Madumbikaya
JF-Expert Member
- Jun 6, 2018
- 639
- 1,919
Hata Mwamposa,Mzee wa upako wanatoka hukoKanda ya ziwa ndyo kila kitu kwa Nchi hii ila kwa wanaoelewa. Na na ndyo kanda inayotoa watu makini sana kwa wanaoelewa pia wanaelewa hili
Hiv bara ya mabogini kahe kule moshi ilishajengwa...vip ile ya majengo?Ngosha so far nakubaliana na wewe, Wabunge wa kanda ya ziwa akina mpina, Msukuma na wengine ndio wazungumzaji , mkoa kama kilimanjaro mtu unaweza kusema walipelka magogo.
Sema hii Nchi tumeshachangamana sana.. Hakuna kitu kama hicho kinaweza tokea.
Kila kabila lipo Kila sehemu. Pia makabila yameoana sana , yaani hakuna jamii yenye nguvu tena.. Shukran sana kwa waliofanikisha kuunganisha
Unaweza kulinganisha Maendeleo ya VUNJO na kisesa kwa Mpina?Ngosha so far nakubaliana na wewe, Wabunge wa kanda ya ziwa akina mpina, Msukuma na wengine ndio wazungumzaji , mkoa kama kilimanjaro mtu unaweza kusema walipelka magogo.
Wenye bandari pwani wanasema hiiii...[emoji16]Kanda ya ziwa ndyo kila kitu kwa Nchi hii ila kwa wanaoelewa. Na na ndyo kanda inayotoa watu makini sana kwa wanaoelewa pia wanaelewa hili
Tofautisheni usukumani na kanda ya ziwa maana siyo kila mwenye asili ya kanda ya Ziwa ni msukuma
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Wahaya, Wakuria na Wajaluo hawezi kukubali kumezwa na Wasukuma.Ukiongelea kanda ya ziwa unaongelea wasukuma,japo ni kweli kuna makabila tofauti ila mengi yamemezwa na wingi wa wasukuma.
Kwa nini useme hivo! Watu wa Mara ndo wanamahusiano sana makubwa na Wasukuma japo hawasikilizani! Wahaya si watu wakujichanganya na makabila mengine! Uchumi wa kanda ya ziwa kwa upande wa biashara na madini Wasukuma na Wakurya ndo wafanyabiashara wakubwa! Watu wa makabila mengine kama wahaya na Wachaga wapo ila si wengi kulinganisha na hao!Wahaya, Wakuria na Wajaluo hawezi kukubali kumezwa na Wasukuma.
Sio kweli, kuna uzi nimekua nikiandaa muda mrefu ntakuja kuweka hapa with evidence na proof jinsi gani kanda ya ziwa or wasukum hawaamui Rais na jinsi hawapigi kura kama block!!Kanda ya ziwa wameishaujua mtaji wao kwenye siasa za Tanzania. Wanajua jinsi walivyo wengi. Na bahati mbaya au nzuri ndiyo wanaongoza kwa kuzaliana nchini. Dalili zinaonyesha wanataka kuutumia mtaji huo kukandamiza wengine. Leo hii hata wabunge wao ni kama hawasemehi majimbo yao tena bali kanda ya ziwa yote. Ni kama kila mbunge wa eneo hilo anawakilisha kanda yote.
Tusipokuwa makini watatukandamiza nchi yote sababu ya wingi wao. Watataka lazima mtu fulani mkubwa serikalini atoke kwao. Watalazimisha gawio kubwa la miradi nk. Nadhani huko mbeleni mfumo wa majimbo hautaepukika.
Itapendeza huo uzi ukatuambia pia ni mikoa ipi hasa ni ya kanda ya ziwa na kama mikoa ya karibu na Ziwa Tanganyika nayo ni kanda ya ziwa.Sio kweli, kuna uzi nimekua nikiandaa muda mrefu ntakuja kuweka hapa with evidence na proof jinsi gani kanda ya ziwa or wasukum hawaamui Rais na jinsi hawapigi kura kama block!!
Una hakika na unachosema?uzuri wana mchango mdogo sana kwenye uchumi wa nchi...[emoji23]
Priscuss Tarimo yupo busy na Hoteli ya baba yake, Moshi Leopards na maduka yao pale Double Road.Hiv bara ya mabogini kahe kule moshi ilishajengwa...vip ile ya majengo?
Ni aibu hadi leo hii manispaa ya moshi ina barabara za vumbi na wabunge wapo
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Waongezee hifadhi ya SerengetiKarudie shule elimu ya gumbaru,,,mkoa kama mwaza,geita,shinyanga inamchango kidogo kivipi wakati almasi nchi hii ipo shinganga pekee,geita dhahabu,mwaza ziwa,simiyu na mara dhahabu.
Seremgeti?Waongezee hifadhi ya Serengeti
Sasa nini kifanyike?Kanda ya ziwa wameishaujua mtaji wao kwenye siasa za Tanzania. Wanajua jinsi walivyo wengi. Na bahati mbaya au nzuri ndiyo wanaongoza kwa kuzaliana nchini. Dalili zinaonyesha wanataka kuutumia mtaji huo kukandamiza wengine. Leo hii hata wabunge wao ni kama hawasemehi majimbo yao tena bali kanda ya ziwa yote. Ni kama kila mbunge wa eneo hilo anawakilisha kanda yote.
Tusipokuwa makini watatukandamiza nchi yote sababu ya wingi wao. Watataka lazima mtu fulani mkubwa serikalini atoke kwao. Watalazimisha gawio kubwa la miradi nk. Nadhani huko mbeleni mfumo wa majimbo hautaepukika.
Jing. WeKanda ya Ziwa ni Washamba, hawana impact yoyote, wabunge wao wote la saba
hii kanda ildharaulika sana. imagine kanda zingine lami hadi vijijini, lakini huku mikoa kwa mikoa haijaunganishwa kwa lami, wilaya kwa wilaya ndo usisemeKanda ya ziwa wameishaujua mtaji wao kwenye siasa za Tanzania. Wanajua jinsi walivyo wengi. Na bahati mbaya au nzuri ndiyo wanaongoza kwa kuzaliana nchini. Dalili zinaonyesha wanataka kuutumia mtaji huo kukandamiza wengine. Leo hii hata wabunge wao ni kama hawasemehi majimbo yao tena bali kanda ya ziwa yote. Ni kama kila mbunge wa eneo hilo anawakilisha kanda yote.
Tusipokuwa makini watatukandamiza nchi yote sababu ya wingi wao. Watataka lazima mtu fulani mkubwa serikalini atoke kwao. Watalazimisha gawio kubwa la miradi nk. Nadhani huko mbeleni mfumo wa majimbo hautaepukika.
Hii Kanda imetoa rais wa ovyo kabisa katika historia ya taifa hili.Kanda ya ziwa ndyo kila kitu kwa Nchi hii ila kwa wanaoelewa. Na na ndyo kanda inayotoa watu makini sana kwa wanaoelewa pia wanaelewa hili