Tusipo badili aina ya uongozi Tanzania inaenda kufilisika na kuwa ombaomba {fallen empires}

Ukiacha kwamba unasumbuliwa na chuki ila ujinga umezidi maarifa Yako..

Rais sio tuu kafaulu Bali kafaulu karibu sekta zote ikiwamo hata Hilo la Mitaala,next January tuanzaana na Mitaala mipya ya Elimu.
Kwa hiyo sisi Kila siku tumekuwa watu wa kuanza upya...hiyo kama sio AIBU ya mwaka Ni Nini...?
 
Inasikitisha sana...nchi yetu Ina watu wanao shabikia mambo ya hivyo sana...haki vile tunatakiwa tutawaliwe tena akili itukae sawa maana Kwa aina ya watu kama hao wangekuwepo enzi za kupigania uhuru...Hadi Leo Bado tungekuwa watumwa😭😭😭😭
 
Hapo kwenye elimu hapo ndio pamevurugwa Hadi roho inauma...harafu mbaya Zaidi viongozi watoto wao hawawasomeshi kwenye hii mitaala yetu...
 
Shida ni yeye mwenyewe, hakuna alie nyuma ya pazia...
 
Mana ya utumwa kwako ni ipi kwasababu mm naona ni Kama tupo kwenye zile enzi tu
 
Kina Nyerere waliwapotosha watu tutaendelea tukiwatoa wakoloni.
Umiliki mifumo ya dunia ya kuendelea utaendelea vipi sasa
Huyo alitutinyanga TINYANGA sana ..ndio ametusababishia matatizo yote haya...kitabu Cha katiba akakibariki kikiwa na uwezo mdogo wa kuongoza ukoo na sio nchi...😭😭😭
 
Mana ya utumwa kwako ni ipi kwasababu mm naona ni Kama tupo kwenye zile enzi tu
Ila kweli...enh Bado tupo utumwani kwakweli ila utumwa unasindikizwa na bendera...ila utumwa huu tunatawaliana wenyewe Kwa wenyewe ila Bado nahisi...wanaotutawala wapi sehemu wanaizungusha nchi yetu wanavyo taka...!
 
Na wamejua kuwa akili za watanzania zilivyo wao wambie kuhusu yanga na simba tu basii wameridhika wengine wanakuja na story ooh mbona wanosikika ni kina mayele na bangala wakitanzania mbona hawasikiki amesahau km ili kupata waridi lazima uwekeze wakati ule alifanya nn ili kina mayele wa kitanzania wawepo yani inasikitisha sana ukianza kuchambua mambo yanayofanyika kwenye hii nchi unaweza kufa kwa presha
 
Kuna kikundi cha watu wachache sana wanaofaidi raslimali za hii nchi. Majority kila siku tunaongezewa tu kodi na tozo.

Mimi nadhani wananchi tunatakiwa kuamua wote kwa pamoja kuwaondoa hawa kupe.
 
Kuna kikundi cha watu wachache sana wanaofaidi raslimali za hii nchi. Majority kila siku tunaongezewa tu kodi na tozo.

Mimi nadhani wananchi tunatakiwa kuamua wote kwa pamoja kuwaondoa hawa kupe.
Wanatudharau sana mpaka wanadiliki kutuita "watu wao maskini"alafu na sisi tumekubali kuitwa ivyo jiulize kwa mfano shida ya maji kwenye hii nchi Mkiwa Kama wa Mwanza unapaswa kuwa na shida ya maji mkoa ambao umezungukwa na maji kila kona Leo watu hawana maji ilo moja la pili barabara mashimo kila sehemu chukulia mkoa wa Mwanza una mawe kila kona yani mkoa,halmashauri kuona kuwa kuwa na vitu hivi tu tayari iyo ni fursa?wanaweza kuja na mpango wa kujenga barabara kwa kutumia mawe tunaona kwenye vituo vya mafuta wanatumia mawe kuweka zile sakafu kwenye vituo vyao .
Na wanaweza kuweka mpango kwa phase kwamba mwaka tunachagua kipande flani mapaka tunamaliza lkn watu wamekariri kwamba barabara ni lami Ile nyeusi.
 
Ndugu umeongea ukweli mtupu.
Magufuli kidogo alileta matumaini na naamini kama angetawala kwa miaka 20 angeyaondoa hayo matatizo yote tunayoyaona.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Ndugu umeongea ukweli mtupu.
Magufuli kidogo alileta matumaini na naamini kama angetawala kwa miaka 20 angeyaondoa hayo matatizo yote tunayoyaona.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Japo alizungukwa na maadui yeye mwenye alikiri kuwa vita ya uchumi ni mbaya sana....! Bora vita ya bunduki Adui unaweza ukamuona...!
 
Ngoja tufirisike akili iwakae sawa...japo Najua wataikimbia nchi....!
 
Ila kweli...enh Bado tupo utumwani kwakweli ila utumwa unasindikizwa na bendera...ila utumwa huu tunatawaliana wenyewe Kwa wenyewe ila Bado nahisi...wanaotutawala wapi sehemu wanaizungusha nchi yetu wanavyo taka...!
Tunatakiwa tutumie maarifa yetu kwa kuangalia rasilimali tulizo nazo ili kujitoa kwenye matatizo lakini sisi tupotupo tu sasa sijui hao wasomi wanailisaidiaje ili taifa.
Kila kukicha ni kelele za wanaonufaika na mfumo kuwasifu viongozi wao hata wanapotengeneza sera cha kwanza wanajiangalia wao watanufaikaje jamboa ambalo sio sahihi tuache umimi tuipende nchi yetu tuwajibike ipasavyo tuangalie miaka mingi mbele kuwa Tanzania itakuaje.
Tuache fikra za kuwa eti sisi bado wachanga tusijilinganishe na Marekani sijui na wapi huko kwiingine ayo maneno yanatolewa huku kukiwa na rushwa kubwa kwenye nchi yetu,uzalendo,uwajibikaji haupo.
Sasa Kama una taifa la watu Wala rushwa kiasi hiki hata nchi iwe na miaka elfu mbili haiwezi kuwa na maendeleo yoyote ya maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…