Tusipofanya sasa, Tutajuta Milele, ni lazima Wamasai waondoke Ngorongoro

Tusipofanya sasa, Tutajuta Milele, ni lazima Wamasai waondoke Ngorongoro

mna ropoka ropoka tuu vitu msivyo vijuaa eti wamasaai waondolewe Ngorongoro, hivi mnajua hata kabla ya kupata uhuru na baada ya uhuru wamasaai waliruhusiwa tena kisheria kuishi ndani ya hifadhi ya ngorongoro na loliondo?
Sasa tunazungumzia kuwaondoa kisheria
 
Kuwaondoa kwa nguvu haitakuwa busara.

Mimi naona wanegotiate nao ili kuppata utaratibu wa kuwahamisha with compensation. Kwa mfano familia zilizokuwepo hapo kabla ya miaka ya 80 zibaki na zile zilizohamia baadaye zihamishwe na kulipwa kiasi let say Million 10 kwa familia. Na hili zoezi linaweza kufanywa kwa miaka 5. Zoezi zima linaweza kuchukua zaidi ya 500 Billion Tshs lakini hizo ndizo cost and benefit zenyewe za kutokuwa na policies za kueleweka.

Then baada ya kuwahamisha wengi wao familia zitakazobaki pale lazima zisajiliwe ili kuzuia familia nyingine kuhamia hapo. Maana population ya Ngorongoro imeongezeka sana kwa sababu ya wahamiaji.
Huwezi kuzuia watu kuongezeka! Hata China anapambana sana na hili. Suluhisho la kudumu ni kuwaondoa wote
 
Kilochotakiwa ni serikali kuwapa elimu ya uzazi wa mpango na kuwawezesha kupata huduma za uzazi wa mpango badala take Jiwe yeye alikuwa anawaambiwa watu wafyatue tu na hii ndio sehemu ya matokeo yake.
Inatakiwa kizazi chao kibadilishiwe mazingira ya kuishi wao waachiwe wamalizie maisha yao
 
Sasa tunazungumzia kuwaondoa kisheria
siyo rahisi rahisi kama unavyo fikiria, kwenye sheria ya kuwa ruhusu kuishi apo walipo mkoloni alishindilia kabisa na kuwapa haki kubwa wamasaai, bahati mbaya wengi humu ni vijana wadogo wa mlio miaka 20s & 30's, sisi 'waze' tunajua ugumu uliopo ………..!
 
Hawatoweza kuishi wameshazoea mazingira yale cha msingi kizazi chao ndio kiwe kunaamishwa
Nani kakwambia kuwa hawatoweza kuishi. Wamasai Wakefield hadi Zanzibar , Pwani na Mtwara ? kipi kinakufanya useme hawawezi kuishi sehemu nyingine zaidi ya Ngorongoro
 
siyo rahisi rahisi kama unavyo fikiria, kwenye sheria ya kuwa ruhusu kuishi apo walipo mkoloni alishindilia kabisa na kuwapa haki kubwa wamasaai, bahati mbaya wengi humu ni vijana wadogo wa mlio miaka 20s & 30's, sisi 'waze' tunajua ugumu uliopo ………..!
Nani kakwambia si rahisi kubadili sheria wakati wabunge tu wameridhia maamuzi ya kamati kuhusu Ngorongoro na bunge ndo linatunga sheria?
 
Nani kakwambia kuwa hawatoweza kuishi. Wamasai Wakefield hadi Zanzibar , Pwani na Mtwara ? kipi kinakufanya useme hawawezi kuishi sehemu nyingine zaidi ya Ngorongoro
Mazingira ya ngorongoro na Zanzibar ni tofauti sana. Hata mnyama ukimbadilishia mazingira hawezi ishi na mazingira wanayoishi wale ni tofauti sana na mazingira mengi ni ya kawaida
 
Nani kakwambia si rahisi kubadili sheria wakati wabunge tu wameridhia maamuzi ya kamati kuhusu Ngorongoro na bunge ndo linatunga sheria?
kama unafikiri sheria rahisi ki hivyo basi jaribuni kuwaondoa 'angujani' Pemba, au hata wasukuma kutoka kanda ya ziwa, au wanyambo kutoka kule ngara……………….. usifikiri waziri mkuu ni mjinga alio waambia kwanza wabunge wapate 'semina' kwanza, vitu kama hivi haviamuliwi kwa mihemkoo ya kitoto!
 
kwani wasukuma waliwekwa kanda ya ziwa na sheria?
 
Mazingira ya ngorongoro na Zanzibar ni tofauti sana. Hata mnyama ukimbadilishia mazingira hawezi ishi na mazingira wanayoishi wale ni tofauti sana na mazingira mengi ni ya kawaida
Kwa iyo kwa akili yako kuna ngombe anaweza kuishi ngorongoro na hawezi kuishi sehemu nyingine?
 
Rudisheni wanyama ngorongoro nyie si mliwahamisha burigi chato,halafu leo mnasem wanyama wamekuwa adimu sana ngorongoro
 
kwani wasukuma waliwekwa kanda ya ziwa na sheria?
ahaaaaa, kumbe unajua kuna issues nyingine hazi solviki kisheria? na ni kwanini mgorogoro wa ardhi kati wapalestina na waisrael hata sheria imeshindwa kuutatua??
 
alafu hao Wanyama wenu ni kwanini msiwapeleke kwenye mbuga ambazo zimekosa Wanyama kama ile ya chato alafu wamasaai mkawaachia maeneo yao ya asili??
 
Back
Top Bottom