Tusipo badili aina ya uongozi Tanzania inaenda kufilisika na kuwa ombaomba {fallen empires}

Kuna uongo hauna malengo ya mda mrefu na mda mfupi? Au wewe ndio punguani hujui?

Unaelewa Bajeti Huwa zinatekeleza malengo yapi?

Mwisho huu upumbavu mlikaririshwa na nani kwamba eti Rwanda Ina maendelea makubwa kuliko sisi?

Mbona kama umejaa uji kichwani? Umewahi Iona Rwanda kwenye Nchi kundi la Middle Income Country?

Takataka za kuambiwa changanya na zako usiwe kama mtu anaetongozwa,Rwanda Yako ni maskini kama maskini wengine.
 
Tanzania haijawahi na will never be omba omba kamwe.

View: https://twitter.com/millardayo/status/1714968190420238833?t=bHZQXOrgcuQryJxDu0eEPQ&s=19
 
Sawa Ila wamezidi mkuu hivi serikari imefikia wapi mpango wa kuuza umeme nje ya inchi?
Kwani bwawa limekamilika? Na hata likikamilika sioni huo uwezekano labda tuu Tupate tarrifs Kwa Kuruhusu Ethiopia kutumia njia zetu kuuza umeme Nchi kama South Africa na Botswana au sisi kununua kwao via Kenya
 
Povu
 
Na hii mikopo umiza tunayokopeshwa...wanajipendekeza kutukopesha...? Au sisi ni omba omba TUnaoshindwa kutumia lasirimari😭😭😭 zetu Kwa manufaa yetu... Unapoomba kukopesha huo ni uomba omba pia😭😭
Mikopo umiza ndio mikopo gani? Kama unadhani Kila mtu au Nchi inaweza kopeshwa nenda wewe bank na sound tuone kama utapata Mkopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…