Tusipofanya sasa, Tutajuta Milele, ni lazima Wamasai waondoke Ngorongoro

Haya yatakuwa mapandikizi ya Kenya yanayotaka Ngorongoro ife ili yakamate soko la utalii Afrika Mashariki
 
Ila hata hivyo inabidi kuwe na control flani ili wasiongezeke.
 
Sababu gani zinaonesha kuwepo kwa hila?
Kwa sababu ya hoja zisizo na kichwa wala miguu mnazoshadadia

Unataka kuwaondoa wamasai kwa sababu hupendi wanavyozika, ukimaliza hutataka kuwaondoa Wahindu kwa sababu hiyo hiyo pia?
Kitenge anasema kuna umaskini mkubwa kwa Wamasai Ngorongoro na wamegeuka omba omba.

Lindi, Mtwara, Kigoma na sehemu kubwa ya nchi hii kuna umaskini mkubwa licha ya hayo maeneo kukosa vikwazo walivyo navyo Wamasai Ngorongoro kwa hiyo na watu wa haya maeneo waondolewe?!
 
Ila hata hivyo inabidi kuwe na control flani ili wasiongezeke.
Kilochotakiwa ni serikali kuwapa elimu ya uzazi wa mpango na kuwawezesha kupata huduma za uzazi wa mpango badala take Jiwe yeye alikuwa anawaambiwa watu wafyatue tu na hii ndio sehemu ya matokeo yake.
 
Kati ya hayo yaliyosemwa lipi ni la uongo?
 
Kuwaondoa kwa nguvu haitakuwa busara.

Mimi naona wanegotiate nao ili kuppata utaratibu wa kuwahamisha with compensation. Kwa mfano familia zilizokuwepo hapo kabla ya miaka ya 80 zibaki na zile zilizohamia baadaye zihamishwe na kulipwa kiasi let say Million 10 kwa familia. Na hili zoezi linaweza kufanywa kwa miaka 5. Zoezi zima linaweza kuchukua zaidi ya 500 Billion Tshs lakini hizo ndizo cost and benefit zenyewe za kutokuwa na policies za kueleweka.

Then baada ya kuwahamisha wengi wao familia zitakazobaki pale lazima zisajiliwe ili kuzuia familia nyingine kuhamia hapo. Maana population ya Ngorongoro imeongezeka sana kwa sababu ya wahamiaji.
 

Mkuu mimi sijui chochote Kuhusu hili,
Ila Naomba Nikuulize!

1.Kwanini haya Mambo yanatokea sasa hivi?

2.Hapo Zamani Hao wamasai walikuwa hawaishi hapo na Wanyama?

Nijibu haya Mawili tuu inatosha!
 
Na mm nakazia watoke tu maana hamna namna nyingine watokeeeee...period...watu wanafanya mipango ya kwenda kuishi Mars sisi tunawatetea wamasai wazendelee.kuishi na wanyama pori...maajabu Haya

Hiyo hela ya kuwalisha wanaowatetea Kuna jinsi wanakulaga ganchi hapo haiwezekani kutumia hela nyingi kiasi hicho kwa watu ambao wanaaribu hifadhi yetu hyo hela itumike kuwaandalia makazi mapya waiache hifadhi yetu.

Hatuwataki Tena wamasai ngorongoro waondoleweeee.
 
Mwinyi aliuza loliondo kwa waarabu na Sasa ngororongoro mnataka kuiuza tena?
 
mna ropoka ropoka tuu vitu msivyo vijuaa eti wamasaai waondolewe Ngorongoro, hivi mnajua hata kabla ya kupata uhuru na baada ya uhuru wamasaai waliruhusiwa tena kisheria kuishi ndani ya hifadhi ya ngorongoro na loliondo?
 
Mkuu mimi sijui chochote Kuhusu hili,
Ila Naomba Nikuulize!
1.Kwanini haya Mambo yanatokea sasa hivi?
2.Hapo Zamani Hao wamasai walikuwa hawaishi hapo na Wanyama?
Nijibu haya Mawili tuu inatosha!
Mchakato wa kuwaondoa wamasai haujaanza leo! kwa taarifa yako hili jambo lilianza tangu kipindi cha awamu ya 3 na 4 na hata awamu ya 5 vikao vingi rasmi vimefanyika kuhusu hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…