo utumwani kwakweli ila utumwa unasindikizwa na bendera...ila utumwa huu tunatawaliana wenyewe Kwa wenyewe ila Bado nahisi...wanaotutawala wapi sehemu wanaizungusha nchi yetu wanavyo taka...!
 
Na wamejua kuwa akili za watanzania zilivyo wao wambie kuhusu yanga na simba tu basii wameridhika wengine wanakuja na story ooh mbona wanosikika ni kina mayele na bangala wakitanzania mbona hawasikiki amesahau km ili kupata waridi lazima uwekeze wakati ule alifanya nn ili kina mayele wa kitanzania wawepo yani inasikitisha sana ukianza kuchambua mambo yanayofanyika kwenye hii nchi unaweza kufa kwa presha
 
Kuna kikundi cha watu wachache sana wanaofaidi raslimali za hii nchi. Majority kila siku tunaongezewa tu kodi na tozo.

Mimi nadhani wananchi tunatakiwa kuamua wote kwa pamoja kuwaondoa hawa kupe.
 
Wanatudharau sana mpaka wanadiliki kutuita "watu wao maskini"alafu na sisi tumekubali kuitwa ivyo jiulize kwa mfano shida ya maji kwenye hii nchi Mkiwa Kama wa Mwanza unapaswa kuwa na shida ya maji mkoa ambao umezungukwa na maji kila kona Leo watu hawana maji ilo moja la pili barabara mashimo kila sehemu chukulia mkoa wa Mwanza una mawe kila kona yani mkoa,halmashauri kuona kuwa kuwa na vitu hivi tu tayari iyo ni fursa?wanaweza kuja na mpango wa kujenga barabara kwa kutumia mawe tunaona kwenye vituo vya mafuta wanatumia mawe kuweka zile sakafu kwenye vituo vyao .
Na wanaweza kuweka mpango kwa phase kwamba mwaka tunachagua kipande flani mapaka tunamaliza lkn watu wamekariri kwamba barabara ni lami Ile nyeusi.
 
Ndugu zangu Huwa nakaa nakuwaza hivi kweli hii nchi sisi Watanzania ni yetu kweli au Kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia, kwani Kwa yanayoendelea ni kama vile nchi yetu inaongozwa na watu wasiokuwa na huruma hata kidogo.

Kiongozi atakacho kiamua yeye hata kama akina baraka za Wananchi kinafanyika hata kikiwa Cha haramu, Huwa nawaza pengine Kuna kiongozi mkubwa Zaidi ya Rais ambaye anamshinikiza Rais kufanya lolote analolitaka Yani huyo KIONGOZI anaogopewa na Rais kuliko kitu chochote[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Lakini kibaya Zaidi ni kama viongozi wetu wanaamua kuongoza nchi Kwa kumkomoa huyo KIONGOZI wao mwenye mamlaka makubwa juu ya Rais....maana sielewi pengine huyo KIONGOZI ni MAMA wa KAMBO wa Taifa hili Ambae watoto {viongozi} wanaamua kimakusudi kumfadhaisha,

Nasema kuwa tunaongozwa na kiongozi alie juu ya Rais Kwa sababu waliopo madarakani ni kama awamuogopi kabisa Rais na ni kama wanayoyatenda yana baraka za Rais...

Nimebahatika kutembelea mikoa mbali mbali ambayo jitihada za ujenzi wa barabara zilionekana kufanyika na Kwa asilimia kubwa ujenzi umekamilika na barabara nyingi ni mpya kimatumizi lakini kimuonekano zimeisha chakaa hata miaka miwili hazina.​

View attachment 2674798
Hivi sasa hakuna kitu hatari kama barabara zetu hizi, unakutana na shimo kubwa katikati ya barabara huku tukiwa tunalipa Kodi. Kila kitu kimepanda bei.

Mimi nashauri tungetaifisha Kila kitu na tukiona haitoshi tuwaite wakoloni waje watutawale tena maana kujitawala sisi wenyewe hatuwezi...

Imagine sisi ni matajiri wakubwa tuna Kila kitu...lakini hatuna tunachofaidika na huo utajiri tulio nao... Tuna mbuga za wanyama, tumezungukwa na Maziwa makubwa makubwa, tumezungukwa na bahari...tuna madini na mengine hayapatikani popote isipokuwa hapa Tanzania. Lakini hapa hapa nyumbani asilimia 45 ya wakazi wake wanashindwa kabisa kupata Milo mitatu Kwa siku... Kwa kifupi asilimia 75 ya Wananchi wa Tanzania Wanaishi chini ya Dola Moja[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji134][emoji134][emoji134]

Viongozi mnapo mkomoa kiongozi wenu mkubwa juu ya Rais {mama wa kambo} mkumbuke kuwa tunaopata tabu ni sisi Wananchi wa kawaida ambao asilimia 65 hatuna sehemu za kulala... tunahifadhiwa Kwa ndugu jamaa na marafiki[emoji24][emoji24] tunaelekea Zaidi ya miaka 60 sasa tokea tupate uhuru lakini...

✓Barabara mbovu na Kila siku zinatengenezwa....mpya huku zile za mwanzo zikizidi kuchakaa.

✓hospitali hakuna dawa na Kila siku zinajengwa mpya.

✓wanafunzi wanafeli wengi kiufupi elimu imeharibiwa na kuvurugwa kisiasa Bado tunajenga madarasa na shule mpya. Huku shule za mwanzo zikiwa hazina walimu Wala vifaa vya kufundushia.

✓umeme ni janga kubwa Bado unatusumbua licha ya kukua Kwa sayansi na technology Bado tunategemea umeme wa maji hii ni AIBU kubwa sana.

✓bado ujinga haujaisha watu wanabambikiwa kesi huku mafisadi wanaopaswa kuwa jela wakidunda TU mtaani [emoji24][emoji24][emoji24]

Tuna Zaidi ya miaka 60 sasa tokea tupate uhuru lakini Bado tumeshindwa kupambana na Adui watatu ambao ni 1. UJINGA 2. UMASIKINI NA 3. MARADHI....

Na bado tunao wimbo wetu wa Taifa ambao Kila kiongozi akipanda jukwaani kuomba kura lazima aanze na beti hizi ambazo ni ELIMU, BARABARA, MAJI, NA AFYA.

Kuna sauti inaniambia kuwa TUSIPO BADILI AINA ya UONGOZI miaka 20 mbele Tanzania INAENDA KUFILISIKA kabisa na kuwa OMBA OMBA[emoji134][emoji134][emoji134][emoji24][emoji24][emoji24]
{Mimi siamini katika dini maana kama maombi tumefanya sana na mabadiliko hakuna hivyo naona maombi bila vitendo ni sawa na makelele TU...}​
Ndugu umeongea ukweli mtupu.
Magufuli kidogo alileta matumaini na naamini kama angetawala kwa miaka 20 angeyaondoa hayo matatizo yote tunayoyaona.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Japo alizungukwa na maadui yeye mwenye alikiri kuwa vita ya uchumi ni mbaya sana....! Bora vita ya bunduki Adui unaweza ukamuona...!
 
Wanatudharau sana mpaka wanadiliki kutuita "watu wao maskini"alafu na sisi tumekubali kuitwa ivyo jiulize kwa mfano shida ya maji kwenye hii nchi Mkiwa Kama wa Mwanza unapaswa kuwa na shida ya maji mkoa ambao umezungukwa na maji kila kona Leo watu hawana maji ilo moja la pili barabara mashimo kila sehemu chukulia mkoa wa Mwanza una mawe kila kona yani mkoa,halmashauri kuona kuwa kuwa na vitu hivi tu tayari iyo ni fursa?wanaweza kuja na mpango wa kujenga barabara kwa kutumia mawe tunaona kwenye vituo vya mafuta wanatumia mawe kuweka zile sakafu kwenye vituo vyao .
Na wanaweza kuweka mpango kwa phase kwamba mwaka tunachagua kipande flani mapaka tunamaliza lkn watu wamekariri kwamba barabara ni lami Ile nyeusi.
Ngoja tufirisike akili iwakae sawa...japo Najua wataikimbia nchi....!
 
Ila kweli...enh Bado tupo utumwani kwakweli ila utumwa unasindikizwa na bendera...ila utumwa huu tunatawaliana wenyewe Kwa wenyewe ila Bado nahisi...wanaotutawala wapi sehemu wanaizungusha nchi yetu wanavyo taka...!
Tunatakiwa tutumie maarifa yetu kwa kuangalia rasilimali tulizo nazo ili kujitoa kwenye matatizo lakini sisi tupotupo tu sasa sijui hao wasomi wanailisaidiaje ili taifa.
Kila kukicha ni kelele za wanaonufaika na mfumo kuwasifu viongozi wao hata wanapotengeneza sera cha kwanza wanajiangalia wao watanufaikaje jamboa ambalo sio sahihi tuache umimi tuipende nchi yetu tuwajibike ipasavyo tuangalie miaka mingi mbele kuwa Tanzania itakuaje.
Tuache fikra za kuwa eti sisi bado wachanga tusijilinganishe na Marekani sijui na wapi huko kwiingine ayo maneno yanatolewa huku kukiwa na rushwa kubwa kwenye nchi yetu,uzalendo,uwajibikaji haupo.
Sasa Kama una taifa la watu Wala rushwa kiasi hiki hata nchi iwe na miaka elfu mbili haiwezi kuwa na maendeleo yoyote ya maana
 
Back
Top Bottom