Tusipo badili aina ya uongozi Tanzania inaenda kufilisika na kuwa ombaomba {fallen empires}

Tusipo badili aina ya uongozi Tanzania inaenda kufilisika na kuwa ombaomba {fallen empires}

Mama Mimi ni muislam siwezi kumkataa muislam mwenzangu Kwa vyovyote. Kwani najua sisi wote ni WA mwenyezi Mungu na kupitia shahada sisi ni ndugu.

kinacho nichukiza ni aina ya UONGOZI ambao hauna malengo ya muda mrefu wa muda mfupi...

Tokea uhuru wimbo ni ule ule MAJI, UMEME, BARABARA, ELIMU & AFYA...? huionei huruma nchi Yako badala ya kusonga mbele inazidi kurudi nyuma. Ka Nchi kama Rwanda hapo TU ambayo Kwa ukubwa sidhani kama inaweza kuzidi mikoa mitatu ya hapa kwetu...

Nchi ndogo Ina maendelo makubwa kutuzidi😭😭😭😭
Sisi tunaongozwa na majambazi, haki vile ni mateso sana kuishi Tanzania 😭😭😭​
Kuna uongo hauna malengo ya mda mrefu na mda mfupi? Au wewe ndio punguani hujui?

Unaelewa Bajeti Huwa zinatekeleza malengo yapi?

Mwisho huu upumbavu mlikaririshwa na nani kwamba eti Rwanda Ina maendelea makubwa kuliko sisi?

Mbona kama umejaa uji kichwani? Umewahi Iona Rwanda kwenye Nchi kundi la Middle Income Country?

Takataka za kuambiwa changanya na zako usiwe kama mtu anaetongozwa,Rwanda Yako ni maskini kama maskini wengine.
 
Ndugu zangu Huwa nakaa nakuwaza hivi kweli hii nchi sisi Watanzania ni yetu kweli au Kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia, kwani Kwa yanayoendelea ni kama vile nchi yetu inaongozwa na watu wasiokuwa na huruma hata kidogo.

Kiongozi atakacho kiamua yeye hata kama akina baraka za Wananchi kinafanyika hata kikiwa Cha haramu, Huwa nawaza pengine Kuna kiongozi mkubwa Zaidi ya Rais ambaye anamshinikiza Rais kufanya lolote analolitaka Yani huyo KIONGOZI anaogopewa na Rais kuliko kitu chochote😭😭😭😭

Lakini kibaya Zaidi ni kama viongozi wetu wanaamua kuongoza nchi Kwa kumkomoa huyo KIONGOZI wao mwenye mamlaka makubwa juu ya Rais....maana sielewi pengine huyo KIONGOZI ni MAMA wa KAMBO wa Taifa hili Ambae watoto {viongozi} wanaamua kimakusudi kumfadhaisha,

Nasema kuwa tunaongozwa na kiongozi alie juu ya Rais Kwa sababu waliopo madarakani ni kama awamuogopi kabisa Rais na ni kama wanayoyatenda yana baraka za Rais...

Nimebahatika kutembelea mikoa mbali mbali ambayo jitihada za ujenzi wa barabara zilionekana kufanyika na Kwa asilimia kubwa ujenzi umekamilika na barabara nyingi ni mpya kimatumizi lakini kimuonekano zimeisha chakaa hata miaka miwili hazina.​

View attachment 2674798
Hivi sasa hakuna kitu hatari kama barabara zetu hizi, unakutana na shimo kubwa katikati ya barabara huku tukiwa tunalipa Kodi. Kila kitu kimepanda bei.

Mimi nashauri tungetaifisha Kila kitu na tukiona haitoshi tuwaite wakoloni waje watutawale tena maana kujitawala sisi wenyewe hatuwezi...

Imagine sisi ni matajiri wakubwa tuna Kila kitu...lakini hatuna tunachofaidika na huo utajiri tulio nao... Tuna mbuga za wanyama, tumezungukwa na Maziwa makubwa makubwa, tumezungukwa na bahari...tuna madini na mengine hayapatikani popote isipokuwa hapa Tanzania. Lakini hapa hapa nyumbani asilimia 45 ya wakazi wake wanashindwa kabisa kupata Milo mitatu Kwa siku... Kwa kifupi asilimia 75 ya Wananchi wa Tanzania Wanaishi chini ya Dola Moja😭😭😭😭🙆🙆🙆

Viongozi mnapo mkomoa kiongozi wenu mkubwa juu ya Rais {mama wa kambo} mkumbuke kuwa tunaopata tabu ni sisi Wananchi wa kawaida ambao asilimia 65 hatuna sehemu za kulala... tunahifadhiwa Kwa ndugu jamaa na marafiki😭😭 tunaelekea Zaidi ya miaka 60 sasa tokea tupate uhuru lakini...

✓Barabara mbovu na Kila siku zinatengenezwa....mpya huku zile za mwanzo zikizidi kuchakaa.

✓hospitali hakuna dawa na Kila siku zinajengwa mpya.

✓wanafunzi wanafeli wengi kiufupi elimu imeharibiwa na kuvurugwa kisiasa Bado tunajenga madarasa na shule mpya. Huku shule za mwanzo zikiwa hazina walimu Wala vifaa vya kufundushia.

✓umeme ni janga kubwa Bado unatusumbua licha ya kukua Kwa sayansi na technology Bado tunategemea umeme wa maji hii ni AIBU kubwa sana.

✓bado ujinga haujaisha watu wanabambikiwa kesi huku mafisadi wanaopaswa kuwa jela wakidunda TU mtaani 😭😭😭

Tuna Zaidi ya miaka 60 sasa tokea tupate uhuru lakini Bado tumeshindwa kupambana na Adui watatu ambao ni 1. UJINGA 2. UMASIKINI NA 3. MARADHI....

Na bado tunao wimbo wetu wa Taifa ambao Kila kiongozi akipanda jukwaani kuomba kura lazima aanze na beti hizi ambazo ni ELIMU, BARABARA, MAJI, NA AFYA.

Kuna sauti inaniambia kuwa TUSIPO BADILI AINA ya UONGOZI miaka 20 mbele Tanzania INAENDA KUFILISIKA kabisa na kuwa OMBA OMBA🙆🙆🙆😭😭😭
{Mimi siamini katika dini maana kama maombi tumefanya sana na mabadiliko hakuna hivyo naona maombi bila vitendo ni sawa na makelele TU...}

Hiki kikundi Cha watu wachache wanaoifaidi ASALI ya nchi yetu Kwa kuilamba hivyo hivyo na kuitawanya tawanya bila mpangilio....siku nchi hii itakapo Baki mapango matupu, pori yatakapo isha na kubaki jangwa...hapo ndipo walamba asali watakapo ikimbia nchi na kuhamia mafichoni....walalahoi tutajifia wenyewe na shida zetu🙆🙆😭😭😭🙆🙆🙆​
Tanzania haijawahi na will never be omba omba kamwe.

View: https://twitter.com/millardayo/status/1714968190420238833?t=bHZQXOrgcuQryJxDu0eEPQ&s=19
 
Sawa Ila wamezidi mkuu hivi serikari imefikia wapi mpango wa kuuza umeme nje ya inchi?
Kwani bwawa limekamilika? Na hata likikamilika sioni huo uwezekano labda tuu Tupate tarrifs Kwa Kuruhusu Ethiopia kutumia njia zetu kuuza umeme Nchi kama South Africa na Botswana au sisi kununua kwao via Kenya
 
Kuna uongo hauna malengo ya mda mrefu na mda mfupi? Au wewe ndio punguani hujui?

Unaelewa Bajeti Huwa zinatekeleza malengo yapi?

Mwisho huu upumbavu mlikaririshwa na nani kwamba eti Rwanda Ina maendelea makubwa kuliko sisi?

Mbona kama umejaa uji kichwani? Umewahi Iona Rwanda kwenye Nchi kundi la Middle Income Country?

Takataka za kuambiwa changanya na zako usiwe kama mtu anaetongozwa,Rwanda Yako ni maskini kama maskini wengine.
Povu
 
Na hii mikopo umiza tunayokopeshwa...wanajipendekeza kutukopesha...? Au sisi ni omba omba TUnaoshindwa kutumia lasirimari😭😭😭 zetu Kwa manufaa yetu... Unapoomba kukopesha huo ni uomba omba pia😭😭
Mikopo umiza ndio mikopo gani? Kama unadhani Kila mtu au Nchi inaweza kopeshwa nenda wewe bank na sound tuone kama utapata Mkopo.
 
Back
Top Bottom