sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Sidhani kama nitaeleweka ila naomba ikae hivyo.
Ni juzi tu vijana wa kiume wa umri wa zaidi ya miaka 30 madereva bodaboda na mwingine kinyozi walikutwa wanalawitiwa, walivamiwa na kupigwa.
Kama haitoshi huwezi amini siku 35 zilizopita watoto kumi na mbili walibainika kuwa wanaingiliana wenyewe kwa wenyewe, kesi iliishia Himo kituoni, walitandikwa bakora. Je, waliochapwa wataacha?
Kama haitoshi wilayani nimegundua mama wa kichaga wanalea watoto wao wa kiume vibaya, mitoto haitaki kazi iko tu. Wazazi wakifa hasa mama zao, yanaishia kula mirungi inayokata nguvu za kiume baada ya muda yanaanza kuepelekewa moto.
Nasema kweli hapa kuna shida.