Kabwe Katali
JF-Expert Member
- Dec 8, 2021
- 475
- 934
Kweli tufanye tafiti.unajua hata haya mazoezi wanayofanya gym unaweza kuta ukifanya kwa muda fulani unaanza kupata hisia za kugongwa.Kuna dogo mmoja alikuwa anatafuta kazi....amezunguka na Bahasha sana.....akaja lengeshwa kwa Boss mmoja hapo maeneo ya Mwenge...dogo akaenda...
Ndio maana watu watu waliojazia jazia wengi sio riziki kutokana na ufanyaji mazoezi.wazungu ni washenzi sana.hata sabuni hizi za kuogea ni za kuchunga sana better utumie mbuni tu.