Tusipoangalia kanda ya ziwa itatuletea tyranny of the majority

Pole Sana. Kanda ya Ziwa linapofika suala la Kura ni wamoja. Acha kujitekenya.
 
Wachagga Karne hii bado wanaoa Kwa kukamata wasichana Kwa nguvu na baba kuzaa na mke wa mwanawe. Mbona hata wapemba wanakunya baharini.
 
Kanda ya Ziwa itakufanya ukonde. Kama vipi kajinyonge ufe
 
Kama hawana akili na pesa hata wawe milions of then haina effect
 
Karudie shule elimu ya gumbaru,,,mkoa kama mwaza,geita,shinyanga inamchango kidogo kivipi wakati almasi nchi hii ipo shinganga pekee,geita dhahabu,mwaza ziwa,simiyu na mara dhahabu.
Hizo almas ni mali za mabeberu wewe stuka
 
Sema hii Nchi tumeshachangamana sana.. Hakuna kitu kama hicho kinaweza tokea.

Kila kabila lipo Kila sehemu. Pia makabila yameoana sana , yaani hakuna jamii yenye nguvu tena.. Shukran sana kwa waliofanikisha kuunganisha
Ndio maana hatuendelei
 

Kanda ya ziwa n mara, kagera, geita mwanza kwan mikoa yote wako kabila moja acha uoga kwann usihimize na kwenu wazaliane
 
Makosa waliyafanya wale waliojidai wanawasema Sukima g ambayo haikuwepo, mdomo huo umewaumba na wao sasa wame gang up...
Sure mkuu ,sukuma gang ilikuwa ni ya kufikiria ,viongozi wa CCM walikosea Sana walidhani wanatoa bonge la tusi kwa wasukuma ,Sasa wamejiunda(gang up), kwa nguvu haswa,inabidi zifanyike juhudi hiyo Kanda ivunjwe ,kuipunguzia nguvu
 
Pesa alitoa Sana kusaidia harakati za Uhuru John Rupia msukuma toka Shinyanga. Hao unaowataja walikuwa wanywa kahawa Tu.
Dossa Azizi ndiye alikuwa tajiri, Kuna kipindi alikuwa anaitwa aka 'BENKI ' unajua kwa Nini aliitwa BENKI?
 
Uwingi siyo tatizo, mkoa wenye pesa ndiyo wenye maamuzi. Kutegemea serikali kukuletea maendeleo utasubiri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…