Tusipofanya sasa, Tutajuta Milele, ni lazima Wamasai waondoke Ngorongoro

Tusipofanya sasa, Tutajuta Milele, ni lazima Wamasai waondoke Ngorongoro

umimi na ubinafsi tu unakusumbua milele acha apone yeye si ndg yangu....mkenya akipona wewe unaumiai??? Lazima ujitoe ajili ya ndg zako......nyerere aliuza roho ili niwe huru lkn kuna wengi walipotea ktk kundi lake....leo uko nyuma ya key board hapo hujui kuna maafisa usalama wengi wamepoteza maisha ili uwe hapo..akili zako ni zileee mlizo uza ndg zenu utumwani....
Narudia mweusi ni ndg yangu na africa ni moja naamini ivo akipata yeye nimepata mimi.hata nikifa ajili yake hainipi shida. Lkn siyo mkoloni.
....ninajitoa ajili ya africa hata usemeje sintobadirika ndo nilivo.....rejea ahadi za mwana tanu
Sio sawa mkenya apone na Mtanzania aumie. Sio vizuri Kenya kuifanyia umafia Tanzania ili maslahi ya Tanzania yaharibike. Kwa nini Kenya wanataka kuharibu maslahi ya Tanzania kwa kupigia chapuo Ngorongoro kufa?
 
PEPO


Wewe mnafiki mkubwa sana wewe
Ili iwejee

Waondoeni na wanzazibari maana wanachafua Bahari pia na kusababisha

Eti wamasai

Kwani hao wanyama hakikisha siwatazaliwa

Kwa taarifa yako Masai sio jangili
Na hana biashara zozote na wanyama

Nimezaliwa nawaona wanyama wote hadi leo nina miaka zaidi ya 40

Anajitokeza mwehu mmoja eti
Tusipowahamisha leo eti sijui nini nyoko wewe.
Kuna watu waajabu duniani
Mwenye hilda
Habari za Kenya ?
 
Umesoma uzi na kuelewa au umekurupuka tu ku comment kama kawaida yako

Shughuli za kibinadamu zinakimbiza wanyama Ngorongoro na wanaenda Kenya. Siku zijazo hakutakuwa na wanyama Tanzania na wote watahamia Kenya. Hakutakuwa na haja ya Watalii kuja Tanzania hivyo nchi yetu itakosa mapato ya kukuhudumia wewe na ukoo wako
Kuwakimbiza kwenda KENYA sidhani kama ni kweli..
Wanyama wana namna yao ya kuishi bila kuwa na mipaka ya Nchi..
 
Amani iwe nanyi

Kama kichwa cha uzi kinavyosema, Kama Mtanzania ninayeipenda nchi yangu, ninayejali maendeleo ya Watanzania wote vizazi na vizazi, leo nasema kwa Sauti moja, Kama tunajali maendeleo ya Tanzania yetu, Ni lazima wamasai waondoke Ngorongoro ili lile eneo liendelee kuwa na wanyama wengi na kuvutia watalii ambao ni moja ya vyanzo vikuu vya mapato kwa Taifa letu

Kwa nini nasema haya?

1. Ngorongoro ni moja ya sehemu chache hapa Tanzania ambazo mtalii ana uhakika wa kuona wanyama walio kwenye hatari ya kupotea Duniani yaani Tembo, Faru, Simba, Nyati na Chui.

Nimefika ngorongoro kusema ukweli hadi Tour guides wanakwambia hivi karibuni imekuwa ngumu sana kuwaona baadhi ya hawa wanyama na sio tu hawa bali hata wanyama wengine ambao huko mwanzoni walikuwa ni wengi na wanaonekana kirahisi na kuvutia watalii wengi na kuongeza mapato mf pundamilia, pofu na wengineo. Hii ni kwa sababu wanadamu wameongezeka sana Ngorongoro na asili ya wanyama pori ni kuwa hawapendi kuchangamana na binadamu na shughuli za kibinadamu zikizidi huwa wanahama.

2. Kuna taarifa za uhakika kuwa Wanyama wanaohama Tanzania wanahamia upande wa pili yaani Kenya hivyo Kenya anafaidika kwa kuongezeka kwa shughuli za kibinadamu Ngorongoro ambazo zinahamishia wanyama wetu Kenya. Hii ni hatari sana kwa uchumi wa Tanzania kwa sababu siku si nyingi, Watalii hawataona umuhimu wa kuja Ngorongoro na hivyo kwenda Kenya na kufanya nchi yetu kukosa Mapato.

3. Kuna taarifa za uhakika pia kuwa Wamasai waishio Ngorongoro hawana hata makabuli. Hivyo ikitokea mmasai amefariki anaachwa aliwe na fisi na mbweha. kibinadamu hii si sawa.

Napenda kumaliza kwa kusema imefika wakati sasa kwa maslahi mapana ya Tanzania, Wamasai wahamishwe Ngorongoro. Eneo hili ni nyeti na Tanzania nzima tunalitegemea kimapato. Likiangamia, Tanzania imeangamia. Ni wakati sasa Fedha zinazotengwa kuwalisha wamasai takribani bilioni 3-4 kwa mwaka zielekezwe sasa kuwajengea makazi ya kudumu wamasai hawa eneo jingine na kuwapatia teknolojia ya kufuga wanyama wachache tena kibiashara na kuachana na Maisha yale ya kijima

Naomba kuwasilisha!
si wamasai tu, hata hotels/campsites zilizomo mle ziondolewe. watu waende kuzurura tu kisha wanaondoka si kulala humo
 
Kabla ya kuandika huu upupu ungejiuliza wamasai wameishi na hao wanyama Kwa miaka mingapi? Hivi huko Kenya wanakohamia hakuna "wamasai"?

Wakiwapa fisi mizoga Yao shida nini Kwako? Mbona wapo wanaochoma Wapendwa wao kwa moto? Ni life style Yao.

Tukiwatoa wamasai tunaweka waarabu, CCM ni mashetani aiseeee
Waarabu watalipa kodi na tozo kadhaa kwa pesa za kigeni.Pato la Taifa litaongezeka.Hawa wamasai hata kodi ya ardhi,itakuwa hawalipi.
 
Umesoma uzi na kuelewa au umekurupuka tu ku comment kama kawaida yako

Shughuli za kibinadamu zinakimbiza wanyama Ngorongoro na wanaenda Kenya. Siku zijazo hakutakuwa na wanyama Tanzania na wote watahamia Kenya. Hakutakuwa na haja ya Watalii kuja Tanzania hivyo nchi yetu itakosa mapato ya kukuhudumia wewe na ukoo wako
Umesema kweli tupu,hoja zako zina mashiko.
 
si wamasai tu, hata hotels/campsites zilizomo mle ziondolewe. watu waende kuzurura tu kisha wanaondoka si kulala humo
Hata Ngorongoro wanaondoa wafanyakazi wao na Ofisi pia kwenye eneo la Ngorongoro
 
Na mm nakazia watoke tu maana hamna namna nyingine watokeeeee...period...watu wanafanya mipango ya kwenda kuishi Mars sisi tunawatetea wamasai wazendelee.kuishi na wanyama pori...maajabu Haya

Hiyo hela ya kuwalisha wanaowatetea Kuna jinsi wanakulaga ganchi hapo haiwezekani kutumia hela nyingi kiasi hicho kwa watu ambao wanaaribu hifadhi yetu hyo hela itumike kuwaandalia makazi mapya waiache hifadhi yetu.

Hatuwataki Tena wamasai ngorongoro waondoleweeee.
Wewe nawe huna cha kufananisha..Hadithi za kuishi Mars unaleta huku..
 
Huna akili wewe! Hela anazolipa mtalii akiingia Kenya zitanunua madawa kwa ajiri yako na bibi yako mliopo hapa Tanzania?
Jibu swali langu Ngorongoro inapakana na mbuga ipi ya Kenya ambako wanyama wanahamia????????????
 
Back
Top Bottom