Tusipofanya sasa, Tutajuta Milele, ni lazima Wamasai waondoke Ngorongoro

Haya yatakuwa mapandikizi ya Kenya yanayotaka Ngorongoro ife ili yakamate soko la utalii Afrika Mashariki
Kwa nini wanaharakati wanafurahia binadamu wenzetu kuishi kama wanyama? Mwanadamu amepita stage nyingi za maendeleo kuanzia
Dryopithecus,
Ramapithecus,
Australopithecus,
Homo Erectus,
Homo Sapiens na hatimaye
Civilization

Kwa nini tunapenda watanzania wenzetu wabakie kama Sanaa ya kutazamwa na watalii? Wamasai watoke tu Ngorongoro
 
Kabla ya kuandika huu upupu ungejiuliza wamasai wameishi na hao wanyama Kwa miaka mingapi? Hivi huko Kenya wanakohamia hakuna "wamasai"?

Wakiwapa fisi mizoga Yao shida nini Kwako? Mbona wapo wanaochoma Wapendwa wao kwa moto? Ni life style Yao.

Tukiwatoa wamasai tunaweka waarabu, CCM ni mashetani aiseeee
Ila hata hivyo inabidi kuwe na control flani ili wasiongezeke.
 
Sababu gani zinaonesha kuwepo kwa hila?
Kwa sababu ya hoja zisizo na kichwa wala miguu mnazoshadadia

Unataka kuwaondoa wamasai kwa sababu hupendi wanavyozika, ukimaliza hutataka kuwaondoa Wahindu kwa sababu hiyo hiyo pia?
Kitenge anasema kuna umaskini mkubwa kwa Wamasai Ngorongoro na wamegeuka omba omba.

Lindi, Mtwara, Kigoma na sehemu kubwa ya nchi hii kuna umaskini mkubwa licha ya hayo maeneo kukosa vikwazo walivyo navyo Wamasai Ngorongoro kwa hiyo na watu wa haya maeneo waondolewe?!
 
Ila hata hivyo inabidi kuwe na control flani ili wasiongezeke.
Kilochotakiwa ni serikali kuwapa elimu ya uzazi wa mpango na kuwawezesha kupata huduma za uzazi wa mpango badala take Jiwe yeye alikuwa anawaambiwa watu wafyatue tu na hii ndio sehemu ya matokeo yake.
 
Kwa sababu ya hoja zisizo na kichwa wala miguu mnazoshadadia
Unataka kuwaondoa wamasai kwa sababu hupendi wanavyozika, ukimaliza hutataka kuwaondoa Wahindu kwa sababu hiyo hiyo pia?
Kitenge anasema kuna umaskini mkubwa kwa Wamasai Ngorongoro na wamegeuka omba omba. Lindi, Mtwara, Kigoma na sehemu kubwa ya nchi hii kuna umaskini mkubwa licha ya hayo maeneo kukosa vikwazo walivyo navyo Wamasai Ngorongoro kwa hiyo na watu wa haya maeneo waondolewe?!
Kati ya hayo yaliyosemwa lipi ni la uongo?
 
Amani iwe nanyi

Kama kichwa cha uzi kinavyosema, Kama Mtanzania ninayeipenda nchi yangu, ninayejali maendeleo ya Watanzania wote vizazi na vizazi, leo nasema kwa Sauti moja, Kama tunajali maendeleo ya Tanzania yetu, Ni lazima wamasai waondoke Ngorongoro ili lile eneo liendelee kuwa na wanyama wengi na kuvutia watalii ambao ni moja ya vyanzo vikuu vya mapato kwa Taifa letu

Kwa nini nasema haya?

1. Ngorongoro ni moja ya sehemu chache hapa Tanzania ambazo mtalii ana uhakika wa kuona wanyama walio kwenye hatari ya kupotea Duniani yaani Tempo, Faru, Simba, Nyati na Chui.
Nimefika ngorongoro kusema ukweli hadi Tour guides wanakwambia hivi karibuni imekuwa ngumu sana kuwaona baadhi ya hawa wanyama na sio tu hawa bali hata wanyama wengine ambao huko mwanzoni walikuwa ni wengi na wanaonekana kirahisi na kuvutia watalii wengi na kuongeza mapato mf pundamilia, pofu na wengineo. Hii ni kwa sababu wanadamu wameongezeka sana Ngorongoro na asili ya wanyama pori ni kuwa hawapendi kuchangamana na binadamu na shughuli za kibinadamu zikizidi huwa wanahama.

2. Kuna taarifa za uhakika kuwa Wanyama wanaohama Tanzania wanahamia upande wa pili yaani Kenya hivyo Kenya anafaidika kwa kuongezeka kwa shughuli za kibinadamu Ngorongoro ambazo zinahamishia wanyama wetu Kenya. Hii ni hatari sana kwa uchumi wa Tanzania kwa sababu siku si nyingi, Watalii hawataona umuhimu wa kuja Ngorongoro na hivyo kwenda Kenya na kufanya nchi yetu kukosa Mapato.

3. Kuna taarifa za uhakika pia kuwa Wamasai waishio Ngorongoro hawana hata makabuli. Hivyo ikitokea mmasai amefariki anaachwa aliwe na fisi na mbweha. kibinadamu hii si sawa.

Napenda kumaliza kwa kusema imefika wakati sasa kwa maslahi mapana ya Tanzania, Wamasai wahamishwe Ngorongoro. Eneo hili ni nyeti na Tanzania nzima tunalitegemea kimapato. Likiangamia, Tanzania imeangamia, Ni wakati sasa Fedha zinazotengwa kuwalisha wamasai takribani bilioni 3-4 kwa mwaka zielekezwe sasa kuwajengea makazi ya kudumu wamasai hawa eneo jingine na kuwapatia teknolojia ya kufuga wanyama wachache tena kibiashara na kuachana na Maisha yale ya kijima

Naomba kuwasilisha!
Kuwaondoa kwa nguvu haitakuwa busara.

Mimi naona wanegotiate nao ili kuppata utaratibu wa kuwahamisha with compensation. Kwa mfano familia zilizokuwepo hapo kabla ya miaka ya 80 zibaki na zile zilizohamia baadaye zihamishwe na kulipwa kiasi let say Million 10 kwa familia. Na hili zoezi linaweza kufanywa kwa miaka 5. Zoezi zima linaweza kuchukua zaidi ya 500 Billion Tshs lakini hizo ndizo cost and benefit zenyewe za kutokuwa na policies za kueleweka.

Then baada ya kuwahamisha wengi wao familia zitakazobaki pale lazima zisajiliwe ili kuzuia familia nyingine kuhamia hapo. Maana population ya Ngorongoro imeongezeka sana kwa sababu ya wahamiaji.
 
Amani iwe nanyi

Kama kichwa cha uzi kinavyosema, Kama Mtanzania ninayeipenda nchi yangu, ninayejali maendeleo ya Watanzania wote vizazi na vizazi, leo nasema kwa Sauti moja, Kama tunajali maendeleo ya Tanzania yetu, Ni lazima wamasai waondoke Ngorongoro ili lile eneo liendelee kuwa na wanyama wengi na kuvutia watalii ambao ni moja ya vyanzo vikuu vya mapato kwa Taifa letu

Kwa nini nasema haya?

1. Ngorongoro ni moja ya sehemu chache hapa Tanzania ambazo mtalii ana uhakika wa kuona wanyama walio kwenye hatari ya kupotea Duniani yaani Tempo, Faru, Simba, Nyati na Chui.
Nimefika ngorongoro kusema ukweli hadi Tour guides wanakwambia hivi karibuni imekuwa ngumu sana kuwaona baadhi ya hawa wanyama na sio tu hawa bali hata wanyama wengine ambao huko mwanzoni walikuwa ni wengi na wanaonekana kirahisi na kuvutia watalii wengi na kuongeza mapato mf pundamilia, pofu na wengineo. Hii ni kwa sababu wanadamu wameongezeka sana Ngorongoro na asili ya wanyama pori ni kuwa hawapendi kuchangamana na binadamu na shughuli za kibinadamu zikizidi huwa wanahama.

2. Kuna taarifa za uhakika kuwa Wanyama wanaohama Tanzania wanahamia upande wa pili yaani Kenya hivyo Kenya anafaidika kwa kuongezeka kwa shughuli za kibinadamu Ngorongoro ambazo zinahamishia wanyama wetu Kenya. Hii ni hatari sana kwa uchumi wa Tanzania kwa sababu siku si nyingi, Watalii hawataona umuhimu wa kuja Ngorongoro na hivyo kwenda Kenya na kufanya nchi yetu kukosa Mapato.

3. Kuna taarifa za uhakika pia kuwa Wamasai waishio Ngorongoro hawana hata makabuli. Hivyo ikitokea mmasai amefariki anaachwa aliwe na fisi na mbweha. kibinadamu hii si sawa.

Napenda kumaliza kwa kusema imefika wakati sasa kwa maslahi mapana ya Tanzania, Wamasai wahamishwe Ngorongoro. Eneo hili ni nyeti na Tanzania nzima tunalitegemea kimapato. Likiangamia, Tanzania imeangamia, Ni wakati sasa Fedha zinazotengwa kuwalisha wamasai takribani bilioni 3-4 kwa mwaka zielekezwe sasa kuwajengea makazi ya kudumu wamasai hawa eneo jingine na kuwapatia teknolojia ya kufuga wanyama wachache tena kibiashara na kuachana na Maisha yale ya kijima

Naomba kuwasilisha!

Mkuu mimi sijui chochote Kuhusu hili,
Ila Naomba Nikuulize!

1.Kwanini haya Mambo yanatokea sasa hivi?

2.Hapo Zamani Hao wamasai walikuwa hawaishi hapo na Wanyama?

Nijibu haya Mawili tuu inatosha!
 
Kwa nini wanaharakati wanafurahia binadamu wenzetu kuishi kama wanyama? Mwanadamu amepita stage nyingi za maendeleo kuanzia
Dryopithecus,
Ramapithecus,
Australopithecus,
Homo Erectus,
Homo Sapiens na hatimaye
Civilization

Kwa nini tunapenda watanzania wenzetu wabakie kama Sanaa ya kutazamwa na watalii? Wamasai watoke tu Ngorongoro
Na mm nakazia watoke tu maana hamna namna nyingine watokeeeee...period...watu wanafanya mipango ya kwenda kuishi Mars sisi tunawatetea wamasai wazendelee.kuishi na wanyama pori...maajabu Haya

Hiyo hela ya kuwalisha wanaowatetea Kuna jinsi wanakulaga ganchi hapo haiwezekani kutumia hela nyingi kiasi hicho kwa watu ambao wanaaribu hifadhi yetu hyo hela itumike kuwaandalia makazi mapya waiache hifadhi yetu.

Hatuwataki Tena wamasai ngorongoro waondoleweeee.
 
Mwinyi aliuza loliondo kwa waarabu na Sasa ngororongoro mnataka kuiuza tena?
 
mna ropoka ropoka tuu vitu msivyo vijuaa eti wamasaai waondolewe Ngorongoro, hivi mnajua hata kabla ya kupata uhuru na baada ya uhuru wamasaai waliruhusiwa tena kisheria kuishi ndani ya hifadhi ya ngorongoro na loliondo?
 
Mkuu mimi sijui chochote Kuhusu hili,
Ila Naomba Nikuulize!
1.Kwanini haya Mambo yanatokea sasa hivi?
2.Hapo Zamani Hao wamasai walikuwa hawaishi hapo na Wanyama?
Nijibu haya Mawili tuu inatosha!
Mchakato wa kuwaondoa wamasai haujaanza leo! kwa taarifa yako hili jambo lilianza tangu kipindi cha awamu ya 3 na 4 na hata awamu ya 5 vikao vingi rasmi vimefanyika kuhusu hili
 
Back
Top Bottom