Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
Nikiwa chuo 2nd Year nilipangiwa room na dogo mmoja wa 1st year akiwa ni asili ya mkoa huo, dogo akawa anaomba kama nina nguo chafu afue....lkn kila nikimtazama simwelewi yule dogo, nikaomba nibadilishwe room...baada ya Muda kama mwezi dogo aligundulika kuwa analiwa kiboga na akafurukushwa chuo na kuna jamaa alikuwa anamgonga wote wakaondolewa chuo.Sidhani kama ntaeleweka ila naomba ikae hivyo.
Ni juzi tu vijana wa kiume wa umri wa zaidi ya miaka 30 madreva boda boda na mwingine kinyozi walikutwa wanalawitiwa, walivamiwa na kupigwa.
Kama haitoshi uwezi amini siku 35 zilizopita watoto kumi na mbili walibainika kuwa wanaingiliana wenyewe kwa wenyewe, kesi iliishia Himo kituoni, walitandikwa bakora. Je, waliochapwa wataacha?
Kama haitoshi wilayani nimegundua mama wa kichaga wanalea watoto wao wa kiume vibaya, mitoto haitaki kazi iko tu. Wazazi wakifa hasa mama zao, yanaishia kula mirungi inayokata nguvu za kiume baada ya muda yanaanza kuepelekewa moto.
Nasema kweli hapa kuna shida.
Sijui sasa watasingizia ni kwa kuwa wapo krb na Tanga...?