Tusipokuwa makini AFCON 2027 itatukuta hatujajenga viwanja vyetu vya mpira!

Tusipokuwa makini AFCON 2027 itatukuta hatujajenga viwanja vyetu vya mpira!

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Ni chini ya miaka mitatu sasa kabla ya AFCON 2027 kufanyika na tunajua Tanzania, Kenya na Uganda watakuwa wenyeji wa mashindano hayo maarufu barani Africa.

Tuliambiwa Tanzania itajenga viwanja vipya vya mpira Arush na Dodoma.

Ujenzi wa viwanja vizuri na vikubwa vya kimataifa huchukua muda usiopungua miaka 3, na inavyoonekana hatujaanza bado hata mchakato wa tenda!

Kuhusu mgao wa umeme na SGR tumekuwa tukipigwa kalenda za kisiasa kila siku, je tutegemee nini ifikapo 2027; aibu, fedheha au vyote?
 
Back
Top Bottom