Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
-
- #41
Sasa tunazungumzia kuwaondoa kisheriamna ropoka ropoka tuu vitu msivyo vijuaa eti wamasaai waondolewe Ngorongoro, hivi mnajua hata kabla ya kupata uhuru na baada ya uhuru wamasaai waliruhusiwa tena kisheria kuishi ndani ya hifadhi ya ngorongoro na loliondo?
Alafu kuna watu wanatetea eti waachwe! Mambo ya ajabu kabisaKumbe hawanaga makaburi wale majamaa.
Duuuuhhh 😄😄😄😄😝
Ninaifahamu Ngorororo somehow but not deep
Hawatoweza kuishi wameshazoea mazingira yale cha msingi kizazi chao ndio kiwe kunaamishwaNani kakwambia hakuna maeneo ya kuwapeleka Tanzania?
Huwezi kuzuia watu kuongezeka! Hata China anapambana sana na hili. Suluhisho la kudumu ni kuwaondoa woteKuwaondoa kwa nguvu haitakuwa busara.
Mimi naona wanegotiate nao ili kuppata utaratibu wa kuwahamisha with compensation. Kwa mfano familia zilizokuwepo hapo kabla ya miaka ya 80 zibaki na zile zilizohamia baadaye zihamishwe na kulipwa kiasi let say Million 10 kwa familia. Na hili zoezi linaweza kufanywa kwa miaka 5. Zoezi zima linaweza kuchukua zaidi ya 500 Billion Tshs lakini hizo ndizo cost and benefit zenyewe za kutokuwa na policies za kueleweka.
Then baada ya kuwahamisha wengi wao familia zitakazobaki pale lazima zisajiliwe ili kuzuia familia nyingine kuhamia hapo. Maana population ya Ngorongoro imeongezeka sana kwa sababu ya wahamiaji.
Inatakiwa kizazi chao kibadilishiwe mazingira ya kuishi wao waachiwe wamalizie maisha yaoKilochotakiwa ni serikali kuwapa elimu ya uzazi wa mpango na kuwawezesha kupata huduma za uzazi wa mpango badala take Jiwe yeye alikuwa anawaambiwa watu wafyatue tu na hii ndio sehemu ya matokeo yake.
siyo rahisi rahisi kama unavyo fikiria, kwenye sheria ya kuwa ruhusu kuishi apo walipo mkoloni alishindilia kabisa na kuwapa haki kubwa wamasaai, bahati mbaya wengi humu ni vijana wadogo wa mlio miaka 20s & 30's, sisi 'waze' tunajua ugumu uliopo ………..!Sasa tunazungumzia kuwaondoa kisheria
Nani kakwambia kuwa hawatoweza kuishi. Wamasai Wakefield hadi Zanzibar , Pwani na Mtwara ? kipi kinakufanya useme hawawezi kuishi sehemu nyingine zaidi ya NgorongoroHawatoweza kuishi wameshazoea mazingira yale cha msingi kizazi chao ndio kiwe kunaamishwa
Nani kakwambia si rahisi kubadili sheria wakati wabunge tu wameridhia maamuzi ya kamati kuhusu Ngorongoro na bunge ndo linatunga sheria?siyo rahisi rahisi kama unavyo fikiria, kwenye sheria ya kuwa ruhusu kuishi apo walipo mkoloni alishindilia kabisa na kuwapa haki kubwa wamasaai, bahati mbaya wengi humu ni vijana wadogo wa mlio miaka 20s & 30's, sisi 'waze' tunajua ugumu uliopo ………..!
Mazingira ya ngorongoro na Zanzibar ni tofauti sana. Hata mnyama ukimbadilishia mazingira hawezi ishi na mazingira wanayoishi wale ni tofauti sana na mazingira mengi ni ya kawaidaNani kakwambia kuwa hawatoweza kuishi. Wamasai Wakefield hadi Zanzibar , Pwani na Mtwara ? kipi kinakufanya useme hawawezi kuishi sehemu nyingine zaidi ya Ngorongoro
kama unafikiri sheria rahisi ki hivyo basi jaribuni kuwaondoa 'angujani' Pemba, au hata wasukuma kutoka kanda ya ziwa, au wanyambo kutoka kule ngara……………….. usifikiri waziri mkuu ni mjinga alio waambia kwanza wabunge wapate 'semina' kwanza, vitu kama hivi haviamuliwi kwa mihemkoo ya kitoto!Nani kakwambia si rahisi kubadili sheria wakati wabunge tu wameridhia maamuzi ya kamati kuhusu Ngorongoro na bunge ndo linatunga sheria?
kwani wasukuma waliwekwa kanda ya ziwa na sheria?kama unafikiri sheria rahisi ki hivyo basi jaribuni kuwaondoa 'angujani' Pemba, au hata wasukuma kutoka kanda ya ziwa, au wanyambo kutoka kule ngara……………….. usifikiri waziri mkuu ni mjinga alio waambia kwanza wabunge wapate 'semina' kwanza, vitu kama hivi haviamuliwi kwa mihemkoo ya kitoto!
Kwa iyo kwa akili yako kuna ngombe anaweza kuishi ngorongoro na hawezi kuishi sehemu nyingine?Mazingira ya ngorongoro na Zanzibar ni tofauti sana. Hata mnyama ukimbadilishia mazingira hawezi ishi na mazingira wanayoishi wale ni tofauti sana na mazingira mengi ni ya kawaida
sasa samia atauwezaMkapa na ubabe wake woote mfupa huu ulimshinda………………...
ahaaaaa, kumbe unajua kuna issues nyingine hazi solviki kisheria? na ni kwanini mgorogoro wa ardhi kati wapalestina na waisrael hata sheria imeshindwa kuutatua??kwani wasukuma waliwekwa kanda ya ziwa na sheria?
Nani alitoa wanyama ngorongoro akapeleka Burigi?Rudisheni wanyama ngorongoro nyie si mliwahamisha burigi chato,halafu leo mnasem wanyama wamekuwa adimu sana ngorongoro
TanapaNani alitoa wanyama ngorongoro akapeleka Burigi?
Tupe ushahidi wakitoa wanyama NgorongoroTanapa