Tusipofanya sasa, Tutajuta Milele, ni lazima Wamasai waondoke Ngorongoro

Sio sawa mkenya apone na Mtanzania aumie. Sio vizuri Kenya kuifanyia umafia Tanzania ili maslahi ya Tanzania yaharibike. Kwa nini Kenya wanataka kuharibu maslahi ya Tanzania kwa kupigia chapuo Ngorongoro kufa?
 
Habari za Kenya ?
 
Kuwakimbiza kwenda KENYA sidhani kama ni kweli..
Wanyama wana namna yao ya kuishi bila kuwa na mipaka ya Nchi..
 
si wamasai tu, hata hotels/campsites zilizomo mle ziondolewe. watu waende kuzurura tu kisha wanaondoka si kulala humo
 
Waarabu watalipa kodi na tozo kadhaa kwa pesa za kigeni.Pato la Taifa litaongezeka.Hawa wamasai hata kodi ya ardhi,itakuwa hawalipi.
 
Kuwakimbiza kwenda KENYA sidhani kama ni kweli..
Wanyama wana namna yao ya kuishi bila kuwa na mipaka ya Nchi..
Hujui shughuli za kibinadamu zikoongezeka a huku wanahamia upande wa pili?
 
Umesema kweli tupu,hoja zako zina mashiko.
 
si wamasai tu, hata hotels/campsites zilizomo mle ziondolewe. watu waende kuzurura tu kisha wanaondoka si kulala humo
Hata Ngorongoro wanaondoa wafanyakazi wao na Ofisi pia kwenye eneo la Ngorongoro
 
Wewe nawe huna cha kufananisha..Hadithi za kuishi Mars unaleta huku..
 
Huna akili wewe! Hela anazolipa mtalii akiingia Kenya zitanunua madawa kwa ajiri yako na bibi yako mliopo hapa Tanzania?
Jibu swali langu Ngorongoro inapakana na mbuga ipi ya Kenya ambako wanyama wanahamia????????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…