last king of uscoch
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 2,728
- 3,980
Shoga ni wewe na ukoo wenu,waache mirungi na viroba kwa kweli wengi ni mashoga au wana viashiria vya ushoga kabisa hasa Marangu yote na kiborloni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shoga ni wewe na ukoo wenu,waache mirungi na viroba kwa kweli wengi ni mashoga au wana viashiria vya ushoga kabisa hasa Marangu yote na kiborloni
Katika lila jamii kuna grade,Inauma sana.
Eneo lile ambalo katika mkoa wa kilimanjaro liliyaongoza mengene katika suala zima la kujitambua na maendeleo endelevu katika nyanja zote limerudi kuwa zezeta na masikini wa kutupwa.
Nilikuwa huko marangu mwisho mwa mwezi nilichoka sana nilipotizama vijana jinsi walivyochoka kimwili na kiroho.
Katika vijuwe vyote vya waendesha boda boda kulikuwa na vijana wasioridhisha kiafya kila mmoja akiwa na shavu lililovimbishwa na mirungi wanayotafuna.
Baadhi yao walikuwa na vichupa vya pombe hizi za bei poa kuliko chang'aa zinazotengenezwa na wasaka utajiri, mifukoni mwao.
Hata wanaopanda piki piki zao sijui imani ya kuwa watafika wanakokwenda wataipata wapi.
Nyumba nyingi kule marangu zineachwa na vibibi na vibabu kwa usaidizi wa vijana wafanyakazi kutoka mikoa mingine.
Ninachoona katika maeneo haya ni kama miaka 30 ijayo umiliki wa maeneo haya hautakuwa tena wa wachaga bali wahamiaji maana ukitizama vijana huoni dalili ya muendelezo wa uzazi kwao.
Ngachoka!!
Hawa wa ukanda huo wanaendekeza mambo ya ukanda wa wakina MK254Sidhani kama nitaeleweka ila naomba ikae hivyo.
Ni juzi tu vijana wa kiume wa umri wa zaidi ya miaka 30 madereva bodaboda na mwingine kinyozi walikutwa wanalawitiwa, walivamiwa na kupigwa.
Kama haitoshi huwezi amini siku 35 zilizopita watoto kumi na mbili walibainika kuwa wanaingiliana wenyewe kwa wenyewe, kesi iliishia Himo kituoni, walitandikwa bakora. Je, waliochapwa wataacha?
Kama haitoshi wilayani nimegundua mama wa kichaga wanalea watoto wao wa kiume vibaya, mitoto haitaki kazi iko tu. Wazazi wakifa hasa mama zao, yanaishia kula mirungi inayokata nguvu za kiume baada ya muda yanaanza kuepelekewa moto.
Nasema kweli hapa kuna shida.
Dar ndio chuo kikuu
Bora tubaki na tabia mliyotupaka ya kupenda chini...na wadada kupenda katerero ..lakin sio upumbavu wa kutamani wanaume....tukimaliza moshi tuhamie mkoani kwenu