Tusipo badili aina ya uongozi Tanzania inaenda kufilisika na kuwa ombaomba {fallen empires}

Kuna kikundi cha watu wachache sana wanaofaidi raslimali za hii nchi. Majority kila siku tunaongezewa tu kodi na tozo.

Mimi nadhani wananchi tunatakiwa kuamua wote kwa pamoja kuwaondoa hawa kupe.
Kweli aisee ila nchi itakapo Baki mashimo matupu na jangwa wataikimbia nchi watatuacha na shida zetu...!
 
Usipende kujiumiza na kuwazia mambo ya mda mfupi yasiyodumu milele, wachopaswa kujua ni umeumbwa na MUNGU na kuletwa duniani (Tanzania) kwa lengo lipi! Hiki ndio wapaswa kuumiza akili yako, mengine nikujitafutia stress tu na kufa mapema.
 
Nyinyi usongo wenu ni Muislam tu kuwa Rais, hakuna cha mkataba wala nini. Na Waislam tunasema mama haondoki.

Na mkataba ukifikia wa kazi bana ya DRW na TPA utafanyika.
 
Wanasema,,Etii!!si wote Lazima tuwe walamba Asali,,,Wengine waendelee kubakia kuwa Wachonga Mizinga,,,"Na si Dhambi pia ukiwa kundi moja kati ya hayo ni Swala la Nyakati tu katika maisha ya kawaida ya ulimwengu na walimwengu,,, Jitahidi kuheshimu Nyakati katika maisha ya kila siku ukibahatika kuamka na pumzi na afya!!
 
DP World waje wachukue na Barabara, Tanroad wameshindwa. Sisi waafrika hatuweezi kuufanya jamb bila kuongozwa.
 
Nyinyi usongo wenu ni Muislam tu kuwa Rais, hakuna cha mkataba wala nini. Na Waislam tunasema mama haondoki.

Na mkataba ukifikia wa kazi bana ya DRW na TPA utafanyika.
Watu wajinga wameamuwa kuunganisha hoja ya mkataba mbovu na dini ili kuficha ubovu wa mkataba.watu wengi wanasheria na wasomi wameonesha ubovu wa mkataba ila watu wajinga wameingiza hoja ya Udini kwenye hoja kuu ya ubovu wa mkataba ili kuficha uovu wa walioridhia huo mkataba.hoja hapa ni ubovu wa mkataba na rais atake asitake hata utekeleza huo mkataba kwa sababu watanzania wengi wameukataa isipokuwa machawa wachache wasiojitambua.mtafeli mtake msitake kwa sababu watanzania wengi wameungana.
 
Kuna mda unajiuliza, hawa watawala wanachofanya ni ubinafsishaji au utaifishaji.., mwenye akili timam huwezi elewa kabisa. Ila wenye akili kama wale wazee wa sifa, wanaojiita wazee wa minyama wanawaelewa sana hawa watawala.
 
Watu weusi msha ambiwa na kaburu Botha "hamuwezi kujitawala" ndio maana miaka 61 ya uhuru bado mnatupa lawama kwa wazungu kwamba ndo chanzo Cha matatizo kumbe ni akili zetu fupi kuanzia wananchi mpaka viongozi
 
TANZANIA NCHI TAJIRI VIONGOZI MATAJIRI WANANCHI MASIKINI
 
Nyinyi usongo wenu ni Muislam tu kuwa Rais, hakuna cha mkataba wala nini. Na Waislam tunasema mama haondoki.

Na mkataba ukifikia wa kazi bana ya DRW na TPA utafanyika.
Mama Mimi ni muislam siwezi kumkataa muislam mwenzangu Kwa vyovyote. Kwani najua sisi wote ni WA mwenyezi Mungu na kupitia shahada sisi ni ndugu.

kinacho nichukiza ni aina ya UONGOZI ambao hauna malengo ya muda mrefu wa muda mfupi...

Tokea uhuru wimbo ni ule ule MAJI, UMEME, BARABARA, ELIMU & AFYA...? huionei huruma nchi Yako badala ya kusonga mbele inazidi kurudi nyuma. Ka Nchi kama Rwanda hapo TU ambayo Kwa ukubwa sidhani kama inaweza kuzidi mikoa mitatu ya hapa kwetu...

Nchi ndogo Ina maendelo makubwa kutuzidi😭😭😭😭
Sisi tunaongozwa na majambazi, haki vile ni mateso sana kuishi Tanzania 😭😭😭​
 
Mkuu hata Mimi nahisi bado tupo chini ya mkooroni kuanzia Akina nyelele mpaka Akina Samia niviranja tu hawana maamzi yoyote

Fikilia maji yapo lakini mitaani hakuna maji, gesi ipo lakini gesi Bei juu,magari Japan Bei chini ndiyo lakini yakifika hapa ushuru wake achaa,afu ukiuliza y utaskia wanasema bara bara zetu ndogo magari yatakuwa mengi"

T.R.A inamtegemea mfanya biashara kusudi ipate mapato lakini Cha ajabu T.R.A yetu ndiyo kiongozi mkuu wa kuuwa wafanya biashara kibiashara

Kwakifupi hii inchi bado hatupo huru,hatujitawali nahata wanao tutawara huenda sio watanzania wenzetu.
Kwani hawana uchungu na Bibi na Babu zao vijijini,wanyama na hata aldhi ilivyo walea wakakua
ndipo walamba asali watakapo ikimbia nchi na kuhamia mafichoni....walalahoi tutajifia wenyewe na shida zetu🙆​
 
Ukiacha kwamba unasumbuliwa na chuki ila ujinga umezidi maarifa Yako..

Rais sio tuu kafaulu Bali kafaulu karibu sekta zote ikiwamo hata Hilo la Mitaala,next January tuanzaana na Mitaala mipya ya Elimu.
Hivi kwànini viongozi wetu wanapenda kutumia Sana maneno next week, next year, after few or several days or years next y hawananaga now y?
 
Afadhali ya Marehemu alionesha Kuna sehemu anatupeleka....sasaiv nchi ipo auto pailot
Mlikuwa mnaelekea wapi? Sio kwamba wewe ndio huelewi unakoelekea unaamka na kulala kama kuku harafu unasingizia Rais 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…