Kabwe Katali
JF-Expert Member
- Dec 8, 2021
- 475
- 934
Kweli tufanye tafiti.unajua hata haya mazoezi wanayofanya gym unaweza kuta ukifanya kwa muda fulani unaanza kupata hisia za kugongwa.Kuna dogo mmoja alikuwa anatafuta kazi....amezunguka na Bahasha sana.....akaja lengeshwa kwa Boss mmoja hapo maeneo ya Mwenge...dogo akaenda...
Boss akaomba dogo amchape, kamaanisha dogo amuingilie boss kinyume na maumbile ndio ampe kazi na mshahara mnono, elewa sasa shabani?Duh ina maana dogo alipigwa miti
Ngoja tundu lissu akusikie ...utashitakiwa migaSidhani kama ntaeleweka ila naomba ikae hivyo.
Ni juzi tu vijana wa kiume wa umri wa zaidi ya miaka 30 madreva boda boda na mwingine kinyozi walikutwa wanalawitiwa, walivamiwa na kupigwa...
Kuna mwingine school alikuwa wa kishua kutoka mkoa huo alikuwa akiishiwa pocket money kuna mwamba anambandua na kumnunulia samaki wa kulia ugali wa shule enziNikiwa chuo 2nd Year nilipangiwa room na dogo mmoja wa 1st year akiwa ni asili ya mkoa huo, dogo akawa anaomba kama nina nguo chafu afue....lkn kila nikimtazama simwelewi yule dogo, nikaomba nibadilishwe room...baada ya Muda kama mwezi dogo aligundulika kuwa analiwa kiboga na akafurukushwa chuo na kuna jamaa alikuwa anamgonga wote wakaondolewa chuo.
Sijui sasa watasingizia ni kwa kuwa wapo krb na Tanga...?
Dah.....inatia Simanzi!!Kuna mwingine school alikuwa wa kishua kutoka mkoa huo alikuwa akiishiwa pocket money kuna mwamba anambandua na kumnunulia samaki wa kulia ugali wa shule enzi
Tamaa mbaya sana aisee.... yote hii kuhusudu mali kupita kiasiDah.....inatia Simanzi!!
Nimecheka kama mazuri....hata sabuni hizi za kuogea ni za kuchunga sana better utumie mbuni tu.
Rombo Nzima Kuanzia Mamsera mpara Rongai wasiache kitu, wasiache sehemu.Rombo au Mashati?
Bills River, wapo sana tu mkuuSijui kuhusu Kilimanjaro ila kipindi flan nikiwa Arusha niliona dalili mbaya...kuna bar inaitwa Bills, kule ngarenaro ya kishua, machoko walikuwa wanajaa pale ( Ila walikuja kufukuzwa ).. sema wanasindikizanaga na mademu pisi hatari..
nafikiri ni changamoto zinazoambatana na utalii/uzungu mwingi
Huu sio Uzi wa kwanza kuongelea Mapenzi ya jinsia Moja (Kinyume na Asili )-katika kanda hio. Huko Kuna nini kinasababisha hayo ?
tukimaliza moshi tuhamie mkoani kwenuikija time ya Dar tutajadili Dar...sasa hiv tunajadili kilimanjaro maana sio kawaida...